maji

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa maji msilikubali hili.

    Najua mko kwenye maandalizi ya kuitembelea wilaya ya Monduli,lakini kwa haya wanayofanyiwa wakaaji wa eneo la Mto wa Mbu (Kigongoni) si haki wala halal. 1. Watu wenu wanapewa maji kama msaada utadhani wapo jangwani. 2.Campsite nyingi kule ziwani zinatumia maji bila kufungiwa meter na hii ndo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aelekeza kufanyika utafiti wa kina wa upatikanaji wa maji Dodoma Jiji

    Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso amewataka wataalamu wa Wizara ya Maji kuhakikisha wanaongeza nguvu ya utafiti wa kina wa maji katika Jiji la Dodoma ili kusaidia upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa Jiji la Dodoma. Waziri Aweso ameyasema hayo leo wakati akikagua miradi ya maji wa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Furaha ya kusherekea Sikukuu ya Kumwagiana Maji ya Kabila la Wadai yarejesha kumbukumbu za utotoni

    China ni nchi yenye historia ndefu sana pia ikiwa imesheheni utamaduni wa aina mbalimbali. Sikukuu zote za jadi zinazofanyika huwa zinaakisi mila na desturi zake nyingi. Kwa wageni wanaoishi China kama mimi ama hata watalii wanaokuja kutoka nje, kusherehekea sikukuu hizi za jadi za China huwa ni...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso Aelekeza Kufanyika Utafiti wa Kina wa Upatikanaji wa Maji Dodoma Jiji

    WAZIRI AWESO AELEKEZA KUFANYIKA UTAFITI WA KINA WA UPATIKANAJI WA MAJI DODOMA JIJI ▪️Aagiza kuongezwa mitambo zaidi ya uchimbaji visima Dodoma Jiji ▪️Akagua miradi ya Maji eneo la Nala na Nkuhungu ▪️Miradi ya visima vinavyochimbwa kuzalisha maji lita 32m ▪️Hatua hizi kupunguza ukali wa mgao...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Miradi 6 ya maji yaanza kutumia umeme, wananchi wapata nafuu

    Meatu:Wakazi wa vijiji sita katika wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wameanza kunufaika na huduma ya uhakika ya maji baada ya miradi ya maji iliyokuwa ikitumia nishati ya mafuta kubadilishwa na sasa kutumia nishati ya umeme. Mabadiliko hayo yameelezwa leo Aprili 16,2025 na Meneja wa Wakala wa Maji...
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Je, unajua? Ubatizo wa maji mengi ni ishara ya mtu kufa na kufufuka na Yesu Kristo

    Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na Kristo. Na anapotoka majini, ni ishara ya kufufuka pamoja na Yesu na kuanza maisha mapya ya...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wamemnyamazisha Lissu ameibuka Askofu Gwajima, Naona CCM wakitwanga maji kwenye kinu

    Udhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni. CCM wanadhani No reform No election ni agenda ya Lissu kumbe ni watanzania wote. Bila chadema kushiriki uchaguzi tutashuhudia aibu kubwa sana mwaka huu. Kwa sasa namwona Askofu...
  8. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Suala la chemba kutiririsha maji taka Mitaa ya Nyamwezi na Mhonda - Kariakoo, Mamlaka husika zinachukulia poa?

    Kipindi hiki cha mvua hali sio shwari kwenye baadhi ya Mitaa ya Kariakoo, Watu tupo hatarini kupata magonjwa kutokana na chemba kadhaa kutiririsha maji kwenye maeneo ya karibu na biashara zetu sambamba na kwenye njia ambazo watu tunapita, hali hii inaleta kero kubwa. Mfano katika Mitaa ya...
  9. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bilioni 13.5 zinatarajiwa kutekeleza mradi wa maji Sinya - Namanga

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda leo tarehe 14 April, 2025 ameshuhudia utiaji saini wa mradi mkubwa wa maji safi wa Sinya - Namanga wenye thamani ya shilingi bilioni 13.5 katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Ildonyo, kata ya Sinya Wilaya ya Longido akisema hatua hiyo inaenda...
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mradi wa maji uliogharimu bilioni 3.10 unatajwa kunufaisha kata za Magugu na Mwada na wakazi zaidi ya 60,000

    Mradi wa maji wa Darakuta - Magugu - Mwada umetekelezwa kwa kutumia wataalamu wa ndani wa BAWASA (Force account) na kuwekwa jiwe la msingi Januari 25, 2022 na Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mradi huo ulianza kutekelezwa Sptemba 15, 2020 na kukamilika...
  11. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kufuga samaki kwenye Tanks za maji ?

    Ma expert, hivi hiyo inawezekana au mpka nichimbe kisima au bwawa ndio nifuge Nina tank la 5000L nimewaza nifuge samaki humu
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu

    Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema; "Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu tuliyenaye sasa hivi, ni mstaarabu mno, ni mchapakazi na mstaarabu, kila mtu anamsikiliza." "Sasa mimi...
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RUWASA yatatua changamoto ya maji Kwala, yakamilisha mradi uliogharimu zaidi ya bilioni 1.4

    Mradi wa maji wa Kwala,uliogharimu zaidi ya bilioni 1.4 na kutekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) unakwenda kuwa mkombozi kuwaondolea changamoto ya ukosefu wa maji safi wakazi 6,407. Akizindua mradi huo mkubwa, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa tenki la Maji la Hinduki,Maswa wafikia asilimia 90

    KAZI ya ujenzi wa tenki kubwa la kuhifadhi maji lenye uwezo wa kubeba lita milioni mbili linalojengwa katika kijiji cha Hinduki wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imefikia hatua ya asilimia 90, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi. Tenki...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Posta ya Dar kuna chemba zinatiririsha maji taka barabarani, Mamlaka hazijaona, mbona zipo kimya?

    Eneo la Posta barabara inayotokea kwenye Kanisa la KKKT kuelekea Karemjee kuna chemba zimepasuka zinatiririsha maji taka, hali ni mbaya hasa kwa watembea kwa miguu. Tunaomba mamlaka zitafute suluhu ya hii changamoto, njia nzima imejaa maji taka hali ambayo inaleta kero na hofu ya Watu kupata...
  16. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Nimekatiwa maji na watumishi kisa mita yangu inadaiwa tsh elfu moja na Mia Saba hamsini

    Wakuu, Kuna vitu vinakasirisha kwa kweli iko hivi, Mimi ni mteja mwaminifu wa huduma ya maji mtaani kwetu,na ni miongoni mwa watu wanaotumia maji bombani kwa kiasi kikubwa Mtakubaliana na Mimi kuwa serikali kupitia wizara ya maji imeajiri watu wale wa kuunganisha maji kwa wateja na wakapewa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tank la maji kama, simtank,polytank,linahitajika la bei poa kuanzia lita 6000.

    Tank la maji linahitajika kama kichwa cha habari kinavyoonyesha.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Soko la Mawenzi Morogoro halina maji

    Wiki iliyopita nilibahatika kufika Soko kubwa kabisa la jumla mjini Morogoro linaitwa Mawezi Pamoja na soko hilo kuwa na miundombinu ya kizamani (nafikiri ya miaka 80?) kilicho nishangaza kila Butcher ya kitoweo na hadi maliwatoni watu wameweka madumu ya maji hali iliyopelekea nitake kujua...
  19. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania DAWASA yapokea maombi zaidi ya elfu nne kutoka kwa wananchi wanaohitaji kuunganishiwa huduma ya maji

    Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imepokea maombi ya maunganisho mapya ya huduma ya maji kwa wakazi zaidi ya elfu nne wa maeneo ya Bangulo, Kata ya Pugu Stesheni Wilayani Ilala waliojitokeza kuomba huduma ya Majisafi baada ya kukamilika kwa mradi wa Usambazaji maji Dar...
  20. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya siasa ya CCM Kibiti yakagua miradi ya maji ya RUWASA ikihusisha visima 900 vya Mama, kwani mama anatoa hela mfukoni mwake?

    Wakuu Wananchi Wilayani Kibiti Mkoani Pwani Wametakiwa kuilinda vyema miradi ya maji ya wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini RUWASA waliyojengewa na Serikali ili iweze Kudumu na kuwanufaisha wengine na kuwa endelevu kwa kuitumia vizazi na vizazi. Wito huo umetolewa na Kamati ya...
Back
Top Bottom