maji

  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbarali: Serikali imekamilisha mradi wa maji wa Ruduga Mawindi kwa shilingi bilioni 5.2

    Serikali kupitia Mfuko wa Taifa wa Maji ( NWF) imekamilisha kwa asilimia 100 mradi wa maji wa Ruduga Mawindi uliopo wilayani Mbarali mkoani Mbeya kwa gharama ya shilingi bilioni 5.2. Kwa sasa mradi huo unahudumia vijiji sita ambavyo awali wananchi wake walikuwa wanatumia maji ya mto Ruaha...
  2. aise

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya maji machafu mitaani, mfano mzuri ni hapa Buguruni

    Katika jamii nyingi, miundombinu bora ya maji taka ni msingi wa afya na ustawi wa wakazi. Na ni haki kwa kila raia kuishi kwenye mazingira safi na salama. Hata hivyo hali ni tofauti hapa Buguruni. Mvua kidogo ikinyesha maji machafu hutapakaa kila mahali, yakibeba uchafu na harufu mbaya...
  3. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Video hii inayoonesha barabara ya lami yenye mashimo na maji ndani yake kukiwa na mimea iliyoota imetengenezwa kwa Akili Mnemba

    Mdau shiriki kuthibitisha Video hii inayoonesha barabara ya lami yenye mashimo yenye maji ambayo ndani yake kuna mimea iliyoota huku kukiwa na watu wanotembea kwa miguu. Je, ni halisi au imetengenezwa?
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Aweso aelekeza mabadiliko ya mfumo na utendaji mamlaka ya maji Ushirombo

    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameitembelea Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Ushirombo (UWASSA) Wilayani Bukombe mkoa wa Geita kujionea hali ya utendaji na utoaji huduma ya Maji wa wananchi na kupokea taarifa ya utendaji kazi sambamba na kujionea mazingira ya watumishi. Waziri Aweso...
  5. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakazi zaidi ya 300 wa kitongoji cha Makei, kata ya Bangala wilayani Same watatuliwa changamoto ya ukosefu wa maji safi iliyodumu kwa miaka 20

    Wakazi zaidi ya 300 wa kitongoji cha Makei, kijiji cha Bangalala kata ya Bangala wilayani Same wameondokana na changamoto ya ukosefu wa maji safi hali ambayo imewatesa kwa muda zaidi ya miaka 20, hali hii inakuja baada ya Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kutekeleza...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche ashangazwa na wananchi kuwa na shida ya maji kwenye nchi yenye rasilimali nyingi

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya. "Mbunge wako akiugua Mungu ametuweka Tanzania nchi yenye neema kuliko nchi nyingi, mimi nimezunguka duniani unakwenda nchi unakuta ina rasimali moja tu...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yakamilisha ujenzi mradi wa Maji wenye thamani ya zaidi ya Bilioni 1 Simiyu

    Serikali kupitia Wizara ya Maji imekamilisha ujenzi mradi mkubwa wa Maji wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1, huku Wananchi 14074 wa Vijiji vitatu vya Baluli, Mwabuma na Mwashata, Kata ya Mwabuma, Wilayani Meatu Mkoani Simiyu wakinufaika na mradi huo, ambao unatajwa utaondoa changamoto...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Kulikuwa na hitilafu ya mfumo wa maji Stendi ya Mabasi Nyegezi (Mwanza), huduma imerejea

    Stendi ya Mabasi Nyegezi ni moja ya wateja wakubwa wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) na Mamlaka imeweka utaratibu wa kufanya ukaguzi wa huduma na miundombinu yake mara kwa mara. Palitokea hitilafu katika mfumo wa usambazaji maji kwa muda mfupi mwishoni mwa wiki...
  9. tamuuuuu

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha tumekuwa tunakatiwa maji pasipo utaratibu na mamlaka za maji

    Ndugu waziri wa maji Juma Aweso pole kwa majukumu. Kwa masikitiko makubwa baadhi ya wananchi huku Arusha tumekuwa tunakatiwa maji pasipo utaratibu na mamlaka za maji.Ukataji umekuwa ni wa kibabe na hakuna makubaliano wala maridhiano.Watu wa maji wanafungua mageti ya watu bila taarifa kwa...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kuna watu Waongo, halafu kuna Prof. Kitila, "Madumu ya Maji yamepotea Dar, ashukuriwe Rais". Dar ipi hiyo???

    "Kwa miaka mingi sana Jimbo la Kibamba lililopo wilaya ya Ubungo limekuwa na shida kubwa ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam, hata hivyo mama (Rais Samia Suluhu Hassan) ulisikia kilio cha wananchi wa jimbo hili kilichopazwa kwa niaba yao na Mbunge wao Mheshimiwa Issa Mtemvu, hatimaye serikali...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania MOSHI:Kilele cha maadhimisho ya wiki ya maji duniani

    KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI DUNIANI Moshi. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi imefanya zoezi la kupanda miti kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Maji. Mamlaka imekuwa na utaratibu wa kupanda miti rafiki ya maji kwenye maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na maeneo ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania NINA USHAURI KWA SERIKALI ZETU ZINAZOCHANGIA MAJI YA ZIWA VICTORIA

    Serikali ya Tanzania, Uganda na Kenya wote ni wanufaika wa maji ya Ziwa Victoria. Mito yote ya Kanda ya Ziwa na mito yote ya Uganda na Kenya inamwaga maji yake Ziwa Victoria na hatimaye maji hutiririka kupitia Mto Nile hadi Mediterranean Sea. Maji yanayotoka Ziwa vcictoria hupita nchi ya...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa kijiji cha Manga, Bumbuli wamemshukuru mbunge january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji

    Wananchi wa kijiji cha manga kata ya funta halmashauri wilaya ya bumbuli wamemshukuru mbunge wa jimbo hilo january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji iliyokuwa ikiwakabili Hayo yamejiri wakati wa zihara ya mbunge wa jimbo hilo ambapo wananchi wamesema walikuwa wakifuata maji umbali mrefu...
  14. milele amina

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Moshi Manispaa, MUWSA, tunaomba mtenganishe Bill za kulipia maji na Notice ya kukatiwa maji

    Mamlaka ya maji safi na salama Moshi - MUWSA, Sasa wanafanya kazi kwa mazoea kama sio kufuru na kudharau wateja wa maji safi na salama. Kauli inayosema "mteja ni mfalme" imegeuka na sasa mteja anajisikia kama mtumwa. Tabia mliyoanzisha ya kutuma bill za maji leo na kuwakatia wateja maji leo...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simba na Yanga wameshakuwa Machawa Pro Max, wanafanya nini kwenye mkutano wa uzinduzi wa Sera ya Maji?

    Wakuu Katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, leo Machi 22, 2025, katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, mshehereshaji wa tukio hilo Shaban Kisu, alionyesha jinsi Simba na Yanga zinavyotumika kisiasa kwa kupaza sauti "Oyee!" kwa vilabu hivyo kupitia...
  16. Doto12

    JamiiForums Tanzania KERO Wiki ya Maji Kinyerezi kanga hatuna maji

    Mh Rais ni wiki ya maji lakini kinyerezi hatuna maji. Tumewalilia watendaji wa ukanda huu bila mafanikio. Inavyoonekana upande huu unachangamoto na inakinzana nanmamlaka. Mh Rais hii inavyoonekana hata waziri ameshindwa badala yake amekemea jambo bila kujua tatizo. Tunapokea maji kutoka...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu wa kuuza kwa kukopesha sabuni za maji

    Anaitajika mtu wa kukopesha sabuni za maji . 1.Target chupa 60 za Lita moja 2.Mshara 150,000 3.Ela ya chakula atapewa kwa siku 2,500 Anaitajika kwa yule aliyetari na anayejua kazi kwa moyo Mawasilino: 0657010002 au tuma CV mazingirapacha@gmail.com.
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sekta ya Maji

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sekta ya Maji
  19. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Usicheze na maji yaliyotulia

    Yana kina kirefu
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania MIRADI YA MAJI ARUSHA:Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inaendelea na Mradi wa Majisafi wa Mirerani

    MIRADI YA MAJI ARUSHA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inaendelea na Mradi wa Majisafi wa Mirerani. Mradi huu unagharimu shilingi bilioni 4.3 na utahudumia wakazi wapatao 57,607 wa Kata za Endiamtu na Mirerani zinazounda mji mdogo wa Mirerani na kwa sasa...
Back
Top Bottom