Wadau hamjamboni nyote?
Hali ni mbaya Kwa Mayahudi tuwaombee sana
IDF walidhani kupiga airport na kuharibu kiwanda cha mbolea wamemaliza kila kitu kumbe wenzao ni wajuzi zaidi yao
Suluhu pekee ni ayahudi kuwarejeshea Wapalestina ardhi yao tukufu na kuondoa haraka majeshi yao huko Lebanon na...
Hii ni challenge kwa wana mazingira na wapendao kutunza maji
Maji ni uhai.. Bila maji maisha huwa ni magumu sana.. Wenye kujua umuhimu wa maji hubuni kila mbinu kuokoa maji yasipotee bure bila matumizi
Kuna hii changamoto ya upotevu wa maji kwenye mabafu ya hotel zile sehemu zenye baridi ambako...
Karibuni sana wells tunachimba visima virefu vya maji safi
Wengi wanauliza gharama za kuchimba kisima gharama za uchimbaji hutozwa Kwa mita geology ya eneo husika aina ya ardhi kama mfinyanzi jiwe mchanga
Mteja fanya survey kupitia wataalam wa maji ujue eneo lako Lina maji umbali GANI then...
TUJIFUNZE HATUA ZA KUFATA KABLA HUJACHIMBA KISIMA CHAKISASA (#borehole )
1.#geophysicalsurvey HII NI HATUA YA KWANZA UPEMBUZI YAKINIFU KUJUA UWEPO WA MIKONDO YA MAJI NA IKO MITA NGAPI NA UZALISHAJI WAKE WA MAJI
2.#boreholedrilling HAPA NDIO SHUGHULI NZIMA YA UCHIMBAJI HUFANYIKA KWA KUTUMIA...
Tujifunze Hatua za Kufata Kabla Hujachimba Kisima cha Kisasa (borehole)
Geophysical Survey
Hii ni hatua ya kwanza ya upembuzi yakinifu kujua uwepo wa mikondo ya maji, iko mita ngapi chini na uwezo wake wa uzalishaji wa maji.
Borehole Drilling
Hapa ndipo shughuli nzima ya uchimbaji hufanyika...
Waziri wa Maji Juma Aweso amesema upatikanaji wa Maji kwa Sasa ni asilimia 83 katika maeneo ya vijijini na 91.6 mijini.
Kauli hiyo ameitoa Leo bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya Mapato na matumizi kwa Wizara hiyo katika bajeti ya mwaka 2025-2026.
Waziri Aweso amesema upatikanaji wa...
“Jumla ya miradi ya maji 2,331 imekamilika ambapo 1,965 ni ya vijijini na 366 ni ya mijini na hivyo kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji vijijini kutoka wastani wa asilimia 70.1 mwaka 2020 hadi asilimia 83 mwezi Desemba, 2024 na maeneo ya mijini kutoka wastani wa asilimia 84 hadi asilimia...
Mnasamehe et faini za maji! Je,inakuwaje kuhusu Ankara zilizopanda na kuwa juu hasa Arusha na kuwaacha watu katika sintofahamu na maumivu ya madeni ya maji? Huku mamlaka zikiwanyanyasa kwa kuwakatia maji!?
Maji yamegeuka kuwa manyanyaso kwa Watanzania.
Wakati wa kampeni ulaghai wenu ni...
Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
Kwa ujumla wake tukio la kuuliwa watalii wa ndani huko Pahalgam jimbo la Kashmir ni kitendo kilichopangwa kitokee muda mrefu tangu Narenfa Modi na chama chake cha BJP alipoingia madarakani.Lengo limekuwa ni kubadili ulinganifu wa watu wa maeneo hayo kuwapa nafasi zaidi wahindu dhidi ya waislamu...
Iwapo wewe hutumii kitu basi usipande mibarini na kuanza kuhubiri watu kuwa pombe ni dhambi.
Kila mtu kashajiwekea mipaka yake wapo wapagani kabisa hawajawahi kuambiwa na kiongozi yeyote wa dini kuwa pombe ni dhambi lakin automatic tu hawanywi hiyo ni mipaka yao wamesha jiwekea wenyewe mfano...
Bodaboda akivusha mitihani eneo la Mto Mzinga maarufu Kwa Kichwa, Kata ya Zingiziwa, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam baada ya kufurika maji kutokana na mvua zilizonyesha kuanzia jana.
Mitihani hiyo ni ya wanafunzi wa darasa la nne ambao leo Jumanne Aprili 29, 2025 wanafanya mtihani wa majaribio...
Leo Jumapili niliamka nikiwa nina hamu sana ya kula chapati za maji.
Ila leo nikasema kwa kuwa nina muda wa kukaa jikoni, ngoja leo nijikumbushe enzi zangu.
Mahitaji na viambaupishi:
-Unga wa ngano nusu
-Mayai ya kuku 3
-Maziwa ya maji nusu kikombe
-Tui la nazi kikombe kimoja
-machicha ya nazi...
Mzozo kati ya mataifa hayo mawili yenye nguvu za nyuklia, India na Pakistan, unafikia kiwango kibaya sana baada ya India kuikatia maji ambayo ni mhimu sana katika nchi hiyo
Naibu Waziri Mkuu wa Pakistan anatangaza: tunapinga kabisa uamuzi wa India wa kusitisha mkataba wa maji na sisi...
Sisi Wananchi tunaoishi hapa Mbagala Sabasaba tunapata changamoto ya mazingira kuchafuliwa na kuwa hatari kwa afya kutoka katika Machinjio ya Ng’ombe ambayo yapo kwenye makazi ya Watu.
Maji machafu ambayo yanatoka kwenye machinjio hayo tanatiririka kwenye makazi yetu na hakuna jitihada...
Wananchi na wakazi katika eneo la Mleleguo kata ya Misugusugu, Kibaha mkoa wa Pwani tumekuwa na hali ngumu sana ilinayosababishwa na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na kiwanda cha wahindi kinachoitwa Maranile Group Ltd kinachozalisha Pombe kali, kwani muda wote eneo zima la Mleleguo...
NImeshangaa kusema ukweli, nilikua natoka kwenye pilikapilika zangu Mikoani, wakati nashuka Stendi kuu ya Mabasi ya Nyegezi nikakutana na harufu kali ambayo kimsingi haivumiliki.
kugeuka kushoto kulika nikakuta maji machafu yatokanayo na kinyesi yanatitirika bila wasiwasi ndani ya stendi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.