Chini ya uwakilishi wa mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa mamlaka ya maji biharamulo imefanikiwa kuanzisha vituo vya utekaji maji katika vijiji vitano .
Zoezi hili litafanyika huku wilaya ya biharamulo ikiwa inasubiri mradi mkubwa wa maji wa ziwa victoria
Wananchi ambao ndio...
Wala tusipotezeane sana muda nendeni manaratv mkamsikie wenyewe, ila Mimi nauliza tu Utakaanga vipi Chips na Maji? Sasa taratibu naanza kuamini kuwa huenda Tanzania ikawa na Madaktari Vihiyo (wa Mchongo) na ambao huenda wakawa wanavuta mno Bangi kuliko hata ambao wanazilima huko Tarime (Mara) na...
Zaidi ya Shilingi Milioni 15 za madeni ya maji zimelipwa na wadaiwa zaidi ya 280 katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, hiyo ni kutokana na ofa ya Rais Samia Suluhu kwa wateja wote ambao wanaodaiwa na kumesitishiwa huduma ya maji na Mamlaka za Maji nchini.
Ofa hiyo imelenga kuhakikisha kuwa...
Wananchi wakisaidia kuwatoa abiria waliopata ajali ya bajaji iliyoanguka katika eneo la Ubungo Maji, mchepuko wa Barabara ya Morogoro. Kwa mujibu wa mashuhuda, bajaji nne zimeanguka katika eneo hilo kwa nyakati tofauti. Katika ajali hizo, hakuna vifo vilivyoripotiwa, lakini majeruhi kadhaa...
Friends and Our Enemies,
Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.
Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo na kufanya shughuli za kibinadamu ili kuepuka ukame.
Ametoa wito huo mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 2, 2025...
Serikali imejipanga kuhakikisha huduma ya maji inaimarishwa kwa wananchi walioamua kuhamia eneo la Msomera, Handeni.
Naibu Katibu Mkuu Bi. Agness Meena akiongea kwa Niaba ya Waziri wa Maji kuhusu huduma ya maji amesema kazi kubwa inafanyika kuhakikisha miundombinu ya maji inafika katika maeneo...
Mpo Salama!
Nilikuwa napitia orodha ya vijana wa Chadema na wanaharakati waliouawa, wengine kupotezwa kusikojulikana. Ni wengi.
Na imechukua muda mrefu Sana.
iko hivi; kwenye suala la Ukombozi huwezi komboa watu ambao hawapo tayari kukombolewa.
Hata Mungu alipotuma Manabii zake, au...
"Umasikini wetu ni umasikini wa makusudi Hivi inawezekanaje eneo linalotoa madini yasiyopatikana kwingine kokote duniani halina maji ya kunywa mpaka leo? Maji yanatoka ziwa Victoria yanakwenda Misri Jangwani watu wote wanapata maji, kutoa maji kutoka Arumeru yafike hapa imeshindikana miaka 63...
SERIKALI kupitia Wizara ya Maji,imetoa Sh.815,453,185 ili kukarabati mradi wa Maji Dihimba utakaohudumia wakazi zaidi 7,489 wa Vijiji vya Dihimba,Mpondomo,Kinyamu na Ndumbwe vilivyopo Halmashauri ya Wilaya Mtwara Mkoani Mtwara.
Meneja wa Ruwasa Wilaya ya Mtwara Hamis Mashindike alisema,kati...
Mungu fundi
Mungu fundi
Mungu hajawahi shindwa
Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final
Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa
Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe
Niliomtakia heri mayele afanye yake mashallah
Sasa leo kama maombi na kichwa cha habari hapo juu
Nakama...
Hapa ni Jumba Namba Nne - Michenzani usawa wa geti na RahaLeo Studio kuna karo (chemba) kutoka katika nyumba za hapo zinatoa kinyesi na maji yake ambayo yanasambaa mtaani na wala Wananchi hawajali lolote.
Jambo hilo baya kwa afya linaweka hatarini afya za Wakazi wa hapo ikiwemo kuwa hatarini...
UTARATIBU WA KUCHIMBA KISIMA.
1. Ukitaka kuchimba kisima unatakiwa kufanya utafiti wa awali ili:-
● Kuangalia jiolojia ya eneo husika
● Kuangalia uwezekano wa kuwepo mikondo ya maji ardhini
● Historia ya eneo husika kuhusiana na suala la maji.
2. Gharama za kuchimba kisima/Visima hutegemea...
Karibuni Sana wells technology wachimbaji wa visima vya maji safi na salama borehole
gharama za uchimbaji kisima ni kwa mita
Dar es salaam na pwani mita moja 90,000
Mikoani mita moja 140000
Gharama zinacover uchimbaji mpk kufunga pump
mawasiliano 0657710078
. 0769509666
Huu mtindo wa wafanyabiashara wa migahawa, bar na vyoo vya umma kuchukua sabuni ya maji halafu kuiongezea maji ili iwe nyingi ni upumbavu wa hali juu. Wabongo kuna ujanja mwingine tungeachana nao tu maana tunakuwa duni kuliko hata ngedere, kama ni ubahili wa kubana matumizi basi pia ni ubahili...
Ouagadougou, Burkina Faso – Serikali ya Burkina Faso Chini ya Rais Ibrahim Traore imetangaza kuwa wazee hawatalazimika tena kulipia huduma za umeme na maji. Tangazo hilo limetolewa na Kiongozi wa mpito wa nchi hiyo, Ibrahim Traore, ambaye amesema kuwa huduma hizo zitakuwa bure kwa wazee wote...
Wadau hamjamboni nyote?
Hali ni mbaya Kwa Mayahudi tuwaombee sana
IDF walidhani kupiga airport na kuharibu kiwanda cha mbolea wamemaliza kila kitu kumbe wenzao ni wajuzi zaidi yao
Suluhu pekee ni ayahudi kuwarejeshea Wapalestina ardhi yao tukufu na kuondoa haraka majeshi yao huko Lebanon na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.