maji

  1. JamiiForums Tanzania Trey Songz ni msanii wa bei ya jioni, Diamond Platnumz kaokota kopo la maji

    Diamond Platnumz kamkaribisha Trey Songz kutoka Marekani pengine lengo lake nikufanya collabo Ukweli ni kwamba huyu msanii alishashukaga thamani miaka mingi sana iliyopita na amesha ejected kwenye soko la Marekani Kushirikiana na msanii kama huyu hakuletagi matokeo makubwa kwasababu hana...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyamhongolo, sasa tunapitia shida kubwa ya maji. Hii ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA

    Wakazi wa Nyamhongolo(Nyangugano), sasa tunapitia shida kubwa ya maji Kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupat huduma ya maji kutoka MWAUWASA, tangu 27/7/2026 mpaka Leo hii 13/8/2026 hatupati maji. Kibaya zaid hatuambiwi tatizo ni nini, wamekaa kimya tu tumejaribu kuwapigia wanasema...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Handeni - Tanga mje yapi ndo maji yenu kati ya haya?

    Mvutano mkali wa kimtazamo umeibuka mtandaoni kati ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara John Heche, na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, kufuatia ubora wa huduma ya maji wilayani Handeni, mkoani Tanga.Mjadala huo umeibuka leo Agosti 11, 2026, baada ya Heche kusambaza video inayonyesha...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji wa Milioni 585 wazinduliwa na mwenge wa uhuru

    Mradi wa maji wa Sh585 milioni wazinduliwa na mwenge wa uhuru MWENGE wa Uhuru umezindua rasmi Mradi wa Ujenzi wa Mtambo wa Kuchuja Maji Igombe–Kabangaja, jijini Mwanza, uliyojengwa kwa gharama ya Sh585 milioni, unaolenga kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa maeneo hayo...
  5. JamiiForums Tanzania Kama huu ni mwaka wa 6 wa kujitegemea dsm na bado unalala chumba kimoja na madumu ya maji na mengine hadi ndio umeegeshea sabufa, rudi tu malampaka.

    Hii sio kejeli Hii ni wake up call Rudi nyumbani, bado ardhi ni milioni mbili hadi mln moja unapata.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Damu ni nzito kuliko maji: Baba wa kambo hata uwajali watoto, wakikua wataanza kutafuta asili za baba zao, hata kama mama zao waliwasingizia mabaya

    N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua. Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
  7. JamiiForums Tanzania kitendo cha polisi watupa mzigo wa chakula Cha raia kwenye mtaro wa maji machafu sio cha kiungwana.

    Salaam. Wakuu hii video mpaka imenifanya nitafakari sana akili za hawa mapolisi kama ni wazima kichwani au vipi. Inasemakana huyo kijana aliingilia msafari wa Mwenge kwa kukatiza akiwa amebeba mzigo wa maguni ya maharage sasa polisi wakamkamata sasa badala ya kufuata sheria jambo la kwanza wao...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Ubungo–Msewe bado tunanunua ndoo ya maji Sh 1,300 hadi 1,500

    Wakazi wa Ubungo–Msewe, Dar es Salaam tuna changamoto kubwa ya maji kwa sasa kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2025. Kwa sasa maji ya mgao yanaweza toka baada ya wiki 3 au mwezi nayo huwa yanatoka mara moja tu kwa huo muda kuanzia saa saba usiku mpaka saa 10 alfajiri. Hali imekuwa ngumu kiasi kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania KERO DAWASA wanatoa maji usiku pekee

    Ebana kipindi cha hivi karibuni nimejikuta nimemaliza mwezi mzima bila kuona kina mama wengi wa mtaa wa pili wakipita wamebeba maji, nikahisi labda wamejiunga na DAWASA. Ebana kumbe sio, ni kwamba dawasa sasa hivi wanatoa maji usiku wa manane , sijajua kama ni maeneo yote au laa na by saa 12...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwezi wa 4 hatuna maji maeneo ya Kishiri, Mwanza. Tunanunua dumu la Sh 1,000, tunapewa sababu Zisizoeleweka!

    Mi ni mwananchi na mkazi wa Mtaa wa Mayengela, uliopo eneo la Kishiri-Igoma, Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza. Nimesukumwa kuandika masimulizi haya kwa uchungu mkubwa baada ya kero yetu ya maji kukosa ufumbuzi kwa miezi kadhaa sasa, huku tukigeuziwa sababu kila uchao bila matokeo yoyote. Tangu...
  11. JamiiForums Tanzania Yale maji ndani ya nazi nani kayaweka?

    Wakuu ukipasua nazi mle ndani unakuta mna maji nani kayaweka?
  12. L

    JamiiForums Tanzania KERO HII BADO IPO, Bomba la Maji Linavuja tangu May Oleiron Mwanama Arusha.Taarifa zimetokewa Kwa wahusika tangu May.Hakuna hatua

    Kero ya Bomba la Maji kuvuja Oleiron Mwanama Reli Arusha tangu March haijafanyiwa kazi. AUWSA wanapoteza Maji na mapato lakini hakuna anayejali. Barabara imaharibiwa vibaya na Maji hayo,TARURA nao kimya.Uwajibikaji uko wapi siku hizi. Waziri wa Maji na Tamisemi ingilieni kati.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mliambiwa kuwa ujana ni maji ya moto? Sidhani. Soma kitabu hiki kujua kwa nini sio kweli

    Ndani ya kitabu hiki kilichosheheni ujuzi kuhusu ujana na ndoa, hakika utapata kuyajua mengi ambayo pengine awali ulitilia shaka, au hukuwa na hakika nayo. Kwa maelezo ya ziada karibuni DM
  14. R

    JamiiForums Tanzania KERO Kilio cha Wanafunzi UDOM: Ukosefu wa maji umezidi na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa (ni zaidi ya siku5 sasa)

    Ukosefu wa maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umeendelea kuwa kero kubwa kwa wanafunzi. Tunalazimika kutumia muda mwingi kusaka maji badala ya kusoma kwaajili ya UE na mitihani mingine, huku wengine wakikosa kuoga, kufua na hata kupata maji ya ziada. Inasikitisha kuona tatizo hili...
  15. JamiiForums Tanzania Kauli ya NCHIMBI, "Rais yuko tayari KATIBA Mpya" alimaanisha, Matukio ya Utekaji,Mauaji Oktoba 29 , LISSU, ni Maji ya Shingo kwa Samia !!

    Wakuu nawaambia Jambo Moja kabisa la UHAKIKA bila mbambamba. SAMIA na Genge lake, wajifarague vipi, waruke, wake, wasimame ,wakimbie, wapae, yaan Hizo zote ni mbwembweeena HAZIWASAIDIII KITU CHOCHOTE. Ukweli ni kua, Mbinyo wa KIMATAIFA Uliopo kwa Samia ,ambao nayeye anaujua na Washirika...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji 14 wafa maji kisiwa cha Mafia

    Wahamiaji wasiopungua 14 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Visiwa vya Comoro wamefariki dunia, huku wengine 22 wakiokolewa baada ya boti yao kuharibika karibu na Kisiwa cha Mafia nchini Tanzania, afisa wa eneo hilo alisema Jumamosi. Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Aziza Mangosongo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya maji Mtwara wanachelewesha kuunganishia huduma ya maji Wananchi hata kama tayari umelipia gharama

    Mamlaka ya maji safi Mtwara Mjini (MTUWASA) nimelipia gharama za kuunganishiwa huduma ya maji tangu mwezi wa nne mwaka huu wa 2026 hadi sasa hawajaniunganishia huduma ya maji na ukiwapigia simu wanakwambia tu subiri ila hawasemi lini. Kata ya Mtawanya, Mtaa wa Mangamba.
  18. E

    JamiiForums Tanzania Toboa Kisima upate maji ya uhakika

    KWANINI VISIMA VINGI VINAKAUKA KIPINDI CHA KIANGAZI? ☀️🍂 Watu wengi wanachimba visima bila kufanya utafiti wa kina wa maji chini ya ardhi (Geological Survey). Matokeo yake, wakifika kiangazi, maji yanapungua au kukatika kabisa. Sisi tunatumia mitambo ya kisasa kupima na kubaini penye vyanzo...
  19. JamiiForums Tanzania Madhara ya kutokunywa maji

    Kutokunywa maji ya kutosha kunaweza kusababisha madhara kadhaa mwilini: Madhara ya haraka (upungufu mdogo hadi wa kati) Kiu kali na kinywa kukauka Uchovu na kukosa nguvu Kizunguzungu na maumivu ya kichwa Mkojo kuwa na rangi ya njano iliyokolea na harufu kali Kupungua kwa umakini na uwezo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…