A
Anonymous
Guest
Dar es salaam mtaa wa Mburahati Barafu kwa Shebe DAWASCO maji hayatoki tangu mwezi 10, 2025 hadi sasa hata ukiwapigia Magomeni majibu hawana wala sababu hawana.
Ni maeneo ya Mburahati Barafu kwa Shebe karibu na Magomeni; tusaidieni. Hadi tushasahau kama kuna maji ya bomba yanayotolewa na DAWASCO.
Tushapiga simu sana ila hakuna chochote ni mwaka sasa. Tusaidieni