Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,033
- 33,019
Mahakama ya Chelstone (Chelstone local Court ) jijini Lusaka, Zambia, imevunja ndoa ya Trevor Banda mwenye umri wa miaka 36 na Loveness Mukwato mwenye umri wa miaka 27 baada ya wanandoa hao kushutumiana kwa uzinzi na kushindwa kuelewana katika ndoa yao.
Katika kesi hiyo, Loveness aliiomba mahakama kuvunja ndoa akimtuhumu mumewe kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binamu yake pamoja na mwanamke mwingine. Amedai pia kuwa mwanamke aliyetajwa kwa jina la Patricia, anayedaiwa kuwa mpenzi wa mumewe, alikuwa akimpigia simu mara kwa mara na kumtishia kumuua.
Kwa upande wake, Trevor, amedai kuwa mkewe hupata majimaji mengi wakati wa tendo la ndoa hata kabla hajamgusa, jambo lililomfanya kumshuku kuwa anamsaliti. Pia amedai kuwa mkewe alianza kwenda vilabuni baada ya kupata kazi mwaka 2024 na baadaye kukiri kuwa na mwanaume mwingine aliyekuwa akipata fedha nyingi kuliko yeye.
Hivyo, Hakimu Charity Milambo amesema wanandoa hao hawaonyeshi thamani ya ndoa na kuamua kuvunja ndoa hiyo. Mahakama pia imemuaru Trevor kulipa kwacha 500 za Zambia (takribani elfu 60 za Kitanzania) kwa mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto, kuanzia Oktoba 2026.
<<<<<
Mbona nasikia Kuna watu Wana penda hayo?
#fblifestyle