Huduma ya maji nchini, hakuna atakayeachwa

Wizara ya Maji

Govt Institution
Joined
Oct 2, 2024
Posts
33
Reaction score
20
Serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza.

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo katika kikao na Menejimenti ya Sekta ya Maji jijini Dodoma, Oktoba 9, 2026.

Ameainisha kuwa mpango wa kufikisha maji katika vijiji ambavyo havijapata miundombinu umeanza na kasi iongozwe zaidi ambapo hivi sasa vijiji 400 katika mikoa mbalimbali vinajengewa miradi miongoni mwa vijiji 1,575. Kazi hiyo inafanyika kwa awamu.

Amesema yapo mambo ambayo amebaini yanahitaji suluhu ya haraka katika ukaguzi wa miradi aliyofanya, hivyo amewapa kazi wataalam wa maeneo hayo katika siku zisizozidi 30 kupata majibu ili wananchi waanze kunufaika na miradi ya maji.

Mhe. Aweso, kuhusu uhaba wa maji katika baadhi ya maeneo ya miji nchini ametaka kufanyika kwa mpango wa dharura wa kuleta ahueni kwa wateja na mgao ukifanyika uwe wa uhalisia na muda wa kutosha.

Amesema maeneo korofi yote yanatambulika hivyo ni lazima kuyapa muarobaini ili kuwapa wateja wa maji unafuu wa kupata huduma hiyo.
 
Attachments

  • 1.jpeg
    1.jpeg
    62.6 KB · Views: 1
  • 2.jpeg
    2.jpeg
    104.6 KB · Views: 2
  • 3.jpeg
    3.jpeg
    46.4 KB · Views: 2
Serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza.

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo katika kikao na Menejimenti ya Sekta ya Maji jijini Dodoma, Oktoba 9, 2026.

Ameainisha kuwa mpango wa kufikisha maji katika vijiji ambavyo havijapata miundombinu umeanza na kasi iongozwe zaidi ambapo hivi sasa vijiji 400 katika mikoa mbalimbali vinajengewa miradi miongoni mwa vijiji 1,575. Kazi hiyo inafanyika kwa awamu.

Amesema yapo mambo ambayo amebaini yanahitaji suluhu ya haraka katika ukaguzi wa miradi aliyofanya, hivyo amewapa kazi wataalam wa maeneo hayo katika siku zisizozidi 30 kupata majibu ili wananchi waanze kunufaika na miradi ya maji.

Mhe. Aweso, kuhusu uhaba wa maji katika baadhi ya maeneo ya miji nchini ametaka kufanyika kwa mpango wa dharura wa kuleta ahueni kwa wateja na mgao ukifanyika uwe wa uhalisia na muda wa kutosha.

Amesema maeneo korofi yote yanatambulika hivyo ni lazima kuyapa muarobaini ili kuwapa wateja wa maji unafuu wa kupata huduma hiyo.
Serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi,salama na yenyekutosheleza Kama huu sio utapeli,peleka maji safi na salama,vijiji vya ,Itumbi na Matondo,Kata ya Matundasi, Wilaya ya Chunya,Mkoa wa Mbeya.
 
Serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza.

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo katika kikao na Menejimenti ya Sekta ya Maji jijini Dodoma, Oktoba 9, 2026.

Ameainisha kuwa mpango wa kufikisha maji katika vijiji ambavyo havijapata miundombinu umeanza na kasi iongozwe zaidi ambapo hivi sasa vijiji 400 katika mikoa mbalimbali vinajengewa miradi miongoni mwa vijiji 1,575. Kazi hiyo inafanyika kwa awamu.

Amesema yapo mambo ambayo amebaini yanahitaji suluhu ya haraka katika ukaguzi wa miradi aliyofanya, hivyo amewapa kazi wataalam wa maeneo hayo katika siku zisizozidi 30 kupata majibu ili wananchi waanze kunufaika na miradi ya maji.

Mhe. Aweso, kuhusu uhaba wa maji katika baadhi ya maeneo ya miji nchini ametaka kufanyika kwa mpango wa dharura wa kuleta ahueni kwa wateja na mgao ukifanyika uwe wa uhalisia na muda wa kutosha.

Amesema maeneo korofi yote yanatambulika hivyo ni lazima kuyapa muarobaini ili kuwapa wateja wa maji unafuu wa kupata huduma hiyo.
well done wizara ya maji:KasugaYeah:
 
Tabata tu hakuna maji ije kuwa huko vijijini. Au ndio mnasubiria mvua zinyeshe mtoe maji baada ya hapo maji Moja mara mwezi
tabata maji yametoka j5 na alhamisi, kulingana na ratiba yao ingawa sijajua wewe upo tabata ipi, nadhani hata ninapoandika ujumbe huu kuna mahali tabata maji yanatoka vizuri tu gentleman.

ni muhimu sana kuzingatia ratiba ya maji eneo lako na itapendeza zaidi :1Head:
 
Hiyo jumatano yatakayitoka ujue ni saa nane usiku, kwamba mchana upigwe na jua usiku uweke alarm ya saa nane ya kuchota maji ukipitiwa imeisha hiyo kwa wiki hiyo na wiki ijayo yasipotoka tabu Iko pale pale
Hayo maji ya ratiba bado hakuna utendaji kazi acha kusifia ujinga
 
Serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza.

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo katika kikao na Menejimenti ya Sekta ya Maji jijini Dodoma, Oktoba 9, 2026.

Ameainisha kuwa mpango wa kufikisha maji katika vijiji ambavyo havijapata miundombinu umeanza na kasi iongozwe zaidi ambapo hivi sasa vijiji 400 katika mikoa mbalimbali vinajengewa miradi miongoni mwa vijiji 1,575. Kazi hiyo inafanyika kwa awamu.

Amesema yapo mambo ambayo amebaini yanahitaji suluhu ya haraka katika ukaguzi wa miradi aliyofanya, hivyo amewapa kazi wataalam wa maeneo hayo katika siku zisizozidi 30 kupata majibu ili wananchi waanze kunufaika na miradi ya maji.

Mhe. Aweso, kuhusu uhaba wa maji katika baadhi ya maeneo ya miji nchini ametaka kufanyika kwa mpango wa dharura wa kuleta ahueni kwa wateja na mgao ukifanyika uwe wa uhalisia na muda wa kutosha.

Amesema maeneo korofi yote yanatambulika hivyo ni lazima kuyapa muarobaini ili kuwapa wateja wa maji unafuu wa kupata huduma hiyo.
Isije ikawa zilonga mbali zitendwa mbali.
 
Hiyo jumatano yatakayitoka ujue ni saa nane usiku, kwamba mchana upigwe na jua usiku uweke alarm ya saa nane ya kuchota maji ukipitiwa imeisha hiyo kwa wiki hiyo na wiki ijayo yasipotoka tabu Iko pale pale
Hayo maji ya ratiba bado hakuna utendaji kazi acha kusifia ujinga
Lakini ndugu mdau,
cha maana zaidi ni kwamba maji yametoka na wananchi wamepata maji,
hiyo changamoto ya muda,nadhani inazungumzika na inaweza kufanyiwa kazi kirahisi tu,

but kiukweli kwa sehemu kubwa,
wizara ya maji kupitia DAWASCO wanafanya kazi kubwa na nzuri sana jiji la dar es salaam na maeneo yote nchini.
Inafaa kama taifa kusema Asante. :NoGodNo:
 
Nipo jijini Mbeya [Kijiji kilichochangamka] Siku ya4 leo maji hayatoki wenyeji wanasema kuna mgao.
 
Serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza.

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo katika kikao na Menejimenti ya Sekta ya Maji jijini Dodoma, Oktoba 9, 2026.

Ameainisha kuwa mpango wa kufikisha maji katika vijiji ambavyo havijapata miundombinu umeanza na kasi iongozwe zaidi ambapo hivi sasa vijiji 400 katika mikoa mbalimbali vinajengewa miradi miongoni mwa vijiji 1,575. Kazi hiyo inafanyika kwa awamu.

Amesema yapo mambo ambayo amebaini yanahitaji suluhu ya haraka katika ukaguzi wa miradi aliyofanya, hivyo amewapa kazi wataalam wa maeneo hayo katika siku zisizozidi 30 kupata majibu ili wananchi waanze kunufaika na miradi ya maji.

Mhe. Aweso, kuhusu uhaba wa maji katika baadhi ya maeneo ya miji nchini ametaka kufanyika kwa mpango wa dharura wa kuleta ahueni kwa wateja na mgao ukifanyika uwe wa uhalisia na muda wa kutosha.

Amesema maeneo korofi yote yanatambulika hivyo ni lazima kuyapa muarobaini ili kuwapa wateja wa maji unafuu wa kupata huduma hiyo.
MICHESE zinje hapo Dodoma mjini watu wanateseka hakuna maji wakati bomba linalotoa maji kule kwenye visima vya zuzu limepita kwenye makazi ya watu wa MICHESE

Duwasa walikuja wakakataa kuunga maji wanasema hadi bomba kubwa litoke kwenye tank ila hadi leo hakuna msaada wowote
 
Huduma za maji na umeme zinapaswa kutaja idadi ya kaya zilizofikiwa na siyo idadi ya vijiji!!!

Nini maana ya sensa ya watu na makazi kama hatuzitumii hizo takwimu?

Maji yanaweza kupita kijijini na pasiwepo na kaya iliyounganishwa hata moja,inakuwa na faida gani?
 
Serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza.

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo katika kikao na Menejimenti ya Sekta ya Maji jijini Dodoma, Oktoba 9, 2026.

Ameainisha kuwa mpango wa kufikisha maji katika vijiji ambavyo havijapata miundombinu umeanza na kasi iongozwe zaidi ambapo hivi sasa vijiji 400 katika mikoa mbalimbali vinajengewa miradi miongoni mwa vijiji 1,575. Kazi hiyo inafanyika kwa awamu.

Amesema yapo mambo ambayo amebaini yanahitaji suluhu ya haraka katika ukaguzi wa miradi aliyofanya, hivyo amewapa kazi wataalam wa maeneo hayo katika siku zisizozidi 30 kupata majibu ili wananchi waanze kunufaika na miradi ya maji.

Mhe. Aweso, kuhusu uhaba wa maji katika baadhi ya maeneo ya miji nchini ametaka kufanyika kwa mpango wa dharura wa kuleta ahueni kwa wateja na mgao ukifanyika uwe wa uhalisia na muda wa kutosha.

Amesema maeneo korofi yote yanatambulika hivyo ni lazima kuyapa muarobaini ili kuwapa wateja wa maji unafuu wa kupata huduma hiyo.
mbwa takataka,miaka 60+watu wenye akili wanarusha rockets mars niñyi wasenge kazi ya kutandaza bomba za maji safi kwa wananchi tu imewashinda mbwa ninyi
 
Kwa hili la maji idara ya maji wanajitahidi kwa kiasi chake kwenye maeneo korofi angalau sasa hivi baadhi ya maeneo wanapata siku 2/7 tofauti na zamani!
 
Back
Top Bottom