KERO GOBA Osterbay hatuna maji week ya 3 sasa

KERO GOBA Osterbay hatuna maji week ya 3 sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

CHRC

Senior Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
174
Reaction score
229
Hili lalamiko limwendee waziri wa maji bw Aweso, sisi wakazi wa goba mtaa wa osterbay karibu na bar ya triple B hatuna maji week ya 3 sasa.

Tunataka uwaelekeze watendaji wa dawasco ubungo watufungulie maji
 
Hili lalamiko limwendee waziri wa maji bw Aweso, sisi wakazi wa goba mtaa wa osterbay karibu na bar ya triple B hatuna maji week ya 3 sasa. Tunataka uwaelekeze watendaji wa dawasco ubungo watufungulie maji
Nitashangaa kama utakuwa ni mtoto wa kiume halafu ulilie maji
 
Na nyie wagalatia ruhusuni kobazi wawe na misikiti kwa zone.. paliko kobazi Hapana shida ya mma
 
Nitashangaa kama utakuwa ni mtoto wa kiume halafu ulilie maji
Maji ni kwa ajili ya wanawake kumbe?

Huu ujinga wa kuamini ukiwa mwanaume lazima uteseke hata kama hakuna ulazima wa kuteseka ndiyo unawafanya muendelee kuwa makapuku wa kutupwa.

Maji ni uhai na ndiyo kiunganishi kikuu cha kuchochea afya bora na maendeleo endelevu.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Maeneo mengi ya Goba hayana maji. Hata maeneo tofauti na Goba hali ni tete. Kimsingi wizara ya maji imefeli kuliko kawaida. Sijui Dawasa wanafanya nini ? au labda wamezidiwa na wateja
 
Hili lalamiko limwendee waziri wa maji bw Aweso, sisi wakazi wa goba mtaa wa osterbay karibu na bar ya triple B hatuna maji week ya 3 sasa.

Tunataka uwaelekeze watendaji wa dawasco ubungo watufungulie maji
Hili lalamiko limwendee waziri wa maji bw Aweso, sisi wakazi wa goba mtaa wa osterbay karibu na bar ya triple B hatuna maji week ya 3 sasa.

Tunataka uwaelekeze watendaji wa dawasco ubungo watufungulie maji
Ungetoa neno Osterbay

Obay haiwezi kuwa goba
 
Back
Top Bottom