UKOSEFU WA MAJI WILAYA YA ILEMELA

UKOSEFU WA MAJI WILAYA YA ILEMELA

Ukisikia majukwaani wanavyosema unaweza kushangilia nenda sasa kaone uhalisia wa maisha ya watu😭😭
Shinyanga, Tabora, Singida na Dodoma wanapata maji ya ziwa Victoria lakini waliyopo kwenye chanzo cha maji hayo wanalalamika hawana maji, SIASA SIASA, SIASA!!!
 
Back
Top Bottom