majengo

  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda COVID-19 yapelekea Bunge la Uganda kufungwa kwa wiki mbili

    Wabunge na wahudumu wa bunge waliopatikana na corona wameshauriwa kujitengaImage caption: Wabunge na wahudumu wa bunge waliopatikana na corona wameshauriwa kujitenga Taarifa iliyotolewa na Bunge inasemabunge hilo litafungwa kuanzia wiki ijayo tarehe 28 Juni , Jumapili hadi tarehe 11 Julai ili...
  2. JamiiForums Tanzania Anne Kilango Malecela: Kuna mkanganyiko kwenye suala la kodi ya majengo. Ieleweke anayelipa ni nani

    Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, ametaka suala la kulipa kodi kwenye majengo kuangaliwa vizuri akisema, "Mkaliangalie vizuri huko mtaani. Tusidanganyane, kuna mkanganyiko!" Ameshauri jambo hilo kuwekwa vizuri kwa Wananchi na kueleweka anayelipa Kodi hiyo ni nani kati ya...
  3. JamiiForums Tanzania Bajeti 2021/22: Wadau tunakataa kodi ya Majengo kulipwa kwa LUKU

    Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri. Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye...
  4. JamiiForums Tanzania Shule ya Msingi Mandera yakabiliwa na uchakavu wa majengo

    Shule ya msingi Mandera iliyopo kata ya Mswaha wilayani Korogwe mkoani Tanga inakabiliwa na uchakavu mkubwa wa majengo ikiwemo vyumba vya madarasa na nyumba za walimu hali inayo watia hofu walimu wanaofundisha katika shule hiyo. Akizungumza na ITV Afisa elimu wa kata amesema uchakavu wa shule...
  5. JamiiForums Tanzania Ndugu wahandisi wa majengo na barabara, natafuta kazi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ndugu zangu niko hapa kuomba nafasi ya kuunganishwa mradi wowote wa ujenzi ili niweze kupata kazi ya kibarua sina taaluma ya uhandisi mimi ni mwalimu ila mambo yamekuwa magumu sana nisaidieni nipate kibarua. Kwa kifupi hali si nzuri naamini humu kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Uandikishaji majengo nyumba kwa nyumba kuanza karibuni

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amesema kuanzia tarehe 15 hadi 28 Februari wataendesha kampeni ya kuorodhesha majengo yote nchini ili wamiliki wake waweze kulipa kodi. Jafo amebainisha hayo jana mkoani Morogoro kwenye uzinduzi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Shule ya Wavulana ya Ihungo yazinduliwa rasmi, iliharibiwa na tetemeko la 2016

    Shule hiyo iliathiriwa na tetemeko lililotokea Mkoani Kagera Septemba 10, 2016 na kupelekea majengo mengi kuharibika ambapo Serikali iliagiza ijengwe upya. Mradi huo umegharamiwa na Serikali za Uingereza na Tanzania. Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako amesema Shule ya Wavulana ya Ihungo...
  8. JamiiForums Tanzania Balcony inachukua nafasi kubwa ya eneo, unaweza kujenga ghorofa bila balcony

    Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom. Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika kiwanja cha kawaida cha 1/4 eka unaweza kujenga hii nyumba na nyuma ukapata nafasi ya banda la kuku...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya 300 walio nje ya nchi (diaspora) waungana na kuwekeza kwenye ujenzi wa majengo ya kifahari

    Yaani hii ni zaidi ya akili kubwa, hongereni sana ndugu zetu, tuijenge hii nchi yetu kwa pamoja maana ndio nyumbani kwetu, mkiwa huko mnafanya makubwa sana nyumbani. ======== A group of at least 300 Kenyans currently living in the United States of America has teamed up to embark on a...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo apiga marufuku Wakala wa Majengo Tanzania kupewa kazi Halmashauri ya Buchosha

    Wakala wa Majengo Tanzania ( TBA) wametakiwa kurejesha Shilingi million 300 walizolipwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Serikali katika Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, huku Halmashauri hiyo ikipigwa marufuku kuwapa kazi TBA. Akizungumza wakati wa ziara yake wilayani humo juzi, Waziri wa...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali iwapangishe kwa bei nafuu wafanyakazi wanaofanya kazi katikati ya jiji majengo yao yaliobaki wazi

    Baada ya makao makuu kuhamia Dodoma mijengo mingi mitupu nashauri serikali ipangishe wafanyakazi wa serikali na sekta binafsi wanaofanya Shuguli zao katikati ya jiji kwa bei nafuu. Pia wawafikirie Wahindi na Waarabu na familia zao ambao hupenda kuishi katikati ya jiji wawapangishe makazi kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tukumbushane! Mwongozo wa utoaji wa vibali vya ujenzi na usimamizi wa ujenzi wa majengo kwenye mamlaka za serikali za mitaa

    TAMKO LA WAZIRI WA NCHI NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS -TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Walengwa wa Mwongozo huu ni Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi mbalimbali za Serikali zinazoshughulika na Ujenzi wa majengo, waendelezaji, wawekezaji wa ndani na nje pamoja, wananchi na wadau wengine...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tujitahidi kujenga chumba cha leseni,vyeti na risiti kwenye majengo yetu

    Maisha yanavyokimbia kila Jambo unalofanya linapaswa kuwa kwenye maandishi. Kila jambo unalolipa linapaswa kuwa kuwa na risiti. Kila kazi unayofanya unatakiwa kuwa na cheti kwa maana umekaa darasani ukasomea na kupata, hata kuchuna ng'ombe na mbuzi utatikiwa kuwa na cheti. Kila biashara...
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

    Inasikitisha na kuhuzunisha sana kwa kifo chake. Ametutoka mapema leo 07/12/2020 katika hospitali ya Mount Meru Arusha. Taarifa zaidi kuhusu chanzo cha kifo chake zitakujia hivi karibuni. Nafahamu kuna wana MJSS wengi sana hapa Jukwaani walio ndani na nje ya nchi. Karibuni tumuenzi mkuu wetu...
  15. JamiiForums Tanzania Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya Wabunge au ukumbi wa Bunge

    Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge. Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni. Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya...
  16. JamiiForums Tanzania Ujenzi holela majengo katikati ya Jiji la Mwanza vibali vyatolewa kwa Tsh. Milioni 50

    Ujenzi holela majengo katikati ya Jiji Mwanza vibali vyatolewa kwa Tsh. Milioni 50 Jiji la Mwanza chini ya Mkurugenzi wake, Kiomoni Kibamba limezidi kuchafuka na kukithiri kwa majengo yanayojengwa kiholela kutokana vibali vya ujenzi kutolewa kinyume na utaratibu. Jiji hilo kupitia Idara ya...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni Jemedari kweli wa Vita ya Ufisadi na Rushwa-Jua fedha, majengo, na vitu vingine kibao vilivyorejeshwa Serikalini. Big up JPM

    Moja ya kazi nzuri aliyofanya Mheshimiwa Rais Magufuli ni kupiga vita ufisadi na rushwa kwa vitendo. Mashauri makubwa ya ufisadi 407 yamepelekwa mahakama ya mafisadi na mashauri 385 yamesikilizwa. Aidha kupitia Takukuru mashauri 2,256 yalifunguliwa ambapo mashauri 1,926 tayari yametolewa uamuzi...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 UMD yaahidi kufuta Kodi ya Majengo na Vitambulisho vya Taifa

    Mgombea UMD kufuta vitambulisho vya taifa MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mohamed Mazrui, amesema iwapo atapata ridhaa ya kuongoza Tanzania, Serikali yake itafuta utaratibu wa wananchi kupewa Vitambulisho vya Taifa. Alisema hayo juzi wakati wa...
  19. JamiiForums Tanzania Karibu tukutengenezee ramani za umeme kwa majengo mbalimbali kwa gharama nafuu

    Habari wana Jamiiforums mimi ni mhandisi umeme upande wa ushauri, kwa yeyote mwenye uhitaji wa kuandaliwa na kutengenezewa michoro ya umeme(lighting with power system) pamoja na mfumo wa vifaa vidhibiti moto (fire detection system), karibu tukuhudumie tunafanya kazi ya kuandaa michoro kwa muda...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya ramani za majengo

    Kwa kupata Huduma hizi wasiliana nasi 0626814150/0765105802. 1.Ramani za Majengo ya kibiashara <Lodge, Guest house, hotel, mighawa, maghala supermarket>, Huduma za kijamii <Shule, hospitali> na Majengo ya makazi (Architectural drawings). 2.Ramani za michoro ya Nondo (Structural Drawings)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…