majani

Anna Majani (4 February 1936 – 28 February 2021) was an Italian entrepreneur. She was nicknamed "the queen of chocolate".

View More On Wikipedia.org
  1. Producer Majani apewe maua yake

    Hapa nimechill having a drink,im 31 years old. Hapa naangalia nyimbo ya prof. Jay nikusaidiaeje mixer ferooz na video yao imetengenezwa sijui na nani. I’m heartbroken ila this song today i realize how Producer Majani is a legend. This beat is phenomenal and captivating. I can feel my sorrow...
  2. J

    Mashine ya kukatia majani ( Grass Chopping Machine) inauzwa

    MASHINE YA KUCHAKATA MAJANI | GRASS CHOPPING MACHINE | CHAFF CUTTER Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02 joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zetu zipo Tegeta...
  3. N

    INAUZWA Mbegu za majani ya n’gombe,mbuzi na kondoo.

    Nauza mbegu za majani ya n’gombe ,mbuzi na kondoo. Jihakikishie malisho na usalama wa chakula kwa mifugo yako. Panda malisho hata kama eneo lako ni dogo. Mbegu ni nzuri na inahimili ukame na inamea kwenywe ardhi yoyote. Msimu wa mvua za vuli umekaribia kwa ukanda wa pwani na Dar es Salaam. Weka...
  4. Oya masela, P. Funk yulee amerudi!

    Hebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!! 1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu 2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo. Hoya P.Funk karudi..!! P.Funk arudi mazima ili aishitue kidogooo Bongo flavour..!!! Ni P.Funk Majaniiii kwenye moja na mbili...
  5. Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe (part 2)

    Kama nilivyowahaidi kuwa itaendelea, kwa wale mlioanza na sehemu hii 👉🏽 Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe Basi inaendelea kama ifuatavyo; Baada ya Mfalme Sedekia kuuawa, sasa Yehoyakimi akachukua nafasi hiyo ya kuiongoza Yuda (Israel). Hapa kuna kitu...
  6. Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe

    Kabla sijakuandikia stori ya huyu mwamba wa Babeli katika nchi ya Babiloni, ngoja nijaribu na mimi kujiuliza maswali kadhaa. Watu wanasema wale Waisrael wa zamani sio wa sasa hivi, hao wa zamani walikwenda wapi? Wakati wa nyakati za mwisho tunaambiwa kwamba Waisrael wote duniani watarudi nchini...
  7. Kuota unakula ugali na mboga za majani

    Inamaanisha nini? Niliota hivi karibuni! Katika ndoto hiyo, tulikuwa sehemu ambako chakula kilikuwa kinagawiwa kwa utaratibu wa "self service". Nilisimama kwenye foleni kama wenzangu kuelekea kwenye meza ya vyakula, na nilipofika, vyombo vikawa vimeisha. Ilinibidi mimi, pamoja na waliokuwa...
  8. Hivi majani ya mpera ni dawa ya ngozi?

    Hivi majani ya mpera ni dawa ya ngozi? Maana nimewasikia watu wakisema ni dawa ya ngozi.
  9. Watu wa Gaza waanza kula majani na kunywa maji machafu

    Tangu vita kuanza vyakula vimekuwa vikiingia eneo hilo kwa shida sana na ni asilimia chini ya 10 ya mahitaji ya kawaida. Pamoja na hivyo ujasiri na uvumilivu wa wapalestina umewafanya waendelee kusihi kwa kidogo wanachopata mpaka pale Israel ilipotia fitna ya kutaka hata hicho kidogo...
  10. Kuongeza shelf life ya mboga za majani

    Nafanya biashara ya kuuza mboga za majani za aina tofauti, kwa hali hii ya joto zinawahi kusinyaa hivyo kupoteza muonekano wake mzuri na kukosa wateja. Nipeni mbinu ya kufanya mboga za majani zibaki fresh angalau kwa siku 3 hadi 5
  11. Majani kaachia album, wimbo gani mkali?

    Sote tulijua Majani ni OG pioneer, lakini nimeshangaa kuwa bado hata leo kwenye hiki kizazi ambacho hawana kipya wao wanacopy tu miziki ya Nigeria na south Africa, Majani ndiye ameamua kuwa mkombozi na kuonesha watu what music is all about-innovation. Nilichogundua mtu pekee wa kuiokoa bongo...
  12. Hakuna ubishi Majani ni G.O.A.T. Taja beats ambazo alizitendea haki kiuhakika

    My favourites: 1: Ya leo kali - Sir nature https://youtu.be/GXCVGgilmy0?si=NHnPDmN_3d2yp8d5 2: nini mnataka - Pig black https://youtu.be/0qNYFOaORoA?si=QSY3Afitv0bGT_qg 3:wanok nok - Domokaya na mandojo https://youtu.be/Tmk6TWOd-Nw?si=137mZNDvguFmK5Rp 4: kimya kimya - Jay moe...
  13. INAUZWA Kwa mahitaji ya miche ya matunda, miti, maua mbalimbali na majani ya kupanda tuone Dani Garden

    Mvua ndio hizo wadau, usiache shamba lako au nyumba yako ikae kinyonge tuone ''DANI GARDEN" Tunauza Miche mbalimbali ya matunda kama miembe, mipera, michungwa, milimao, ndimu n.k yote imefanyiwa budding( ya muda mfupi). Pia tunauza MAUA mbalimbali yakupendezesha nyumba yko bila kisahau miti...
  14. Mti mzuri wa kivuli usiochafua na majani

    Habari zenu wakuu. Naomba msaada wa kuelezwa mti mzuri unaoleta kivuli lakini usio chafua mazingira kwa majani/vitunda. Kwa sasa tuna hiyo miti pichani,ina kivuli na inaleta hewa nzuri ila tunataka tuikate tupande mingine maana hii kwanza inapendwa na popo ambao huharibu mazingira kwa kinyesi...
  15. Kuna la kujifunza kutoka kwa wachuuzi wadogo

    Mwanzoni mwa mwaka 2020, nilifanya mazungumzo na kijana mmoja muuza mahindi ya kuchoma Mjini Kahama. Nilitaka kufahamu, pamoja na mambo mengine, manufaa wanayoyapata kutokana na hiyo biashara. Aliniambia, ni biashara inayomlipa sana. Alipokosa nafasi ya kuenedelea na masomo baada ya kuhitimu...
  16. Waziri Jenister Mhagama: Tumebaini Uwepo wa Cake, Juisi na Biskuti Zenye Bangi

    Watumiaji wa bangi nchini Tanzania wameibuka na mbinu mpya ya kuchanganya kilevi hicho na vyakula mbalimbali kama vile majani ya chai, keki, biskuti, juisi pamoja na asali. Kutokana na hilo serikali kupitia kwa Waziri wa nchi ofisi ya Waziri mkuu Jenista Mhagama akiwasilisha taarifa ya hali ya...
  17. E

    SoC03 Namna majani ya mstafeli au stafeli linavoweza kutibu saratani

    Stafeli (soursop), pia inajulikana kama Graviola, ni tunda ambalo asili yake ni Amerika Kusini na Kati. Mti wa mstafeli hutoa tunda kubwa la kijani kibichi na lenye mvuto. Tunda hilo linajulikana kwa ladha yake tamu na nyororo, ambayo inafanya kuwa kiungo maarufu katika vinywaji hususani...
  18. Leo ni kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa P-Funk Majani, unakumbuka ngoma gani kali aliyoitayarisha?

    Leo Machi 30, ni Kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani, Mtayarishaji Mkubwa na Bora wa Muziki Tanzania. Alianza kujihusisha na Muziki mwanzoni mwa miaka ya 90 wakati akisoma International School of Tanganyika. Majani amehusika kwa kiasi kikubwa kujenga heshima ya...
  19. Ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo

    Wadau, naombeni kuuliza ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo unasababishwa na nini na tiba gan iinahitajika?
  20. J

    TBS watoa ufafanuzi kuhusu bidhaa ya Majani ya Chai ya "Safari Premium Tea"

    TAARIFA KUTOKA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) Ufafanuzi kuhusu bidhaa ya Majani ya Chai ya "SAFARI PRIMIUM TEA" @TBS_Tanzania ==== Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayoonesha utata unaotokana na taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…