Oya masela, P. Funk yulee amerudi!

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
5,910
13,301
Hebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!!
1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu
2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo.

Hoya P.Funk karudi..!!

P.Funk arudi mazima ili aishitue kidogooo Bongo flavour..!!!

Ni P.Funk Majaniiii kwenye moja na mbili tenaaaa..!!!!

#YNWA
 
Pfunk ana beat nzuri zenye mastering nzuri ila sidhani kama ataweza kutoboa kwa kizazi cha sasa. Kuna interview moja nakumbuka alisema we fanya beat kokote huko kwa akina s2kizzy ila mletee akufanyie mastering maana yeey anaamini hakuna producer TZ anafanya mastering kuliko yeye.
 
s2kizzy tumbo linamuuma huko na maneno mbombofu aliyoongea juzi juzi
 
Hebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!!
1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu
2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo.

Hoya P.Funk karudi..!!

P.Funk arudi mazima ili aishitue kidogooo Bongo flavour..!!!

Ni P.Funk Majaniiii kwenye moja na mbili tenaaaa..!!!!

#YNWA
Wakati wake umeshapita.

Sio rahisi kutoboa kwa sasa.
 
Pfunk ana beat nzuri zenye mastering nzuri ila sidhani kama ataweza kutoboa kwa kizazi cha sasa. Kuna interview moja nakumbuka alisema we fanya beat kokote huko kwa akina s2kizzy ila mletee akufanyie mastering maana yeey anaamini hakuna producer TZ anafanya mastering kuliko yeye.
unamfahamu lindu
 
Back
Top Bottom