majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Bad news to PM Majaliwa and VP Mpango; The Tanzania-Dubai Treaty is covertly open-ended for facilitating ‘Arab settler colonialism’ in Tanzania

    1. Introduction Dear Phillip Mpango, The Vice President of the United Republic of Tanzania: Dear Kassim Majaliwa, The Prime Minister of the United Republic of Tanzania: On 15 July 2023 the Minister of Works, Transport and Communications, Professor Makame Mnyaa Mbarawa, and his technical team...
  2. M

    Majaliwa akiwa Rais ataleta nidhamu na Uwajibikaji . Anafaa sana

    Nikimuangalia Khasim Majaliwa naona kwa kiasi kikubwa anaweza kuvaa viatu vya JPM hasa katika kuleta Nidhamu na Uwajibikaji kwa watendaji wa Serikali. Kwa tabia za watanzania wengi hasa watumishi wa uma/Serikali wasipojengewa hofu ya kuwajibishwa basi huzembea, huiba, hufanya kwa ufanisi duni...
  3. M

    Waziri Mkuu Majaliwa: Hatutomwacha DP World aende zake

    Katika mkutano na wananchi wa mjini Mtwara juzi, Majaliwa alisisitiza kuwa hadi sasa kilichotiwa saini ni makubaliano ya awali na muda ukifika maoni ya wananchi yatazingatiwa. “Hatuwezi kumwacha huyu (DP World) aende zake. Kilichopitishwa na Bunge si mkataba wa miradi ni makubaliano ya awali...
  4. We Kasim Majaliwa kwani Waliosaini Mkataba wa Bandari ni Vipofu na Viziwi?

    Baada ya kimya cha Mda mrefu Huyu Mheshimiwa muongo muongo ameanza kujitokeza na ngojera za hapa na pale. Ana tu please mara tuwe na Imani na serikali Sijui Mkataba haujasainiwa. Bla bla Sasa mpka.mnasaini Mkataba wa makubaliano Kwa Nini hamkuzingatia Sheria na maslahi ya Taifa Toka mwanzo...
  5. PM Majaliwa: Watanzania tunaomba mtuamini (kuhusu uwekezaji Bandarini)

    Waziri Mkuu ameomba Watanzania waiamini Serikali kwenye uwekezaji unaotaka kufanyika Bandari, akidai kuwa sio uwekezaji wa kwanza wala sio jambo jipya bali kulikuwa na mwekezaji ambaye walimpa vipindi vya kumfanyia tathmini hadi akafika miaka 22 na ameondoka Novemba mwaka 2022; hivyo DP World...
  6. B

    Kassim Majaliwa, elewa Dubai siyo nchi, bali ni Mji

    Kutokana na upotoshaji ambao umekuwa unaendelezwa na viongozi wetu, binafsi kama raia nimeshindwa kuvumilia. Hii imekuja baada ya leo kumsikia tena Mh. Kassim Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu, kusema kilichopitishwa na bunge ni makubaliano kati ya nchi mbili. Nchi ya Tanzania, na nchi ya Dubai...
  7. Habari Picha: Dkt. Bashiru akisalimiana na Waziri Mkuu Majaliwa wakiwa na bashasha laini Bungeni, Dodoma

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuteuliwa, Dkt Bashiru Ally Kakurwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, leo Jumatano Juni 21, 2023.
  8. J

    Waziri Mkuu Majaliwa: Hatutadharau ushauri, maoni na maeneo yenye hofu kuhusu makataba wa bandari

    MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI --- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Waziri Mkuu Majaliwa...
  9. Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

    Hisia zangu zinazonionesha kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa anapwaya sana katika timu ya Mama Samia hazijaja bure, bali nimekuwa nikimtazama na kumfatilia sana utendaji wake katika hii miaka miwili akiwa chini ya Mama Samia, kwa kumliganisha na hapo alipokuwa chini ya mwendazake. Hata hivi sasa...
  10. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Huduma za Maji zimepoteza Trilioni 6

    SERIKALI imesema ripoti ya Benki ya Dunia ya mwaka 2023, imeonyesha nchi inapoteza Sh. trilioni tano hadi sita kila mwaka kutokana na upatikanaji hafifu wa huduma za maji safi na salama pamoja na usafi wa mazingira. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati...
  11. Dkt. Slaa: Wapo viongozi walichaguliwa kwa uchaguzi unaopatikana Tanzania tu

    Dkt. Slaa amesema wabunge wa CCM baadhi walichaguliwa kwa uchaguzi unaopatikana Tanzania tu, yaani uchaguzi wa kupita bila kupingwa, moja ya madhara ya kuwepo kwa jambo hilo ni kuzalisha idadi kubwa ya wabunge ambao ni wa chama kimoja (CCM). Kuwepo kwa wabunge wengi wa chama kimoja bungeni...
  12. Ukimya wa Waziri Mkuu Majaliwa katika sakata la Mkataba wa Bandari

    Habari Wakuu! Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali. Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson...
  13. Shukran Waziri Mkuu Majaliwa kujumuika nasi Karimjee Hall Kumuaga Wakili Mzee Mkono, ila hiki cha FFU wako sijakipenda

    Haingii Akilini na pia si tu ni Ushamba pia ni Upumbavu ( Ujuha ) Watu tuko Ukumbini tena Karimjee Hall Msibani halafu Askari FFU Mwenye Silaha yake ya Kivita na Makolokolo yake Mwilini mwake akiwa ameielekezea Kwetu Waombolezaji huku akiwa Katukunjia Sura yake utadhani labda tuna Ugomvi nae...
  14. Hotuba ya Waziri Kassim Majaliwa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge 2023/2024

    Hotuba ya Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuhusu Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa Mwaka 2023/2024
  15. Waziri mkuu Kasimu Majaliwa tumechoka na kamati zako.Sasa utupe mrejesho wa kamati zote ulizounda kabla ya kamati mpya.

    Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati. Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo. Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
  16. S

    Majaliwa amewaacha wafanyabiashara Kariakoo na matatizo yao bora angeenda Rais Samia Suluhu

    Nimefuatilia kikao cha waziri mkuu leo na wafanyabishara kuhusu mgogoro wa kariakoo nimesikitika sana. Licha ya kwenda na Mawaziri na Timu ya wataalamu wa Wizara mbalimbali ameshindwa kutatua matatizo ya wafanyabiashara wa Kariakoo. Amepata fursa ya kuwasikiliza wafanyabiashara siku nzima ya...
  17. Majaliwa anastahili kuwa kiongozi mkubwa. Ana uwezo wa kukabiliana na matatizo ya wananchi

    Siamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia. Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in...
  18. Rais Samia ni kazi kwako kuwaacha au kuwaondoa ‘for the sake of the nation and the party’

    Kipekee nakushukuru kwa kuchukua hatua za dhati za kunusuru soko la kariakoo kwa kumtuma Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kwa kweli amefanya kazi kubwa ya kunusuru uchumi wetu. Pamoja na yote yaliyojadiliwa kuna kiu cha uwajibikaji. Imedhihirika baadhi ya watendaji wako wana uwezo mdogo na...
  19. Kinachoendelea Mkutano wa Waziri Mkuu Majaliwa na Wafanyabiashara Kariakoo leo Mei 17, 2023

    Wakati baadhi ya maduka katika eneo la Kariakoo yakiendelea kufungwa kwa siku ya tatu sasa, wafanyabiashara wa soko hilo tayari wamewasili ukumbi wa Arnaoutoglou jijini hapa kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa ajili ya kutatua changamoto zao leo. Baadhi ya wafanyabiashara hao...
  20. Waziri Mkuu Majaliwa aibukia Kariakoo, azungumza na wa fanyabiashara

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefika katika Soko la Kariakoo ambako wafanyabiashara wametangqza mgomo tangu asubuhi. Majaliwa amelazimika kuacha Bunge na kuja kwa dharura ili kuzungumza na wafanyabishara hao kwa lengo la kupata suluhu. Awali taarifa kutoka ofisi yake ilisema kuwa kiongozi hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…