majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa anabaniwa publicity na mfumo wa dola (TBC1 hairushi matukio yake mubashara lakini ya Waziri Mbarawa yanarushwa live)

    Kwa wiki kadhaa nimekuwa nikifuatilia chombo chetu cha habari cha Taifa TBC1 na kwa mtu mwenye akili timamu atagundua kuna namna fulani ya kumbania Waziri Mkuu wetu publicity. Wiki iliyopita alikuwa na ziara ya kikazi mkoani Songwe na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo lakini matukio...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ukitazama Mkuta wa PM majaliwa Wiki iliyopita na Wa jana wa Mbowe Tunduma utadhani Chadema ni Chama tawala

    Sijui nini kinaendelea na nini kimewafanya Watanzania waichoke CCM chama tawala. Ukitazama mikutano miwili moja ya Waziri Mkuu Majaliwa wa wiki iliyopita uliofanyika Mjini Tunduma na ule wa jana wa Chadema chini ya Kamanda Mbowe unaweza kuamini kuwa Chadema ndio Chama tawala mioyoni mwa watu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bila kujirudi, Kassim Majaliwa atapigwa chini!

    Tanzania sasa inapitia wakati muhimu sana. Sasa hivi kuna watu wachache ndiyo wameshikilia fungua za amani na katiba ya nchi yetu. Watu hao ni Rais Samia, Kinana, Mbowe, Rais Mwinyi, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Lissu na Zitto. Hawa ndiyo watu muhimu kwenye Katiba yetu ijayo Waziri Mkuu...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tusimhukumu Waziri Mkuu Majaliwa kwa Kivuli cha Magufuli

    Habari zenu. Hakuna kitu kibaya kama unafiki, viongozi wengi nchi hii hufanya kazi kwa maelekezo, na kufuata namna ya kumuiga boss wake au kanuni za boss, hata Rais Hassan angekuwa waziri katika Serikali ya Magufuli tungemuona kwa taswira tofauti. Wivu na husda za kijinga na kipumbavu ndio...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Majaliwa amuwakilisha Rais Samia kumjulia hali Lowassa

    MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KUMJULIA HALI LOWASSA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa anayeendelea na matibabu Afrika ya Kusini. Akizungumza na wanafamilia kwa niaba ya Mheshimiwa Rais Samia...
  6. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaongozwa na Samia au Majaliwa?

    Ishu vipi wakuu, Kama swali linavyouliza hapo juu, narudia tena kuuliza. Je, serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaongozwa na kuendeshwa na Rais Samia au Waziri Mkuu Majaliwa? Nauliza hivi kwa sababu kuna madudu mengi yanayofanywa na viongozi wa serikali ambao wengine ni wateule...
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa ordered PCCB to investigate Eric Rutamirwa

    Prime Minister Kassim Majaliwa has ordered the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) to investigate the allegations facing Sumbawanga Teachers College Accountant Eric Rutamirwa and Instructor Godfrey Msenuka for burning government documents. According to the Prime Minister, the...
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa enzi za Magufuli alikuwa akiogopwa kama radi, wa sasa anapuyanga tu

    Hivi ndivyo ninavyoweza kusema, naona unapiga makelele tu na impact ni sufuri bin sufuri. Lugha rahisi ninavyoweza kutumia ni kwamba unapuyanga tu, watendaji wa serikali hawakuogopi hata kidogo. Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa Maji, tatizo ni serikali unayoisimamia haina makucha hata...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa anafanya kazi nzuri sana. Sasa Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanafanyaga kazi gani?

    Hii kazi anafanya Waziri Mkuu Majaliwa ya kudeal na wabadhirifu ni nzuri sana. Ingefanywa kwa ukubwa zaidi na ingekuwa endelevu ingetufaa sana. Ila najiuliza, madudu yote hayo wakuu wa mikoa huwa wanakuwa wapi? Na wenyewe wanahusika na huo ubadhirifu au ni mamna gani? Wanafaida gani kama kuna...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kazi nzuri Waziri Mkuu Majaliwa

    Nimeridhishwa jinsi Waziri Mkuu Majaliwa anavyo simamia watendaji serikali ili wawe mstari unaoeleweka. Kizuri ni mtu kuchukuliwa hatua pale pale bila kupepesa macho wala kuremba. Wateule wa vyeo vya kati, maDC, maDED, CEO mashirika ya Umma wengine wao ni wapigaji kwa kwenda mbele. NB...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania FT: Namungo FC 0-2 Yanga, Ligi Kuu, Uwanja wa Majaliwa (Lindi), 07/12/2022

    90' Mwamuzi anamaliza mchezo 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 85' Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi Tuisila Kisinda anafunga goli la pili kwa Yanga 82' GOOOOOOOOOOO 75' Namungo FC wamepata nafasi kadhaa za kupiga mashuti langoni kwa Yanga 66' Bado mambo ni magumu kwa Namungo, wapo nyuma...
  12. Double line

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa yale niliyosema kuhusu kijana wa hovyo Majaliwa aliyeidanganya nchi na wasomi wake

    INASIKITISHA SANA TENA SANA 😭 WALIOOKOLEWA WAKANA KUSAIDIWA NA MAJALIWA, WADAI WALITUMIA JUHUDI ZAO KUJIOKOA. Furaha ya Majaliwa Shujaa aliyeokoa watu kwe ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba mkoani Kagera huenda ikageuka huzuni baada ya abiria waliookolewa kwenye ajali hiyo kudai...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tunapofanya siasa na kuleta porojo za akina Majaliwa hatuwatendei haki wafiwa

    Wakuu, kwa kweli hii imekuwa too much. Kwa sasa baada ya ripoti kutoka sasa yamekuwa ni mabishano ya nani hasa aliyefungua mlango wa ndege. Je, hii ina umuhimu gani kwenye kudai uwajibikaji ukizingatia ajali ile imepoteza uhai wa watu ambao wanategemewa na familia zao na jamii kiujumla.
  14. Congo

    JamiiForums Tanzania Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

    Naomba kuuliza kwa wenye uelewa. Hivi mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje? Wajuzi wa mambo ya ndege tafadhali.
  15. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

    Imefahamika kuwa licha ya Jeshi la Wanamaji kujulishwa tukio la ajali, Boti rasmi ya uokoaji ya Kitengo cha Wanamaji ilichelewa kufika eneo la ajali na sababu ni kwamba haikuwepo katika Bandari ya Bukoba - Pia, pamoja na Askari wa Kitengo cha Wanamaji kuchelewa kufika, hawakuweza kufanikisha...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Muda wa 'Shujaa Feki' wa Uokoaji Majaliwa Jackson na aliyemsifia 'Samjo Samjo' WM Kassim Majaliwa 'Kuumbuka' Unakaribia

    Baadhi ya Wajumbe wanaoiandaa hiyo Ripoti huku wakiendelea na Uchunguzi wa mwisho mwisho wanasema Ushahidi wa Vifaa Maalum vilivyomo katika Ndege vinaonyesha Milango ilifunguliwa na Wahudumu wa Ndege kwa kusaidiana na baadhi ya Abiria waliokuwepo Ndani na hata pale ulipofunguka waliokuja...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Air Tanzania yashindwa kutua Bukoba, yageuza kwenda kutua Mwanza

    Ndege ya Air Tanzania imeshindwa kutua Bukoba Airport imerudi Mwanza. Stay tuned ====== UPDATES Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imeshindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera kutokana na hali mbaya ya hewa. Badala yake ndege hiyo imelazimika kutua salama katika...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Serikali iendelee na sherehe za kumpongeza Majaliwa

    Serikali naipongeza kwa hili, aendelee kuitwa na kupongezwa kila kona. Arudi tena bungeni kupongezwa. Afanyiwe HBD. Huu ni muda wa kupongeza sio muda wa kuchukua hatua za kudhibiti majanga. Kwanza haiko kwenye ilani ya chama. Pili serikali haijaleta haya majanga. Hata mwezi haijapita dege...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Majaliwa azidi kupasua anga

    Bongo ukifa KWA stress umetaka mwenyewe
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sio siri tena, matokeo chanya ya Majaliwa hadharani

    Siyo siri tena ndani ya CCM kuna kundi linaitwa “Matokeo Chanya” Ambalo linaundwa na viongozi waandamizi wa awamu ya tano wa Serikali na chama, Kiongozi wao Mkuu ni Kitila Mkumbo, Katibu ni Mwita Waitara akisaidiwa na Mpina na Lusinde. Hawa wanasema ndiyo wenye Kulinda Legacy ya Mwendazake...
Back
Top Bottom