Tanzanian tukiendelea na kulala huku tukisikiliza ngonjera za CCM.
Tutatengeneza familia maskini kupindukia huku familia za wanasiasa mambo yao yakiwa mazuri.
MTU akikunyima hela kakunyima Uhuru utabaki mtumwa na ombaomba kila siku.
Yale yanayoendelea Nchini na Majibu yanayotolewa na CCM ni...
Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote...
NINA DENI LA MAISHA
Anaandika, Robert Heriel Tz
Leo upo Msiba wa Bibi yangu ambaye jina langu limetoka Kwa Mume wake(Babu yangu).
Wale waliotujua Kabla hatujajulikana, walitupa, wakatupa tukakosa cha kuwalipa. Hivyo ndivyo ilivyokuwa. Hatukuweza kufidia upendo wao. Hata ingepita Miaka Elfu...
Kazi unazofanya ni miongoni mwa vitu ambavyo vinakuchagulia mahala pa kuishi. Nimeishi sehemu nyingi za mjini na kijijini, nilichokiona mimi maisha ya mjini ni mazuri ukiwa na pesa nyingi na maisha ya kuishi kwenye kijiji kilichochangamka ni mazuri zaidi hata ukiwa na pesa kiasi.
Nimechukua...
Ama hakika maisha ya ughaibuni kwa ujumla yamenichosha jamani yaanj sio poa kabisa yaani kutwa kushinda uko pekee yako hamna vijiwe vya kahawa na kashata kama huko bongo yaanj kutwa kufanya kazi saving ni kipengele sana kwasababu unafanya kazi mara ulipie mortgage, mara ilipie car rent hamna...
Acheni Mungu aitwe Mungu. Kwa hakika Mola akimuinua mja wake, haijali hata wenye pembe wafanye nini.
Yale mambo yetu kutokea uwanja wa Bulyaga yanazidi kushika kasi:
"Ugumu wa maisha na kuongezeka mno kwa mfumuko wa bei. Haya yakiakisiwa vilivyo na bei za vyakula sokoni."
Nani alikuwa na...
Kiuhalisia haya mahusiano yapo tukiweka kando Bongo movie, bongo flava na ndumba ?
Tuweke kando madenti wa sekondari hawa kuwapata ni rahisi lakini kwa sheria za sasa ukiingia kichwa kichwa unapigwa mvua ya kutosha.
uliwahi kushuhudia ama wewe kuwa mhusika, mtoto mkali wa ushuani kadata na...
Kifo cha Norah Vicent kiliibua hisia kwa jamii kutokana na namna utafiti alioufanya ulivyommaliza yeye mwenyewe. Norah alitaka kujua maisha ya mwanaume yakoje..ni changamoto zipi anapitia? Mwaka 2003, bila kubadili jinsia yake, akaamua ajifanye kuwa mwanaume; akaajiri mtu wa make up,mtaalamu wa...
Kwa sasa maisha yetu ya kila siku huamuliwa kwa kuwepo kwa mchana na usiku. Jee ulimwengu ungekuwa na usiku tu ama na mchana tu, maisha yetu yangekuwaje??
Ukifika Saudia, Kuwait, Qatar, Oman l, Bahrain na UAE (Dubai, Sharjah ama Abu Dhabi) utakubali kuwa zile nchi zimebarikiwa. Mfanya usafi Msikitini analipwa yapata 5m TZS Kwa mwezi (na hakuna Kodi).
James Sengo Nestroy alikamatwa baada ya kubainika anajihusisha na Usafirishaji Haramu wa Watoto na Watu wenye Ulemavu ambapo aliamriwa na Mahakama, alipe faini ya Tsh. Milioni 563.8 au atumikie kifungo jela.
Baadhi ya Waathirika wa Biashara hiyo wengi wakiwa ni Wenye Ulemavu (Raia wa #Tanzania)...
Maisha mwendo mdundo.Bila shaka taifa litaanza kupata madini kupitia udaktari wa heshima, udaktari huu pia anao mbunge Musukuma.
Bado nafuatilia chuo kilichompa udaktari huo
Hureee vijana
Now I'm matured, Hiki kidogo napata nilifanikiwa kusaidia masikini, kusaidia wazazi na kutoa sadaka
Nimewajengea wanakijiji kisima Cha mil 3 tu. Sasa nyie mnaoroga au mnahangaika kwa ajili ya hii Dunia mnatafuta Nini. Hata ukiishi miaka Mingi lazima ufe so why unaomba Maisha marefu huku unaishi...
Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.
1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko...
Tundu Lissu amekunukuliwa na gazeti la Majira la leo akiweka bayana kuwa suala la ugumu wa maisha tulionao sasa wa kupanda kwa bidhaa kama mchele, maharage, unga, mafuta na bidhaa mbalimbali haukusababishwa na Rais Samia hivyo asilaumiwe Samia bali wa kulaumiwa ni Katiba mbovu ya tuliyonayo sasa.
UKIENDA MJINI KUTAFUTA MAISHA HAKIKISHA UNAFANYA HAYA
Anaandika, Robert Heriel
Leo sina mengi ya kusema, najua Maisha hayana Formula Ila zipo Formula katika Maisha. Ukitaka chukua usipotaka Acha.
Ooh! Mimi ni kijana, nina miaka 25, sina hili wala lile. Sijui nikatafutie wapi Maisha. Mimi...
Habari za muda huu Mpwa!
Ni siku nyingine tena tunakutana katika kuangalia yale mambo kadha wa kadha ambayo yanagusa maisha yetu.
Mpwa, leo nimekuja na jambo moja tu ambalo ndio limekuwa muhimili wa sasa katika maisha ya leo yaani 'Connection'.
Ni neno la kawaida sana ukilisoma na kulitamka...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri wapendwa.... Tarehe 29 Mwezi september, mwaka huu natimiza miaka 24. Nataka kushare niliyokumbana nayo na wake za watu pamoja na niliyowahi kuyashuhudia.
Mara ya kwanza kuishi wilaya ya Bunda niliishi mtaa mmoja uitwao Nyamakokoto kutokana na ugumu wa maisha kazi...