maisha

  1. Mshuza2

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu sana jamani

    Jamani huko mliko nyie wenzangu vipi? Huku naona kama kipa katoka, ngoma ngumu sana! Ile milo mitatu kwa siku imekua kwa mbinde sana, hebu fikiria yale mahitaji muhimu ya mwanadamu bado kwetu ni tatizo. Hatuli vizuri, hatuvai vizuri, na mbaya zaidi hatulali pazuri. Kuna kundi kubwa la watu...
  2. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Ualimu imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha!

    Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasani nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo. Nilikuwa nafurahia Sana nilikutana na mtoto hajui kusoma vizuri au hata kuandika sawasawa nikamuuliza mama au...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na CHADEMA wamekata tamaa baada ya kukataliwa na Vijana

    Ndugu zangu watanzania, Tegemeo la chadema miaka yote ilikuwa Ni kwa kundi la vijana,Hakika na kwa hakika vijana wa nchi hii walitumika na kutumikishwa Sana na chadema,wazazi wengi Sana wamebaki wanalia machozi kila Siku baada ya watoto wao na vijana wao kufukuzwa vyuoni kwa sababu ya utovu wa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wanaopelekwa Mirembe wanahitaji faraja sana

    Maisha ya Mirembe sio poa kabisa yaani ukiona ndugu yako au mwanao a aende mirembe jaribu kumuombea ama hakika maisha ya kule si poa mtu wangu yaani sio poa unaelewa sio poa? Yaani maisha ya kule ni kama jela but mtu unajaribu kijizima data tu ila sio poa. Nilienda mirembe kufanya utafiti mmoja...
  5. mama D

    JamiiForums Tanzania Mahubiri machungu na ya kutuponya toka kwa Kuhani na mwalimu Musa Richard Mwacha

    Vijana kuna tuition nzuri sana toka kwa Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha Mwanaume mwenye viwango vya juu kama kichwa cha familia. Big up kwa mwanaume yoyote mwenye bidii ya kazi. Eti umekula?? umekunywa maji?? Umelala??😂😂😂 Baadhi ya Watoto wa kike hawataki kutumia ubongo zao
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanaokwenda kwa waganga wana hoja, wasibezwe

    Jumatano njema! Kuna ubaya kusema kila mtu anakula anakopeleka mboga? Wapo WaRC na Walokole wengi hukimbilia kwa waganga wa kienyeji na miilini wana chale za kutosha. Wana hoja, miaka ya leo utapeli umekuwa mwingi. Mchungaji anafukuza muumini kwa uzinifu wakati mwenyewe anazini. Watu...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mboga gani unaweza otesha nyumbani ili kukabiliana na mfumuko wa bei na ugumu wa maisha?

    Infaltion inafanya maisha yanakuwa magumu sana. Athari kubwa zinakuwa upande wa lishe. Si vema kupata utapiamlo na hali unaweza solve kwa kuotesha mbogamboga hapo nyumbani. Tushirikishane juu ya mbogamboga na vyakula vingine ambavyo mtu anaweza kuzalisha nyumbani. 1. Kisamvu. Hapa nazungumzia...
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya maisha yako nafuu kiasi hiki ukilinganisha na sehemu zingine za nchi yetu?

    Niko Mbeya nashangaa shangaa Naona mabucha mengi ya nyama ya ng'ombe yanauza nyama kilo 6,000/= Kitimoto kilo ni 8000/= Mchele kilo ni 2000/= Mafuta ya kupikia lita 5 ni 23,000/= Maharage kilo ni 2500/= Ndizi mkungu ni elfu 5 tu. Matunda yapo ya kila aina,mfano maembe bakuli zima ni jero tu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kutafuta maisha au kufanya biashara mpaka wa Kasumbalesa njoo tukumbushane visa vya huko

    Mara ya kwanza ilikuwa ni likizo yangu December 2018, nikiwa na mwenyeji wangu ( mzambia) baada ya kupeleka mchele na kumaliza kuuza, mwenyeji wangu alinishauri tusogee Rukwa, tununue dagaa then tuwapeleke Kasumbalesa kwa kipindi hicho akadai wanalipa na yeye anawafahamu dagaa ila shida lugha...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Katiba Bora, ukuaji wa uchumi na hali ya maisha ya raia wa Tanzania

    Katiba ni sheria kuu ya nchi inayoweka mfumo wa kisheria na kitaasisi kwa serikali, kufafanua haki na wajibu wa raia, na kuweka kanuni za utendaji kazi wa jamii. Ni hati inayoeleza kanuni na maadili ya msingi ya nchi, na inatumika kama msingi wa sheria na sera nyingine zote. Katiba kwa kawaida...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha ndio umemkimbiza Lissu kutoka Ubelgiji

    Imefahamika sasa kilichomkimbiza Lissu kutoka Ubelgiji ni ugumu wa maisha. Kwa sasa Ubelgiji maisha yako juu sana mara 2 ya Tanzania kwa kigezo cha mfumko wa bei. What is Belgium's current inflation rate? In January 2023, the inflation rate in Belgium fell to 8.05 per cent, which shows a...
  12. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Siasa ndio msingi wa maisha yetu, tukiipuuza tutaendelea kuongozwa na wajinga tu

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe jana akiwa mkoani Singida amenukuliwa akionya kuwa; "Siasa haipaswi kupuuzwa hata kidogo, ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku. Siasa ndio iliyopelekea uwepo wa tozo, kupanda kwa bei za bidhaa na ugumu wa maisha ambao watanzania wengi wanaupitia sasa. Na...
  13. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mtanzania aliyewahi kuwa Jambazi sugu Kenya atoa ushahidi na kusimulia alivyofanya jambazi ikiwemo kuvaa sare za polisi, Kayachoka maisha ya uraiani?

    Mzee anajisnichi mwenyewe, ni kama anajivunia kwa kazi haramu aliyowahi kuifanya uyu mzee ni kama vile sio mzima kwakweli, ana jitoa ufaamu wazi wazi. anaonyesha hadi id yake aliyotumia Kenya pamoja na chapisho la gazeti kwamba ni "wanted". chanzo ni Millard, ni credible source so nahisi...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Watanzania amkeni CCM haiko serious na maisha yenu

    Tanzanian tukiendelea na kulala huku tukisikiliza ngonjera za CCM. Tutatengeneza familia maskini kupindukia huku familia za wanasiasa mambo yao yakiwa mazuri. MTU akikunyima hela kakunyima Uhuru utabaki mtumwa na ombaomba kila siku. Yale yanayoendelea Nchini na Majibu yanayotolewa na CCM ni...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mfano wa Taifa lililoshusha gharama ya maisha kwa kutumia Katiba?

    Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nina Deni la Maisha

    NINA DENI LA MAISHA Anaandika, Robert Heriel Tz Leo upo Msiba wa Bibi yangu ambaye jina langu limetoka Kwa Mume wake(Babu yangu). Wale waliotujua Kabla hatujajulikana, walitupa, wakatupa tukakosa cha kuwalipa. Hivyo ndivyo ilivyokuwa. Hatukuweza kufidia upendo wao. Hata ingepita Miaka Elfu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuishi Mjini vs kuishi kwenye Vijiji vilivyochangamka

    Kazi unazofanya ni miongoni mwa vitu ambavyo vinakuchagulia mahala pa kuishi. Nimeishi sehemu nyingi za mjini na kijijini, nilichokiona mimi maisha ya mjini ni mazuri ukiwa na pesa nyingi na maisha ya kuishi kwenye kijiji kilichochangamka ni mazuri zaidi hata ukiwa na pesa kiasi. Nimechukua...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ahsante Tundu Lissu. Ulipozungumzia ugumu wa maisha (bei ya nyama na maharage) walikuelewa nao wanakuunga mkono Bungeni. Great

    Ulipozungumzia Nyama na Maharage wananchi walikuelewa Ila wanasiasa walikuelewa vizuri zaidi. Umebadili michango ya wabunge bungeni, Dr. Bashiru ameacha kebehi anajadili njaa; Gambo ameacha kujadili propaganda anajadili njaa. Naomba nikupongeze kwamba umebadili upepo; Mdogo wako Mwiguli...
  19. Phobia

    JamiiForums Tanzania Nimechoka maisha ya ughaibuni

    Ama hakika maisha ya ughaibuni kwa ujumla yamenichosha jamani yaanj sio poa kabisa yaani kutwa kushinda uko pekee yako hamna vijiwe vya kahawa na kashata kama huko bongo yaanj kutwa kufanya kazi saving ni kipengele sana kwasababu unafanya kazi mara ulipie mortgage, mara ilipie car rent hamna...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa Maisha kutinga Bungeni leo

    Acheni Mungu aitwe Mungu. Kwa hakika Mola akimuinua mja wake, haijali hata wenye pembe wafanye nini. Yale mambo yetu kutokea uwanja wa Bulyaga yanazidi kushika kasi: "Ugumu wa maisha na kuongezeka mno kwa mfumuko wa bei. Haya yakiakisiwa vilivyo na bei za vyakula sokoni." Nani alikuwa na...
Back
Top Bottom