maisha

  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke Utajiri wa Mume wako Usikufanye uache kazi Maisha Yanabadilika

    Hope ni wazima Wana Jf Nina sister yangu upande wa baba mwingine (baba mkubwa)kanipita kidogo umri ni mkubwa kwangu baada ya kumaliza degree ya uhasibu miaka Ile alipata kazi benki ya N.... mkoa x wakati sister yupo chuo alikuwa na mtu wake ambaye amemuoa. Kabla ndoa walikuwa wanaoishi wote...
  2. JamiiForums Tanzania Kusoma sana ni uoga wa maisha na umburula pia

    Nashangazwa na hii mijitu kutwa kuzurura kwenye korido za vyuo vikuu yaani nawaona mburula balaa but mbaya zaidi wakimaliza kutwa kuzunguka na baada bahasha la kaki kutafuta employment au wengine wanajiendeleza na kusoma eti kisa kuongeza laki 200000 tu kwenye mshahara wake! Huo ni ulofa na...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutokuwa Mtumwa wa Mitandao ya Kijamii na Uishi Maisha ya Furaha

    Upweke ni tatizo kubwa hususani vijana, unashangaa upo online masaa 24 kwenye mitandao ya kijamii. Lakini... Huna muda wala ukaribu na mtu wa karibu yako pengine majirani zako, kwa kisingizio unaishi maisha yako hivyo wasikufate fuate, Kumbuka maisha bila watu hayana ladha. Mitandao ya...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Usalama wa taifa aliyeikimbia nchi, aeleza maisha magumu ambayo Putin anaishi

    Putin anaishi maisha magumu, uwoga uwoga kila siku, kwa yeye kuhudhuria hafla yoyote hata kama ya dk 15 hulazimu mipango ifanywe kwa muda mrefu. Halafu ni nadra sana atoke, muda mwingi yuko ndani na mara nyingi misafara yake huwa inatoka bila yeye kuwemo, limsafara linakatiza mjini na mbwembwe...
  5. JamiiForums Tanzania Hali ya maisha imekuwa tete sana. Mawaziri mnakula vizuri, sisi hali mbaya

    Hali ya maisha imekuwa tete sana. Mchele Maharagwe. Mafuta. Unga Havinunuliki. Viongozi amkeni msimuharibie mama. Hali mbaya wengine wakichota billions
  6. JamiiForums Tanzania DR-Congo: Wanajeshi 6 wafungwa jela maisha kwa kumuua Balozi wa Italia

    Hukumu imetolewa na Mahakama ya Kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) juu ya mauaji ya Balozi #LucaAttanasio mwaka wa 2021, licha ya ushahidi wa kesi kuendelea kuwa na utata. Hata hivyo, Mawakili wa Washtakiwa wametangaza kukata rufaa kupinga hukumu hiyo ambayo awali Waendesha...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa ni kama pedeli ya baskeli

    Maisha ya ndoa ni mazuri Sana Kama mtaelewana,japo mapungufu yatakuwepo lakini ni kawaida. Yanafanana na pedeli ya baskeli.Siku mke akiwa juu,mume kubali kuwa chini na mume akiwa juu mke kubali kuwa chini.(ndivyo baskeli inavyoenda). Kiburi,ujeuri,kisirani,dharau,ubabe haujengi ndoa Bali...
  8. JamiiForums Tanzania Una washauri nini wanaofutilia maisha yako?

    Una washauri nini wanaofutilia maisha yako?
  9. JamiiForums Tanzania Una maisha magumu kama mfupa lakini huchoki kuhonga kwanini?

    Una maisha magumu kama mfupa lakini huchoki kuhonga kwanini?
  10. JamiiForums Tanzania Nimeyakumbuka maisha ya zamani

    Salaam wakuu, Aisee nimeyakumbuka maisha ya zamani enzi zile siku za sikukuu kama pasaka na iddi muislamu atamualika mkristo na mkristo atamualika muislamu. Enzi zile kipind cha ramadhani waislamu wanawaalika wakristo katika futari. Enzi zile jirani akiondoka Hana wasiwasi juu ya watoto wake...
  11. JamiiForums Tanzania Jisamehe ili Maisha yaendelee!

    JISAMEHE ILI MAISHA YAENDELEE! Anaandika, Robert Heriel Wazazi walikukazania usome lakini ukapuuza, ukafeli sasa unaona Maisha ni magumu, unawaelewa ukiwa umechelewa, Usijilaumu; imetosha sasa! Jisamehe uendelee na Maisha mengine. Ikiwezekana kawaombe wazazi wako Msamaha. Ulikatazwa usicheze...
  12. JamiiForums Tanzania Hali halisi ya maisha huku mtaani

    Habari ya jion wana JF, Ni miezi kadhaa tangu niandike uzi wangu mara ya mwisho ndani ya jf, ni katika harakati za kuendelea kupambana na maisha ya mtaani hasa kwa sisi graduates. Nikiwa nimekaa mahali napo patia ridhiki juzi nilipitiwa na dogo ambaye nilimuacha akiwa first year pale SUA akiwa...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga: gharama ya maisha imesababishwa na mambo mengi

  14. JamiiForums Tanzania Kuwepo kwa gape za uchumi Kati ya taifa moja na jingine au ndani ya jamii ni sababu moja ya muhimu ya maisha kuwezekana au Kuwepo na amani

    Uchumi unapolingana Kati ya mataifa mengi au Kati ya watu wengi Katika jamii huibua mashindano ambayo Mara nyingi matumizi ya nguvu huonekana na kusababisha machafuko na vifo
  15. W

    JamiiForums Tanzania 'Toa hela' na 'Niko bize' zinavyogusa maisha yangu! Ahsante sana Jaffarai

    Sijui yuko wapi sasa huyu mwamba? Kila alichokisema katika nyimbo zake hizo mbili ninakabiliana navyo kila siku na kuvishuhudia; -masjala file lako litaonekana tu kama utawapoza kidogo wale ps, la sivyo utaona linatafutwa kila siku. -mpe mwalimu pesa uone mtoto anavyofuatiliwa na matokeo yote...
  16. JamiiForums Tanzania Kipi bora kuuza mali zako kumsomesha mtoto ili aje akusaidie baadae au ubaki na mali zako na mtoto umpa elimu ya maisha

    Familia nyingi zimefeli baada ya kumaliza mali kama mashamba,mifugo n.k kwa kuwasomesha watoto wao mwisho watoto wao wamekuja na vyeti nyumbani. Elimu ya maisha yamekosa hata elimu waliyoipata huko shuleni wamerudi mtaani haitumiki. elimu yako ndo inayokutesa.... kazi unayofanya sasa hivi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Wakuu habari zenu. Naitwa Damian nipo Temeke Dar. Elimu yangu nina degree but kazi yoyote nitafanya. Wakuu NATAFUTA KAZI yoyote halali maana hali yangu ni ngumu sana kiuchumi yani kazi yoyote itakayonifanya niishi tu. Napatikana Temeke na namba yangu ni 0612255193.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Onyango, Nyoni, Bocco na Mkude hawastahili kuichezea Simba. Muda umefika wa kuwaruhusu wakatafute maisha sehemu nyingine

    Chei Chei..... Nimefuatilia mahojiano ya Rais, Tajiri na mwekezaji mwenye mapenzi wa dhati na Simba Sc, Mh. Mohammed Dewji yaliyofanywa na Saleh Jembe, nimesikitika kusikia Simba imepewa 1.5 billioni za usajili lakini upigaji umekuwa mwingi.Miongoni mwa upigaji wa pesa za Rais Mo ni kuwaongezea...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Baba afungwa jela Maisha kwa Kubaka Wanae Wakike wawili na kumlawiti wa Kiume

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida imemhukumu kifungo cha maisha mkazi wa Mtaa wa Majengo, Fabiano Dubabe kwa kosa la kuwabaka na kuwalawiti watoto wake watatu. Dubabe, aliyekuwa akijishughulisha na kazi ya ulinzi anatuhumiwa kutenda makosa hayo kati ya mwaka 2018 na 2022 kwa nyakati tofauti...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanadada amejiua baada ya kutumia pesa zake nyingi kumgharamia boyfriend wake ahamie Marekani watafute maisha wote

    Mwanadada huyo wa nchini Cameroon aliyekuwa anaishi Marekani amefariki kwa kujiua baada ya kutumia pesa zake nyingi kumtoa boyfriend wake nchini Cameroon kumgharamia ahamie Marekani watafute maisha wote. Kilichotokea baada ya kipindi flani walikwaruzana kidogo na muda haukupita jamaa akaanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…