maisha

  1. JamiiForums Tanzania Maisha ya shule vs kuhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea familia

    Ukiwa Shule uliwacheka sana walimu juu ya mavazi yao. Uliona habadilishi viatu na nguo zinahesabika. Haya tuambie baada ya life la kitaa umeonaje uhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea familia? #ElimikaWikiendi
  2. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi maisha marefu usioe

    Naleta kisa kimoja au viwili kutetea uzi wangu. Baba mmoja mtumishi wa mamlaka moja ya serikali ana kawaida ya kumpa mke Tsh. 300k ya matumizi yake binafsi kama mke kila anapopata mshahara. Hiyo pesa haina mahusiano na pesa za matumizi ya nyumbani. Pia kampa fedha mke wake afungue miradi. Mke...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Maisha ni kupanga na kupanga nikuchangua picha imenifikirisha

    Kuna Ile kauli mwembamba Africa hayupo, ni juhudi zako tu. HAPA ni Jacob Steven, JB mwigizaji na director noma Bongo akiwa dogo flani na alivyo sasa. Picha hiyo inamuonyesha Jb picha ya zamani akiwa mwembamba kama sindano wakati hivi sasa ni bonge la mtu.
  4. JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 itabidi wanasiasa wajieleze Sana, vijana kila siku wanajinyonga kwa ugumu wa Maisha

    Wamesoma lakini it is about 10 -5 years no Employment then nyie politicians manawakejeri kwa kuwaambia wanabidi watengeneze ajira hivi Mtu anajiajili vipi bila mtaji Wala Mazingira mazuri ya uwezeshwaji. Sijui hiyo 2025 mtakuja na nyimbo gani ili tupate kuwaelewa. Elimu yenu mnayotoa katika...
  5. JamiiForums Tanzania Iko wapi amani ya maisha yangu?

    Hope ni wazima Wana JF, Maisha ni fumbo, nilijua kuwa na unafuu wa maisha moyo wangu utakuwa na amani na furahi, lakini imekuwa sio hivyo. Nina kazi nzuri, ambayo inanipa mshahara wa kuweza kumudu gharama za maisha lakini sifurahii chochote kwa sasa. Chazo sio familia nina mke na mtoto mmoja...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Niliachana na aliyekuwa mume wangu miaka 5 imepita, kuachana kwetu kulikuwa kubaya sana kwa mambo mabaya yaliyopita katikati yetu. Sipendi kuyaeleza maana ni mabaya ila nilishayasahau na kuyaacha yapite. Baada ya kuachana (aliondoka bila kuniaga na kodi ikiwa tunadaiwa miezi 5 bila kulipa)...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kama Watanzania tutapuuza kutetea na kutafuta haki za Marehemu, maisha yetu yatazidi kuwa hatarini siku kwa siku

    Moja ya Jambo ambalo mataifa yaliyostaarabika wamefaulu nikuwaakikishia wananchi wake haki ya kuishi. Kwamba hakuna mtu atatoa uhai wa mtu akabaki salama; lazima tu abainike. Kwa Tanzania hali ni mbaya, viongozi hata kapuku anaweza akafa kifo chenye utata tukabaki kusema tunamwachia Mungu. Je...
  8. JamiiForums Tanzania Leo nimeokoka na kumkabidhi Yesu maisha yangu

    Habarini ndugu zangu, Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea. Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya. Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, wewe katika scenario hii utarudi ili ufungwe miaka 30/ Maisha?

    09.12.2019 Mahakama Kuu ilimwachia huru mtuhumiwa wa madawa ya kulevya. Jana 28/4/2023 Mahakama ya Rufaa ikamuona ana makosa ya madawa ya kulevya , ikamtia hatiani na kuamuru arudi /akamatwe afungwe miaka 30/maisha. Je wewe katika hali hiyo utarudi? Mimi sitarudi yote ya kwangu nyumbani...
  10. JamiiForums Tanzania Ni vipi Mungu anahusika kuwaleta duniani watu wanaozaliwa na ulemavu unaofanya maisha yao kuwa Jehanamu, Ni baraka yake kuwa hivyo ?

    Nimechoka na majibu ya mkato kwamba mambo ya Mungu tumwachie Mungu mwenyewe, hili jibu haliwezi kamwe kutosha kwa maisha magumu wanayopitia walemavu, Ufafanuzi unahitajika !! Wanasema kila kitu ni utukufu wa Mungu, watu wote wanaozaliwa wameumbwa kwa baraka yake, Kwa walemavu je ni baraka kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanaume Maisha ni Mapambano, chagua moja kati ya haya

    Kupambana sio kutafuta hela tu. Kupambana ni kitendo cha kuwa bora na mwenye thamani zaidi kila siku. Tangu umezaliwa hauna thamani kulinganisha na mtoto wa kike. Usikae kulalamika kuhusu hilo. Ni juu yako kupambana na kukuza thamani yako. Na utaheshimiwa zaidi kadri unavyozidi kupanda juu...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya wavuvi wanatumia vyandarua kuvulia samaki, huu sio uhujumu wa maisha ya viumbe vya majini?

    Uvuvi kwa kutumia vyandarua vya kuzuia mbu unasababisha hata wale samaki wadogo ambao walikuwa na muda wa kukua kuvuliwa na mwisho wa siku idadi ya samaki inapungua. Serikali isimamie uvuvi huu wa holela na kuhakikisha unahitimishwa.
  13. JamiiForums Tanzania Hivi lini hii dunia wajinga wataisha? Hivi msomi nae anaweza kuwa na vivyo hivyo ukawa mjinga! Dada Betty ujinga umekufanya upoteze maisha

    MAREHEMU BETTY AJENTA CHARLES: Hadithi ya Betty Ajenta Charles (pichani), inasikitisha. Mwili wake umefukuliwa baada ya kufunga mpaka kufa katika sakata linaloendelea nchini Kenya la Mchungaji Paul Mackenzie ambaye anawafungisha Wakenya hadi umauti ("Fasting to Death") ili wafike Mbinguni...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuokoa maisha ya mtu aliyepaliwa mfumo wa hewa

    Kupaliwa kwa mfumo wa hewa ni hali hatari na inahitaji hatua za haraka ili kumuokoa mtu. Hapa ni hatua za kwanza ambazo unaweza kuchukua ili kumuokoa mtu aliyepaliwa mfumo wa hewa: Tathmini hali ya mgonjwa: Angalia hali ya mgonjwa na kubaini ikiwa yupo katika hali ya hatari. Kama mgonjwa...
  15. JamiiForums Tanzania Yule Mzee aliharibu maisha ya Mabinti wengi Ila yangu aliyaharibu na kuyatengeneza mwenyewe

    Niko nimejilaza zangu kitandani nikiwaza na kuwazua huku nikifurahia mvua na radi zinazoendelea huko nje. Katika kuwaza na kuwazua nikamkumbuka Clepatina wa umri wa miaka saba au nane hivi aliyekua akiishi na baba na mama yake wa kambo huko kijijini. Mvua hizi zimenikumbusha mbali utotoni...
  16. JamiiForums Tanzania Sensa 2022: Matokeo yanaonesha Watanzania wengi "hukata moto" miaka ya 30+. Je, ni hali mbaya ya maisha?

    Ni Kwasababu ya ugumu wa maisha? Au kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza? Au ni kutokana na mtindo wa maisha?
  17. JamiiForums Tanzania Unajua kuwa watu wengi wanaishi maisha yasiyo yao kwa kunyang'anywa nyota na vibali vyao?

    Watu wanaishi maisha yasiyo yao, yaani ya chini na wasiyostahili na baada ya muda wanayazoea na kuona ndio maisha yao halisi ilhali sio kweli. Unakuta mtu huyo alikuwa na mafanikio kielimu, kikazi, kiuchumi lakini ghafla tu akaanza kushuka na kuporomoka kabisa katika kila nyanja na wengine...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri: Maisha ya mahusiano yanahitaji Mwelekeo na sio haraka

    Advice Huku mtaani ,majumbani barabarani habari ni kutelekezwa kwa watoto na kila familia Basi hukosi zao la single mothers au kijana wa ovyo aliyetia wanawake Mimba bila kuwaoa What I need to say. Maisha sio leo ni Kesho Kama asemavyo Mkuu Mshana Jr mentor wa vijana wa TANZANIA. Wakati wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa Maisha ni hatari kwa usalama wa Taifa, serikali ichukue tahadhari

    Ni ukweli mchungu kwamba mtaani hali ni ngumu sana kuanzia upatikanaji wa pesa mpaka bei za bidhaa. Binafsi, mbali na kwamba ni muajiriwa, lakini pia najishughulisha na biashara zinazogusa moja kwa moja wananchi, kwa hiyo ninachoandika nina kifahamu vizuri. Kwa hali ilivyo sasa, anaweza tokea...
  20. JamiiForums Tanzania Ikiwa nitasema uongo ili kuokoa maisha yangu au ya mtu mwingine , Je nitakuwa nimetenda dhambi?

    Kuna nyakati katika maisha yetu inatubidi au utokea tuseme uwongo ili kuzuia hatari mbalimbali pamoja kuokoa maisha yetu au ya watu wengine. Je kufanya hivyo ni dhambi na ni chukizo kwa mwenyezi Mungu? Mithali 6:16-17 inasema 16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia;Naam, vitu saba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…