maisha

  1. Bi. Khadija MKE wa Mtume Muhammad ndio Sampuli ya Mke Bora ambaye unaweza kufanya naye Maisha

    Bi. KHADIJA MKE WA MTUME MUHAMMAD NDIO SAMPULI YA MKE BORA AMBAYE UNAWEZA KUFANYA NAYE MAISHA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ukisikia msemo usemao Nyuma ya kila mwanaume mwenye Mafanikio kuna Mwanamke, elewa kuwa Mwanamke anayetajwa hapo sio Mwanamke Kupe Nyonyaji, mbinafsi na goigoi au...
  2. Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

    Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu. Now its too much. Aende zake kwa...
  3. Zawadi Inayoitwa Maisha: Safari Yangu Kutoka kwa Teja wa Dawa za Kulevya Hadi Kupona

    Siku zote nilisema kwamba sitawahi kutumia dawa za kulevya. Nikitazama nyuma, nilifanya kila kitu nilichosema singefanya. Mara ya kwanza nilipotumia dawa za kulevya, nilianza na bangi. Sikuipenda, lakini niliizoea. Sikujisikia vizuri ikiwa sikuitumia. Nilikuwa na kazi nzuri basi; palikuwa...
  4. Fanya haya unapoona hali yako ya maisha ni mbaya au umasikini umezidi

    Nifanye nini ninapoona maisha yangu yanaendelea kuwa magumu Wakati maisha yanapoendelea kuwa magumu, kuna hatua kadhaa unazoweza kuchukua: Chambua hali yako: Tafakari kwa kina kuhusu sababu zinazofanya maisha yako yawe magumu. Je, kuna changamoto za kifedha, kiafya, au za kihisia? Kuelewa...
  5. Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha

    Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha. Hapa kuna hoja kadhaa za kujenga vijana kifikra: Elimu yenye ufahamu: Badala ya kuzingatia tu kujifunza kwa ajili ya mitihani, ni muhimu kuhamasisha vijana kufikiri kwa kina, kuuliza maswali, na...
  6. M

    Wenzetu Kenya wanaandamana kupinga ufisadi na ugumu wa Maisha. Sisi bandari zinauzwa na huku tunakosa hata chakula

  7. Maisha ya sasa Mwanaume na Mwanamke ni maadui wakubwa, tusitegemee tena ndoa kudumu

    Maisha ya sasa mwanaume na mwanamke ni maadui wakubwa sana tusitegemee tena mahusiano ya kimapenzi au ndoa kudumu. Uhalisia ni kuwa maisha ya sasa yamejaa uadui mkubwa sana kati ya mwanamke na mwanaume ndio maana mahusiano hayastawi tena. Wapenzi wataanza mahusiano lakini baada ya muda mchache...
  8. Hii ndio sababu Vijana wengi Tunakufa mapema, hauwezi kutoboa kwa mtindo huu wa maisha

    Hebu fikiria unaamka tu unakutana na hili balaa... MDOGO WAKO:Kaka naomba 600,000/= Kwa ajili ya ada . Walisema nisipolipa hawatanipokea kabisa . BABA MWENYE NYUMBA:Missed Calls 83 na Ujumbe: Leo nakupatia Nafasi ya Mwisho BINTI WA JIRANI: Nafikiri Nina Ujauzito wako . RAFIKI YAKO: Kaka...
  9. Aina ya maisha kwa vijana wa Arusha tunahitaji mjadala wa kitaifa

    Kuna clip zinatembea zikionesha vijana wa mkoa wa Arusha wakiwa mochwari kwaajili ya kuchukua mwili wa mwenzao aliyefariki kwa ajali ya pikipiki. Namna ya maisha ya vijana wa Arusha wanavyoishi, kuvaa, kuongea, ku-behave nafikiri tunahitaji mjadala wa kitaifa. Yaani wanafanya mambo ya kizamani...
  10. Bila Chadema Maisha ya Vijana wa CCM (Machawa)ni ya Tabu mno.

    Bila Chadema maisha ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (ccm) ni ya tabu mno, Ili Ccm Iwalipe fadhila ama Fedha, au cheo Vijana hawa (machawa) ni lazima wawe na Hoja za kuikejeli na kuitukana Chadema pamoja na Viongozi Wake Waandamizi.
  11. Maisha ndio haya haya

    😊😊😊😊😊 🤭🤭🤭🤭🤭🤭 🤭🤭🤭🤭🤭
  12. Maisha na mahusiano ya mapenzi

    Habari za muda ndugu zangu watanzania. mada husika hapo inaeleza maisha na mahusiano ya mapenzi katika Karne hii ya 21, na kizazi kijacho kwa Karne ya baadae itakuwaje. kwa Sasa maisha kwa hapa Tanzania kwa asilimia 60% bado yanasua sua, asilimia 40% ni wale wapigaji wa fedha katika miradi na...
  13. Kuna Mke au Mume ukimuacha umekula hasara ya Maisha

    Anaandika, Robert Heriel Acheni kabisa, yaani kuna mtu kwenye mahusiano ukiachana naye hesabu umekula hasara ya Maisha. Achana na hawa wajingawajinga wanaowaza uchi wao, uchi kitu gani bhana! Uchi hata Malaya anao. Kwani ni Mwanamke gani asiye na uchi? Kwa kweli uzoefu wangu Mwanamke Hana...
  14. Naombeni kueleweshwa kuhusu hii ishu ya Freelancer

    Habari, Wanajukwaa naomba kueleweshwa kuhusu hii ishu ya Uwakala wa kusaji laini (Freelancer). Je, INALIPA? au ni kupoteza muda bila mafanikio kama ndiyo ushawahi kuona mtu kafanikiwa?
  15. G

    Maisha ya Zanzibar yapoje? Nataka kwenda kutafuta ridhiki

    Habari za mihangaiko wanajamii, Hivi karibuni nafikiria kwenda Zanzibar kwaajili ya kuanza Maisha, pamoja na kutafuta kazi huko hasa zinazohusu tourism and hospitality. Kwa wenyeji na wazoefu wa Maisha ya Zanzibar Je, Maisha ya utafutaji yapo vipi huko (ugumu na wepesi wa kupata kazi)...
  16. Madhara ya Mitindo ya maisha Nowdays

    Vijana wengi wa siku hizi wanaongoza kwa kwenda na Fashion kitu ambacho kinawafanya kukwepa majukumu kutokakana na madhara ya mitindo ya maisha KUMBUKA: "Unaweza kukwepa majukumu, ila sio madhara ya majukumu unayoyakwepa"
  17. Huu ndio muda unaotumia kwa shughuli mbalimbali katika maisha yako yote

    Kulala: miaka 26 Kazi: miaka 12 Kuangalia TV: miaka 8.8 Ununuzi: miaka 8.5 Kula na kunywa: miaka 3.6 Kuvinjari mtandaoni: miaka 3.2 Mitandao ya kijamii: miaka 3 Mikutano: miaka 2 Utayarishaji: miaka 1.5 Kusafiri: miaka 1.5 Kufanya kazi za nyumbani: miaka 1.25 Mazoezi: miaka 1.2 Katika baa na...
  18. Haya ndio maisha halisi ya wengi

    MDOGO WAKO:Kaka naomba 600,000/= Kwa ajiri ya ada . Walisema nisipolipa hawatanipokea kabisa. BABA MWENYE NYUMBA:Missed Calls 83 na Ujumbe: Leo nakupatia Nafasi ya Mwisho BINTI WA JIRANI: Nafikiri Nina Ujauzito wako. RAFIKI YAKO: Kaka ,fedha yangu lini unanipa? Ni mwisho wa mwezi Sasa...
  19. Video: Vijana waandalieni Maisha watoto wenu wasije wakaishi maisha haya huko Mbeleni

    Inasikitisha sana. Mtu kuchagua kuishi maisha haya. Ni ngumu sana kuupigania ubingwa. Ni ngumu lazima utapoteza matches na kuja poteza Ubingwa. Hivi nakwambia uwezekano wa kuvuliwa Ubingwa ni mkubwa sana. Mkubwa sana. Sasa msipoandaa mazingira mazuri kwa watoto wenu huko mbeleni mtakuja jikuta...
  20. L

    Bajeti mpya inakuja kuweka pilipili kwenye vidonda vya gharama za maisha kwa wananchi

    Bajeti imeingilia maisha ya watu ambayo tayari ni magumu kuwahi kutokea katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita. Bajeti imeweka kodi katika bidhaa ambazo bei zake ni kero kubwa kwa wananchi kuwahi kutokea tangu nchi ipate uhuru; 1. Kupandisha kodi ya mafuta kwa hali ya mafuta ilivyo sasa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…