maisha

  1. JamiiForums Tanzania Maisha ya Luhaga Mpina mashakani sana. Anakoelekea siyo kuzuri

    Namuangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari. Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana...
  2. JamiiForums Tanzania Sipingi Rashford kuenjoy maisha, ila kwenda kuparty baada ya kupigwa goals 3, daah!

    Kiukweli jamaa kazingua. Hapo sasa ndio tuje tuelewe mentallity za wachezaji waliopo katika hiki kikosi kisichoeleweka. Yeah they lose and they do not care
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utamu wa maisha..

    Ni pale unapovuta hewa safi yenye rutuba ambayo inapita kwenye mapafu yenye afya njema, huku moyo wako ukidundadunda kwa shangwe na mwili wako ukiwa tulivu bila kashkash!.. no stress, no harmful idea in you also no devil emotions!. Utulivu fulani hivi Hadi unausikia uti wa mgongo ume relax...
  4. JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha halisi ya familia zetu hasa msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jinsi ya kujitambua kuwa wewe ni paratrooper msimu huu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya 1. Ni pale vikao vya familia vitakapoanza bila kujali uwepo wako na vikaweza kuendelea hata ukisusa. 2. Ni pale utakuwa mtu pekee atakayehitajika wakitaka kuchinja mbuzi au kufanya shughuli yoyote...
  5. JamiiForums Tanzania Ni nani anayetaka kuweka maisha yake hatarini kwa sababu ya kuhoji tu?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Nauliza hili swali hapa, ila nina uhakika hakuna atakaekuwa tayari kujitokeza kunijibu. Hii ni kwa sababu wengi wanatumiwa ili mkono uende kinywani, lkn umafia wa yule anaewatumia wanaujua vizuri sana. Hapa nazungumzia ule upande wa kondoo kutembea kichwa chini...
  6. JamiiForums Tanzania Nimeamini Maisha si kombolela, nimepata akiba ya Tsh. Milioni 14.7 mwaka huu

    Mwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo...
  7. JamiiForums Tanzania Sehemu za kazi mtu anaweza akakuchukia tu akazuia kila fursa unayostahili!

    Ni maisha tu. Wanaoteuliwa kuwa Wakuu wa Vitengo au Idara wanajitahidi kuonyesha chuki zao na watendaji wa chini, wanadiriki kukutimba udidimie, ila Mungu ni Mkuu. Fikiria mtu akuchukie tu, tena idara za serikali ambapo anakuonesha waziwazi kukufungia vioo.
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa maisha

    Habari wana JF, Natafuta mwenza wamaisha umri kuanzia miaka 30, awe mwelewa, mcheshi, hofu ya Mungu, Upendo wa kweli, mahali popote, kabila lolote anakaribishwa. Mimi ni mwanaume mwenye umri miaka 38. Kazi nimejiajiri mwenyewe, dini ni mkristu. NB: Awe tayari kupima HIV.
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya Kamari yamefanya Vijana wawe wavivu, wazembe ,wasofanya kazi Kwa Bidii

    Vijana wakubet na Kamari wenyewe Hawa Cha kujishughulisha Tena na kufanya kazi. Atashinda Ndani Masaa 24 ni kula, kubet Kamari. Wenye Kazi nao, wamejikuta hawana Juhudi Tena ya kazi zao,kazi wanafanya tu ilimradi. Serikali ya Ovyo nayo inajisifu, Et Kamari imetengeneza Ajira asilimia. Taifa...
  10. JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii inatufanya tuishi maisha ya kufikirika, rasmi naanza maisha mengine

    Nilikuwa active sana mitandaoni, nilijifunza mambo mengi ya nadharia hacking hahahaha Online friends hahahaha. Affiliate marketing hahahaha. Nilivokuwa nazama zaidi kwenye mitandao na kutengeneza network ya watu wengi mtandaoni ndivyo upweke kwenye maisha ya kawaida ulivyoongezeka. Nimegundua...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa za utalii Zanzibar

    Maisha ya Zanzibar yapoje katika sector ya utalii, mim ni guide najua lugha kama English Kijerumani na Spanish, nianzie wapi kwaajili yakupata fursa Zanzibar?
  12. JamiiForums Tanzania Iringa: Jela maisha kwa kubaka na kumpa mtoto Ukimwi

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha mara mbili Mzee Selemani Gwabuga maarufu Msabato, sambamba na kulipa fidia ya shilingi milioni 25, kulipa faini shilingi milion 5 na kuchapwa viboko 11 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka Mtoto wa miaka 11 na kumuambukiza virusi vya...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Mwili ule wa Kimbaumbau wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kumpeleka katika Oparesheni Kamata Jezi ni Kumhatarishia tu Maisha yake

    Tafadhali nawaomba Siku zingine msirudie tena au kama mnapenda awe anatumika katika Oparesheni zenu basi anzeni Kumlisha vyema ( Balance Diet ) ili Mwili wake uongezeke na mpeni Ratiba maalum ya kwenda Gym Kuujenga na Kuukomaza Mwili wake akienda tena katika Oparesheni zingine asiwe anapepesuka...
  14. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Kijana wa miaka 24 ahukumiwa jela maisha kwa kosa la kulawiti mtoto wa miaka mitano

    Mahakama ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Oktoba 25, 2023 imemuhukumu kifungo cha Maisha jela, Pius Stephano Mbunda (24) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Tingi Wilaya ya Nyasa baada ya kupatikana na hatia kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume (5). Akisoma hukumu hiyo ya kesi ya Jinai Na 31 ya...
  15. JamiiForums Tanzania Ni Aya au story gani katika quran au Biblia zilizokusaidia wakati wa shida au kufaulu mitihani ya maisha?

    Lengo la hivi vitabu ni kukusaidia kuvuka hatua moja ya chini kwenda nyingine bora ya juu. Vikitumika nje ya hapo ni matumizi mabaya. Mimi Aya hii iliwahi kunisaidia kipindi ninaumwa na sikuwa na msaada wa karibu. Nilipona bila kwenda hospitali nikiamini Kila ninachokula na kunya hata kama...
  16. JamiiForums Tanzania Sipendi kuonekana mbaya kwenye maisha

    Lakini ili la leo limenisikistisha zaidi, though muhusika nimemuelekeza huku nacheka, kuna staff mwezangu anafikaga kuiacha familia yake home kwangu mimi naishi karibu na maeneo ya kazi, dah wananipa mazingira magumu sana jamani. Tuliwaigi kufanya dili la elfu 60,000 yeye ndo alifanya dili...
  17. JamiiForums Tanzania Kuwa na mzazi wa namna hii ni zaidi ya kero

    KUWA NA MZAZI WA NAMNA HII NI ZAIDI YA KERO. "NIMEKUBALI LAANA YA BABA" Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna kijana mmoja tumekuwa tuliwasiliana Kwa takribani mwezi sasa. Amekuwa akiniomba msaada wa ushauri wa namna ya kukabiliana na yale yanayomkabili ambayo kwake anayaona kama ni matatizo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tutaenda mahakamani kwa kupata tafsiri ya Mwenyekiti wa maisha Mzee Mbowe

    Watanzania wote wanaoamini katika demokrasia ni muda muafaka wa kwenda kuomba mahakama itupatie ufafanuzi wa uwepo wa Wenyeviti wa kudumu kwenye hivyo vyama vya siasa.Kwa kuwa imekuwa ni vigumu kuwapata viongozi wapya kwenye hivi vyama kwa njia ya kupiga kura ni vyema tutafute haki kupitia...
  19. JamiiForums Tanzania Katika maisha yako usipende sana kuikimbizia GARI

    Wewe ni kama ndugu yangu wacha nikushauri kitu. Ndugu katika maisha yako ya kila siku USIPENDE sana kuikimbizia GARI, ukichelewa acha utakuja panda inginewe. Pia sio tu gari hata NDOA, hivi vitu sio vya kuvikimbizia kabisa ikitokea vimekuacha na wewe pia acha utakuja panda inginewe. Labda...
  20. JamiiForums Tanzania Falsafa na Maisha 101: Ni muhimu sana kuwafunza watoto wetu falsafa muhimu za maisha, la sivyo maisha yao duniani yatakuwa magumu sana

    Nimekuwa nikijaribu sana kuwasoma wanafalsafa wa miaka ya nyuma. Na kwasasa nikijiangalia kuna mengi sana yamebadilika kwenye maisha yangu, hususani kwenye maadili na kuwa na self control ya maisha yangu. Haya ni moja wapo ya mambo ambayo falsafa inazidi kunifundisha 1. Usiwe mtu wa kulalamika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…