maisha

  1. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Umaarufu Usio na Maadili ni Mzigo wa Maisha

    "Wachana na kiherehere cha kutafuta umaarufu wa kijinga unaoweza kuyagharimu mapambano yako ya maisha. Hukuzaliwa ili kuwadhalilisha wengine kwenye majukwaa au mitandao ya kijamii, uliletwa duniani kutimiza kusudi, si kuigiza maisha." — Alloyce, P.R.
  2. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Ukipewa box ambalo lina kila kitu ulichowahi kupoteza kwenye maisha yako! Ni kitu gani cha kwanza utakitafta kwenye hilo box?

    Ukipewa box ambalo lina kila kitu ulichowah kupoteza kwenye maisha yako! Ni kitu gani cha kwanza utakitafta kwenye hilo box?
  3. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili

    Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili** Salamu zangu kwenu nyote! Leo, nimefurahi sana kushiriki na nyie mawazo yangu kuhusu somo muhimu sana: jinsi ya kujilinda na kuepuka athari mbaya za wivu, chuki, ubaya, na ukatili katika maisha yetu. Katika...
  4. ommytk

    JamiiForums Tanzania Azam wafanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana

    Hongera sana kwa wizara husika na mwekezaji azam yaani umefanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana tulipitia kipindi kigumu sana nahisi sasa ni wakati wa BRT kuangalia hili la uwekazaji wa azam waliofanga hapa kigamboni mtu unasikia Ata raha sasa kuishi kigamboni BRT ebu fanyeni tathmini...
  5. Knock life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je umri wa miaka 32 ni umri sahihi wa kuoa na kuanzisha Maisha ya kifamilia?

    Wakuu , Kutokana na Changamoto za Maisha nimefikiria kusogeza siku mbele hasa kuhusu kuoa. Je umri wa miaka 32 ni rafiki na unafaa MTU kuanzisha familia au MTU anakuwa amechelewa? Ahsante.
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kauli ambazo za wanafalsafa mpaka leo zinaishi kwenye maisha yetu mifano tunayo

    Kauli maarufu inayohusiana na kwa sasa wanaitwa chawa chawa na ilitamkwa na mwanafalsafa wa Kirumi Tacitus, ambaye aliandika. “Even the worst rulers always find men who will praise them.” (Hata watawala wabaya kabisa huwapata watu wa kuwashangilia.) Au katika Kilatini kama alivyoandika...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa mnamo tarehe 16.06.2025 majira ya saa 21.05hrs huko katika Kijiji cha Mwamishari, Kata ya Mwamishari, Tarafa ya Kimali, Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu ilitokea ajali ambayo ilihusisha gari aina ya Scania ambalo lilikuwa...
  8. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha na mafanikio ya binadamu

    "Ulishawahi kujiuliza kwa nini wengi wanaofanikiwa kimaisha au kuwa viongozi hutokea maisha duni? Ni kwa sababu mateso huwafundisha kusimama bila kuegemea, kuvumilia bila kulalamika, na kutamani mafanikio kuliko usingizi."— Alloyce, P.R.
  9. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Lawama katika Maisha

    Kweli tunapitia nyakati ngumu na kweli kuna wakati ulinisaidia salio kidogo nikanunua LUKU lakini msaada huo uliambatana na masimango. Naam na kwa kumbukumbu zangu baada ya hapo si kwamba nilikutupa... la hasha nilikuwa pamoja nawe katika shida mbali mbali,,,, Pamoja na hayo bado unaona...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dhana na maisha kama safari ya kumbukumbu

    DHANA YA MAISHA KAMA SAFARI YA KUMBUKUMBU. Ikiwa maisha ni mkusanyiko wa kumbukumbu, basi kuishi ni kukumbuka. Na kama mwanadamu amezaliwa na kumbukumbu za maisha ya nyuma, basi kuishi ni kuendeleza mfuatano wa kumbukumbu hizo. Kifo basi si mwisho wa uhai tu, bali ni mwisho wa uwezo wa kukumbuka...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana malaika wake special wa kutunza kumbukumbu za Kila ukifanyacho duniani MAISHA yako yote

    Salaam, Shalom! Usilolijua ni kuwa, Kila mtu anaye malaika special toka kwa Mungu tangu kuzaliwa aliyeweka kuchukua kumbukumbu zote za mtu Akali akiishi na kuziandika kwenye KITABU maalum. Killa ukifanyacho kinaandikwa, matendo yote, mazuri kwa mabaya ynaandikwa, ndio maana Mungu huwa anapata...
  12. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kiume wana "overplay" nafasi zao katika maisha ya mwanamke

    Michepuko imeheshemishwa sana siku hizi, nafasi yake ni kahaba alie changamka ila vijana wana wapa privilege. Vijana wanaiga ngozi nyeupe kupigia magoti wala ugali wenzao. Vijana wanababaika na matako manene kupelekea kufanya ya ajabu ajabu.
  13. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Maisha

    Katika sauti ya kimya ya moyo wetu, kuna wito usioonekana lakini unaosikika kwa kila mtu anayejitafakari , wito wa kutambua zawadi ya maisha, zawadi adimu isiyopimika kwa dhahabu wala dhahabu. Kwa maneno ya mwandishi wa hekima, Khalil Gibran, aliwahi kusema: “Your living is determined not so...
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi Samia akimuachia huru Lissu atapungua nini?

    Pamoja na kujiridhisha, Lissu anaonekana kuichachafya CCM na kuichafua Tanzania. Kama rais Samia angekuwa anasiliza ushauri wa maana, angeachana na Lissu na kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja. Ni ushauri tu...
  15. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wakuu mbona hali ni tait sana. Ebu tupeane updates za mwelekeo wa maisha na mitikasi huko uliko

    Aiseee..mbona mtihani hivi
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kuna dhambi waliyoamua kuifanya baadhi ya waliokuwa viongozi wa CHADEMA wakishirikiana na CCM kumtoa sadaka ya mateso Lissu, itaamua maisha yao badaye

    Sisi watu wa hali ya chini (kwa muda) huwa tunafurahia sana maisha yetu licha kwamba tuna maisha ya kawaida sana Hatudhulumu, hatunyongi watu, hatuteki na hatuuwi watu, na tunakula kile kilichopo kwa furaha kabisa na amani ya Mioyo yetu, na sadaka zetu kwa Mungu ni za haki hazina hatia yoyote...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Waafrika hayana thamani kwa Waafrika wenzao? Nigeria watu wamechinjwa kama kuku na magaidi ila kimya tu!

    Wakati dunia nzima imejikita katika vita vya Iran na Israel huko Nigeria kwa mashemeji zetu katika jimbo la Benue watu zaidi ya 200 wamechinjwa kama kuku na magaidi wiki hii ila hizo habari hazipewi uzito wowote hata na Waafrika wenyewe! Mzungu wa huko Vatican Roma ndiye amezipa umuhimu na...
  18. Surya

    JamiiForums Tanzania Kwasasa kuanza maisha kwa kufanya Biashara ili ufanikiwe unahitaji Nguvu ya ziada

    Nataka niwafungulie kodi kidogo vijana mnaochipukia kwa sasa huku kwenye harakati ni pagumu sana na pahitaji Nguvu nyuma ya kukusaidia... Hatuwezi wote kuajiriwa serikalini ni ukweli usiopingika, kama Ujuzi ambao zamani ulionekana ukiwa wa muhimu na pekee (yani ajira nje nje) kwa sasa zote...
  19. Tman900

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kubali Umekataliwa Maisha Yaendelee

    Kkkm
  20. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Maisha bila makusudi ni safari isiyo na Ramani

    "Duniani ni mahali pa furaha na kutimiza makusudi yako. Ukiishi nje ya hayo, utahangaika, utawewesuka hadi siku unaondoka bila mwelekeo kama ulivyokuja."— Alloyce, P.R.
Back
Top Bottom