Fikiria hii picha...
Miaka 40 kutoka sasa, umezungukwa na wajukuu, kichwa kimejaa mvi. Wanakuangalia kwa macho ya kizazi kipya wakiwa na smartphones zao, wakidhani hujawahi kuwa kijana — hujawahi kusumbua mitandao wala kuishi maisha ya balaa.
Sasa tafakari kama babu yako angekuwa TikTok...
Kuna mda dharau, masimango na umaskini hua vinafanya watu kupata moyo wa kupambana ili kujitoa kwenye chanzo kilicho fanya wadharaulike je wew umewahi pitia hali gani ikakufanya utafte sana pesa kwa moyo wote?
Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17... nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa.
Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo...
Shikamooni wote.
Jamani uswahilini mbona kuna mambo ya ajabu hivi?!!
Jana nilikua kwa Muha wangu na mojawapo ya vitu nilifanya pale kwake ni kufua wakati yeye yuko kazini.
Kwa vile nyumba ina watu wengi nilipoanika pichu zangu na boxer za Muha wangu nilizifunika kwa kanga mana kwangu ni aibu...
Jamani,
Kunakupotezwa, si unajua tena ugali wa mtu, hata kama unga kaiiba, mboga kaiba, ila ukimwaga chakula chake, hasira huja zenyewe
Tusiweke video za wanaomkataa hadharani kipenzi cha wanasisiemu wenye nyadhifa za uteuzi!
Nazungumza nyadhifa za uteuzi kwa sababu, hao ndiyo watamlinda...
Mahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu.
Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa.
Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi...
Mama anjotahidi sana kuwanyanyua vijana kwa kuwapa ajira ambazo zinmwagwa daily kiti ambacho jpm aliamuaa makusdudi kuwaangamiza vijana kwa kutotoa ajira kwaa muda wake wote.
Hata zile chache zilizokuwepo zilipotea kwa kuwa threaten wawekezaji waliokuwa wameajiri mamia kwa maelfu.
Mfano...
Kila mwaka idadi ya wanafunzi wa kidato cha sita inaongezeka sambamba na ufaulu. Mwaka huu pekee, zaidi ya wanafunzi 125,000 wamepata sifa za kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Degree), Kati ya hawa, wanafunzi wanaoweza kujiunga na vyuo kwa mikopo au kwa kujilipia wanakadiriwa kufikia elfu...
Darasa la 1-7 una amka saa 1 asubuhi
Form 1-4 una amka saa 1 asubuhi
Form 5-6 una amka saa 1 asubuhi
Chuo kikuu una amka saa 1 asubuhi
Kazini una amka saa 1 asubuhi
Huu ni mzunguko wa maisha yako yote hadi uzeeni.
Ni UTUMWA wa hali ya juu sana.
Kifo hakieleweki; wengine tutakufa kabla ya uzee,
wengine tutazeeka kwanza kisha umauti utatufika
Nguvu tulizo nazo zitaisha, matumaini yatayeyuka, na hatutakuwa tena na nafasi ya kurekebisha yaliyopita.
Maisha haya ni safari fupi yenye misimu mingi, isiyo tabirika
Je, ni njia gani sahihi ya...
Hakuna watu wanaonaga wameyapatia Maisha, kama watumishi wa serikali wakiwa wamepanda kwenye hizi gari
V8
Land Cruser
Range Rover
G-wagon
Harier n.k...
🧵 1/ Ndugu zangu, vijana tuliozaliwa kati ya miaka ya 90s hadi 2000s, kuna jambo muhimu la kukumbushana: Maisha hayasimami, fainali uzeeni. Ujana ni kipindi cha misuli, ndoto na kelele—lakini kuna kesho ambayo lazima uiandae leo.
🧵 2/ Tulikulia kwenye vichochoro vya michezo ya kombolela aka...
Nimeona vijana wengi waliomaliza chuo kikuu na kufaulu vizuri sana lakini maisha yanawapiga vibaya kwasababu wanafikiri elimu za darasani ndio kila kitu katika maisha. Nope, sio kweli. Nawafahamu watu wengi tu walioishia darasa la saba na wengine hawajui hata kusoma vizuri lakini ni matajiri...
Sisi binadamu tunaishi maisha yenye dhambi sana duniani, bado ni maskini lakini tunazidi kufanya maovu unafikiri siku ukifa je utaenda peponi hilo ni jambo gumu sana, ni bora uishi maisha ya raha yenye utajiri, yenye dhambi na hata kwa kutoa kafara ila tu umeifaidi dunia, kuliko kuishi maisha...
Nikiwa kama jirani nayeishi karibu na Shule ya Sekondari Nyamanoro iliyo katika Halmashauri ya Manispaa ya ilemela mkoa wa Mwanza nimekuwa nikipatwa na wasiwasi juu ya hatari inayowakabili wanafunzi wanaosoma shule hiyo kuwaruhusu wanafunzi kurudi majumbani saa 2 usiku.
Shule hii imeweka...
Anonymous
Thread
maisha
mkuu
mkuu wa shule
mwanza
saa
sekondari
shule
shule ya sekondari
shuleni
usiku
wanafunzi
Naomba tumsikilize ndugu Bashiru Ally aliyekuwa kwenye utawala wa hayati Magufuli.
Anadai chama chochote kilichopo madarakani ili kiondoke madarakani basi kimependa chenyewe maana kina faida nyingi sana za kukifanya kubakia madarakani.
Kwa maana hii basi ccm itatawala milele labda aje kiongozi...
Zote mbili Ni kushare sex fantasy! Thread 1:ya Kwanza iliandikwa 2014, Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi?
Replies zake zipo clean kabsa fantasy nyingi Ni normal sex
Mf; sex na other race, kupata mwenza wa maisha etc
2; Thread ya pili ilikua 2022...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemkuta na hatia na kumuhukumu kifungo cha maisha Mwalimu wa Shule ya Msingi Waja, Josephat Masenema Shikome kwa kosa la kumuigilia kinyume na maumbile Mwanafunzi wake wa Darasa la Tatu mwenye umri wa Miaka 7, kinyume na kifungu cha 154(1)(a) na (2) cha Kanuni ya...
Habari za jioni
Maisha mnayaonaje ndugu zangu,dada zangu,Kaka zangu.
Kila nilichopanga kufanya mwaka huu naona kabisa hakitimii.
Dada yangu mmoja hapa mtaani anasema nisijipe presha bado mdogo,nitafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu, lakini Mimi mwenyewe nina marafiki kibao,naona kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.