maisha

  1. JamiiForums Tanzania Unapomsalimia boss wako usisahau kunsalimia aliye pembeni yake. Maisha yanabadilika

  2. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuyapenda maisha ya kijani?

    Mimi ninavutiwa sana na maisha ya kuwa karibu kabisa na asili" kijani"natamani ninapoishi kila mahali pawe na alama ya kijani.
  3. JamiiForums Tanzania Sare za Taifa, maisha ya 90'S mwanzoni

    Enzi hizo miaka ya late 80's na earl 90's kulikuwa na aina za mavazi ambazo almost kima mtu alivaa:D:D ntazitaja baadhi zingine mtanisaidia malejendari 1. chupi zza kiume ziliitwa VIP, Hii kila mtu aliva ukianika nje unaweza kuondoka na ya dingi suruali za TOKYO maarufu kama mchelemchele hizi...
  4. JamiiForums Tanzania Tuliopitia maisha ya shida baada ya kufiwa mama zetu tukutane hapa

    Habari za weekend ndugu zangu poleni na mihangaiko pamoja na hii changamoto ya covid- 19 kama title inavosema Mimi Ni mhanga wa kufiwa na Mama yangu mzazi nikiwa katika umri wa miaka 11 tu nikiwa darasa la tano. Kwakweli kati ya vitu vinavyoumiza na bado vinazidi kuniumiza mpaka Leo Ni kitendo...
  5. JamiiForums Tanzania Ni wapi panafaa kwa kuanzia maisha kwa kijana anayeanza kujitegemea?

    Wakuu heshima kwenu, Sitaki kuwachosha sana. Binafsi nilipata kibarua cha muda mfupi ktk mkoa fulani, kibarua changu kinakaribia kuisha, na sitaki kabisa kurudi home. Kiukweli nimekuwa nikiumiza sana kichwa maisha yatakuaje baada ya hiki kibarua kuisha, nimejibana nkakusanya milioni moja...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ma-celebrities wengi wana maisha magumu sana, pamoja na kwamba wana umaarufu na fedha nyingi

    Hii ina include waigizaji filamu wakubwa maarufu na wanamuziki wenye utajiri na umaarufu mkubwa Nasikia Wanapewa masharti magumu ya kichawi, ili waweze kupata na ku-maintain utajiri na umaarufu wao, na hii ni kwasababu fedha na umaarufu wao vinatoka kwa shetani, wengi wanapewa masharti kila...
  7. JamiiForums Tanzania ‘Motivational Speakers’ wanaweza kuharibu maisha ya waajiriwa

    Ni kwa muda mrefu wafanyakazi wamekuwa wakiambiwa wanafanya kazi za kitumwa. Mawazo kama haya yako tangu zamani sana. Wakati wa vita baridi kati ya Usoshalisti na Ubepari, nchi nyingi za Afrika zilisema hazina upande lakini baadae wakaelemea kwenye Usoshalisti, taifa kama Tanzania likaweka kitu...
  8. JamiiForums Tanzania Tusikwepe wajibu wetu katika jamii yetu

    Kuna watu wengi wanakwepa majukumu yao katika jamii yetu kwa kisingizio kuwa haya au hayo ni mambo ya kisiasa. Binafisi huwa ninawaza watu hawa uelewa wao wa mambo ni mdogo sana au wameamua kwa makusudi wawe vipofu? Tuelewane kidogo iko hivi siasa ndiyo inaendesha kila kitu katika maisha yetu...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha zinatisha: Maasai watwangana na jamii ya Kipsigis Narok nchini Kenya, wanne wapoteza maisha

    Mgogoro wa mifugo umeleta mapigano ya jamii hizi mbili zenye uhasama wa muda mrefu.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

    Kuna mda huwa tunafanya makosa mengi sana katika maisha tena mengine ya kujitakia kabisa ambayo ukiyakumbuka baadae unayajutia sana. Binafsi kama ningetumia mda vizuri ningekuwa mbali sana sana kimafanikio kuliko nilivo sasa. Kipindi namaliza O' level baada ya matokeo kutoka nikapangwa Moshi...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya quarantine Kaplelach High school

    Hii ni quarantine iliyoanzishwa na serikali ya Kenya Eldoret ambapo watu wengi wamekuwa wakilalamika kuwa hii sehemu ni incubator ya corona.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Habari Njema na Mbaya: Takribani 80% ya visa vya COVID19 haviambatani na dalili kali au za kutishia maisha

    Katika visa vilivyobainika duniani vya #CoronaVirus, asilimia 15 tu huambatana na dalili ya ugonjwa hatari wa mapafu “pneumonia”, kushindwa kupumua, oksijeni kupungua kwenye damu na matatizo mengine ya mapafu Asilimia takribani 5 huambatana na dalili hatarishi zaidi zinazoweza pelekea kifo kama...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wahenga tu: Kwanini watu wengi wenye roho nzuri huwa na maisha magumu au ya kawaida tu?

    Hili jambo nimekua nikilifikiria kwa miaka mingi bila majibu.Hata wewe hapo ulipo jaribu kuangalia katika familia au ukoo wenu. Unaweza kuta katika ukoo au familia ndugu yenu mwenye roho mbaya ndiye mwenye uwezo kifedha kuliko nyie wenye moyo wa kutoa. Katika jamii tunazoishi yaani wale watu...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hali ya maisha ni ngumu sana, tuonee huruma

    Hakuna ubishi kweli unafanya kazi nzuri, kujenga miundo mbinu, zahanati, vituo vya afya na hospitali. Hakuna ubishi umeinyoosha nchi iliyokuwa imepinda. Ila hali yetu wananchi ni mbaya sana. Tunaamka asubuhi hatujui kama tutakula au vipi. Tukifungua biashara zinakufa, kila tunachojaribu...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

    Muda mrefu nimekua msomaji tu wa mada zenu nikifuatilia karibu kila post inayowekwa katika mtandao huu, nina circle ndogo sana ya marafiki na watu ninao fahamiana nao kwa muda mrefu sasa hali inayo ni fanya muda mwingi ninao upata niwe nautumia kuwasomeni enyi wakuu wangu, ninavyo vingi vya...
  16. JamiiForums Tanzania Mtazamo: Watanzania wengi wataishi maisha mazuri Sana muongo mmoja ujao kwasababu ya misingi anayoiweka Magufuli

    Mimi kidogo nimesoma uchumi.Hivyo nitatoa short analysis ya kiuchumi. Miaka kumi ijayo Tanzania itakuwa Kama afrika ya kusini au ureno. Hebu fikiria yafuatayo. Umeme mkubwa wa stiglaz gorge ambao utailuminate nchi yote na bado tukabakiwa na ziada. Mradi wa REA ambao umeiluminate vijiji vingi...
  17. JamiiForums Tanzania Ayapambaniaye maisha yake atayaangamiza!

    Kwa mujibu ya Kiongozi wa Nchi fulani huko Duniani amewapiga kijembe Viongozi wa kanda yake kwa kuwakumbusha kwamba; AYAPAMBANIAYE MAISHA YAKE ATAYAANGAMIZA. Wajuvi, kauli hiyo inapeleka ujumbe gani kwa Viongozi wenzake!?
  18. W

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mapenzi na ndoa

    Kuna mengi katika maisha ya mapenzi ila zingatia haya kwa ajilii ya furaha yako, MUAMINI- katika kuaminiana kunatunza mengi ikiwa ni pamoja na mazuri na mabaya ila mnapo aminiana katika maisha ya mapenzi furaha utawala, UHURU- mpe uhuru mwenzako na vitu vyake kila mmoja anapokuwa huru katika...
  19. JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani (WHO) lasema huenda Waafrika 190,000 wakapoteza maisha ndani ya mwaka mmoja kutokana na Corona

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko wa CoronaVirus unaweza kusababisha vifo kwa Waafrika wapatao 190,000 ndani ya mwaka mmoja tangu uanze kama ukishindwa kudhibitiwa Mkurugenzi wa WHO Afrika, Dkt. Matshidiso Moeti amesema kuna uwezekano COVID19 haitosambaa kwa kasi barani humo kama...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…