maisha

  1. JamiiForums Tanzania Mawazo ya Kezilahabi kuhusu maisha

    “Maisha ni kama mkufu, unachukua kipande hiki na hiki unaviunganisha, kipande kikikataa kiache kitamfaa mtu mwingine...” Mzingile. Falsafa ya maisha kwa muono wa Kezilahabi, hauna tofauti na wanafalsafa walio wengi, lakini muono wake upo kwenye kujifunza, take that which works for you! Kwa kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Maisha yetu! Malengo yetu

    Nazungumzia sisi, sisi, ninaposema sisi, wewe haupo. Ni sisi tulizaliwa huko ndanindani bila mpango, japo wazazi walifurahia kuona mtoto wa kiume au wakike amezaliwa. Sisi wale ambao tuliishi bila malengo, linalotokea mbele yako ndio saizi yako. Sisi ambao tumemaliza chuo hakuna kazi na...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana jamani

    Habari ,wazima ndugu zangu. Maisha yanaenda kasi sana hasa pale unapojikuta umri unaenda halafu huna uhakika wa kuishi. Kila dili unalofanya haliendi kama unavyotarajia.Mda mwingine unaweza hisi kama una nuksi vile, ila mwisho wa siku unaendelea kupambana japo mambo hayanyooki ila sikati tamaa...
  4. JamiiForums Tanzania Aliyeongoza mapigano maarufu dhidi ya Mugabe, asema Maisha baada ya Mugabe kuwa ni ya kikatili kuliko hapo awali

    Imekuwa zaidi ya miezi miwili tangu Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe alipokufa, na karibu miaka miwili tangu aondolewe madarakani, lakini Waafrika wengine wanasema maisha ni magumu kuliko hapo zamani. Wakati Mugabe alianguka bila kutarajia mnamo 2017, baada ya miaka 37 madarakani...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuzindua Kitabu cha maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

    Rais Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua Kitabu cha maisha binafsi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa.
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ku fake maisha ni chanzo cha maumivu katika mapenzi

    Wengi huumizwa na mapenzi kwani hao wapenzi wao wamewapata kwa ku fake maisha.. mtu anajimwambafai kuwa hela zipo,burudani ndio kisima,shida hazijawahi kusumbua wakati kiuhalisia si sahihi!. Ndugu kaa ukijua lazima pia utapata mpenzi fake!.. atakachofata kwako ni u fake wako ila atakapo gundua...
  7. JamiiForums Tanzania Iraq: Waziri Mkuu akemea vurugu zinazojitokeza wakati wa maandamano, ataka maisha ya kawaida yaendelee

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa wale wote wanaoshambulia, kuteka nyara au kukamata nje ya kinyume cha sheria watakabiliwa na mashitaka. Waziri huyo anaongeza kuwa, uwepo wa Vyama vya Siasa ni muhimu katika mchakato wa kidemokrasia lakini kwa Iraq vyama hivyo vimefanya makosa mengi. Waziri...
  8. JamiiForums Tanzania Mkoa huu wa Italia utakulipa $ 27K ya kuhamia huko, fungua biashara, uishi maisha yako mazuri

    Kanda ya Kusini ya Italia inatafuta kushawishi vijana au wanandoa walio na watoto wadogo, kwa matarajio ya kupunguza kupungua kwa idadi ya watu, lakini wapo wazi kwa mtu yeyote anayetaka kubadilisha mazingira na kuishi kwenye miji midogo anakaribishwa kwenda kuishi kwenye miji hiyo. Ili kuweza...
  9. JamiiForums Tanzania Yafahamu maisha ya ndege

    WAJUE NDEGE NDEGE ni aina ya mnyama. Tofauti ya ndege na wanyama wengine ni kwamba ndege ana mabawa yanayomwezesha kuruka angani aidha ndege hutaga mayai. Ndege wako wa aina nyingi, wakubwa na wadogo ni kama Tai, Mbuni, Korongo, Bata mzinga, Bundi, Tausi, Mwewe na wengine wengi. Ndege...
  10. JamiiForums Tanzania Morogoro: Ugumu wa maisha wamfanya kijana aamue kuiba misalaba ya chuma Makaburini

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Kingdom akamatwa akiiba misalaba ya chuma, makaburi ya Kola, mkoani Morogoro. Kijana huyo alisema hii ni mara yake ya kwanza kuiba misalaba na ni ugumu wa maisha umemfanya aibe misalaba. Kijana huyo alisema huuza misalaba hiyo kama chuma chakavu ambayo...
  11. JamiiForums Tanzania Je, ugumu wa maisha hudumaza akili au ni kipimo cha akili?

    Wengi tunajifariji kuwa ugumu wa maisha ni kipimo cha akili, lakini baada ya kuutafakari msemo huo nimeona ugumu wa maisha hudumaza akili. Kwa sababu zaidi ya moja nimeona watu wamedumaa akili kutokana na ugumu wa maisha wanaoupitia. Wapo watu wengi ambao wana mawazo mazuri juu ya familia na...
  12. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 13 wa chuo kikuu cha Kogi nchini Nigeria wamepoteza maisha kufuatia vurugu zilizoibuba baina ya makundi ya wanafunzi

    Watu 13 wamefariki dunia kufuatia vurugu za mapigano zilizotokea katika chuo kikuu cha Kogi katika eneo la Ayingba nchini Nigeria. Kwa mujibu wa habari kutoka katika vyanzo vya nchi hio, mapigano hayo yalitokea baina ya makundi mawili ya wanafunzi, kutokana na vurugu hizo za mapigano zaidi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Ndugu wana JamiiForums, Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi. Karibuni sana. MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tuachane na maisha ya majina ya NCHI wakati Siasa za Job Creation

    #tag HUJUI KUPLAN 🚜🚜🚜🚜🚒 #tag Gari inagurudumu 4 kwenye maisha ya kuplan 1. Matumizi Bora ya ardhi (maeneo maalumu ya Kilimo, UVUVI, Mifugo maana IPO siku tutatafuta maekali ya kupima matikiti Dar ES SALAMA na siyo pwani lazima tubomoe majumba huko) 2. Matumizi Bora ya Watu (watu waliopo Kwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Siasa ya rushwa, utajili wa FEDHA na maudhui ya kutovunja misingi ya Maisha ya MTU mwingine

    Hakika kila mwanadamu anapenda kuishi MAISHA ambayo yanamipango ndani yake kuanzia level ya kuwa pekeyako. Tumeshuhudia watoa huduma wengi wakitekeleza maneno ya mwalimu Nyerere Kwa vitendo ikiwemo Ubepari, kutoa na kupoke rushwa, kuwa na vyumba vya Kipanya Kwa ajili ya kuzuia na kucontrol...
  16. JamiiForums Tanzania Mara: Ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kulawiti mtoto wa miaka minne

    Maiga Maginga (18), amehukumiwa kifungo cha maisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Serengeti baada ya kukiri kumlawiti mtoto wa miaka minne. Hukumu hiyo imetolewa leo Alhamisi Oktoba 31, 2019 na Hakimu Mkazi, Adelina Mzalifu baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kulawiti. Hakimu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Spika mstaafu wa Bunge la Kenya awaasa Wabunge na Spika Job Ndugai kuwa wasijisahau kwani kuna maisha baada ya siasa

    Spika mstaafu wa bunge la Kenya amewaambia wabunge wa Kenya mbele ya mgeni rasmi Spika wa Tanzania mh Job Ndugai kuwa waache kiburi na kujikweza kwani kuna maisha baada ya siasa. Spika huyo mstaafu amewakumbusha wabunge hao kuwa wafuasi wao wanaowashangilia leo ndio hao hao watakaowatukana...
  18. JamiiForums Tanzania Wasichana na wanawake hukumbana na majanga ya ajabu ajabu sana katika maisha

    Waasalamu Leo katika tafakuri zangu za hapa na pale nikakumbuka kisa cha dada yangu ambae ni mtoto wa mama yangu mkubwa. Sister wangu huyu alienda kushitaki kwa babu yetu mzaa mama kwamba mume wa mama mkubwa (baba yake wakambo) huwa anamtongoza na anamtaka kimapenzi. Kesi ilikuwa kubwa sana...
  19. JamiiForums Tanzania Namna nzuri ya kuishi unapofikia umri wa miaka 50 na kuendelea

    Ukiishi mpaka kufikia umri huu ni jambo la kumshukuru Mungu. Kutokana na huduma bora za afya wengi hufikia sherehe ya miaka 50, 60, 70, 80 hata 90. Ukifika miaka 50 hata kama huna tatizo lolote la afya ni muhimu kuufanyia mwili check up. Punguza unywaji wa pombe kama ni mywaji pamoja na...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi wa kushare matukio ya maisha kiujumla ambayo ushawai kutana nayo

    Huu uzi ni special kwa sie tusie penda kuanzisha thread kwa sababu ya matukio madogo madodo Lengo la kushare matukio haya ni kuweza kuwasaidia wengine siku akikutana na tukio la aina yeyote aweze kulimudu asione kama kitu kipya sana Mwaka 2015 niligombana na mshikaj mmoja hivi pool table, asa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…