Maisha yanaenda kasi sana jamani

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,112
Habari ,wazima ndugu zangu.

Maisha yanaenda kasi sana hasa pale unapojikuta umri unaenda halafu huna uhakika wa kuishi.

Kila dili unalofanya haliendi kama unavyotarajia.Mda mwingine unaweza hisi kama una nuksi vile, ila mwisho wa siku unaendelea kupambana japo mambo hayanyooki ila sikati tamaa naamini ipo siku nami mambo yatatiki maana ajira hakuna na kuujiajiri mtaji ndio mtihani.

Unabaki kufanya kazi za kutumia nguvu unapatga hela ya kununua mahitaji madogo madogo tu.iInauma sana hasa unapokosa akiba hata ya elfu moja maana ukiipata hela yote inaishia kula tu jamani hatari.

Kama umefanikiwa mshukuru Mungu sana pia tusaidie na sisi kutupa muongozo wa kupita
 
Ni kweli kabisa maisha yaenda kasi sana na umri unavyoongezeka akili inzidisha msongo unajikuta unapungukiwa hata uwezo wa kufikiri vizuri namna ya kufanikiwa.cha msingi ni kuachana na tabia ya kujilinganisha na watu na kujitahidi kusave hata katika kiasi kidogo unachojaaliwa kukipata.
 
freemason inakuhusu ndugu achana na maisha ya kubahatisha kuja huku tusherehekee modern lifestyle
 
Tatizo sisi vijana tuna kasumba 1
Tukishaanza maisha...!!tukishapata uhakika angalau kidogo wa maisha...wengine ht wakipata chance tya kiwanja.....Mwanamke huingia

Na hapo ndo malengo yanpoharibika na.mipangilio ya maisha inapobadilika

Kama kiwanja utauza....!!km akiba itatumika tofauti na malengo...!!

Mwanamke huja kama jaribu kwa kijana anapoanza maisha...kama ukiweza kulipita jaribu hilo...hutaanguka kiuchumi wala kimaisha

Kuwa na mwanamke...oa mwanamke...lakn kwanza hakikisha umetimiza malengo yako...!!

Neno langu sio sheria
 
Hapa kwenye wanawake blaza umenena 100℅,nikipata tu vijicent kidgo,huwez amini ata ma ex wa 2008 wananitafuta,sijui wanaambiana maana wanakujaga kwa pamojaKweli Mungu atusaidie
Tatizo sisi vijana tuna kasumba 1
Tukishaanza maisha...!!tukishapata uhakika angalau kidogo wa maisha...wengine ht wakipata chance tya kiwanja.....Mwanamke huingia

Na hapo ndo malengo yanpoharibika na.mipangilio ya maisha inapobadilika

Kama kiwanja utauza....!!km akiba itatumika tofauti na malengo...!!

Mwanamke huja kama jaribu kwa kijana anapoanza maisha...kama ukiweza kulipita jaribu hilo...hutaanguka kiuchumi wala kimaisha

Kuwa na mwanamke...oa mwanamke...lakn kwanza hakikisha umetimiza malengo yako...!!

Neno langu sio sheria
 
Tatizo sisi vijana tuna kasumba 1
Tukishaanza maisha...!!tukishapata uhakika angalau kidogo wa maisha...wengine ht wakipata chance tya kiwanja.....Mwanamke huingia

Na hapo ndo malengo yanpoharibika na.mipangilio ya maisha inapobadilika

Kama kiwanja utauza....!!km akiba itatumika tofauti na malengo...!!

Mwanamke huja kama jaribu kwa kijana anapoanza maisha...kama ukiweza kulipita jaribu hilo...hutaanguka kiuchumi wala kimaisha

Kuwa na mwanamke...oa mwanamke...lakn kwanza hakikisha umetimiza malengo yako...!!

Neno langu sio sheria
Mtu kapata kazi tu mwezi wa kwanza wa pili kaoa!
 
Yan hua sijui nini kinatukumba...na ukishaanza maisha...inabidi udate kwa akili saaana...!!mimi nna wajomba wa4.....wote maisha yaliwakalia vizuri....wkaanunua mpk viwanja...!!akaingia mwanamke

Mmoja aktegeshewa mimba
Mwngne akachunwa pesa kisha akakimbiwa
Mwingine akajitoa saana kwa mwanamke kifedha akafukuzwa kazi na dem akamkana
Wa mwisho kategeshewa mimba na wazaz wamecharuka hawamuelew anaambiwa achange dini

Yan Hapo ndo nlpojifunza kuwa makini na kiumbe aitwaye mwanamke
Nikijihic naanza tamaa tu...nawakumbuka wajomba kisha napotezea

Halafu wananusa haooooo yaani ukizipata tu hawa hapa sijui wanajuaje washenzi hawa!
 
Jamani tusaidiane hata mawazo..mie nnamini kuondoka mahali ulipo nakwenda sehem nyingine!kubali maisha magumu hata kwa mwaka ...ukijua nn unataka! Wengine tumeacha maisha ya kulala vitandani tunalala chini kwenye vigodoro vyashule..mvua ikija uko on maana unaloa tu..😑!lakini unatarget unachotaka ww!nenden mikoani huko mkaanze upya..niliwah mshauri sisy..ana miaka dahari dar..hapigi ht hatua...lakini alinijibu vby sana...kwanza ukihama sehem ulozozoeleka ile circle uliokua nayo unaachana nayo...kuna marafiki mnakuwa mnawaza mzichange mkanywee tu!nendeni nje muone vijana wanavyofanikiwa tena vitoto vidoogo!..hata km huna mtaji ww jilipue wanajilipua wanawake sembuse ww men bwana!mie niliondoka moro na nguo3😎!imagine! Nilipofika vijijin hata zile nguo zilionekana km ni za anasa..nikanunua vitenge viwili..ikawa navaa juu napiga tenge (km mama mchungaji)nilivaa nguo hizo for 2mths!nikawa comfortable tu..yakubali mapema sana mazingira (hii alinishauri ndugu yangu mmoja mtu mzima) jichanganyeni na watu waliofanikiwa muwezavy..hutakosa dodoso zozote zile pakuanza..kubali hata kuajiriwa kwa malipo kiduchu unaposoma ramani!achana na starehe ulizozoea!..
Nendeni mikoa migumu migumu huko ndo kuna fursa!
Mimi niliondka kwangu bila kushurutishwa..nilitaka kuwa na financial freedom..nilifika kule nna buku!sipendag ht kukumbuka!ongea n watu kadri uwezavyo! Sijafika ninapotaka bado! Changamoto ni nyingi na mzipokee tu hakuna jinsi!

Nimejikuta kwenye circle za watu wadogo kiumri kwangu..sasa hiyo ndo inanipa hasira!
Yaani ww ukikutana na mtu alofanikiwa kahatua kamoja mbele yako ww jitahidi awe rafiki yako hutakosa ushauri kwake!achana na kampani mbovu..zile hazikusaidii kitu kbs!be postive!mie ningekuwa na uwezo wa kujigawa ningeweza kurun vitu vingi mno huko mikoani .!nimejikuta nashindwa...nature imeniambia huwez..! Hapa nna mishe 3 lakini had huwa wannionea huruma najionea huruma pia ..Na kwel siwez.(nimesurender).!lakini mambo ya !kufanya mengi sana!..hizi biashara ndg ndg msizidharau kbs..zinawatoa watu..anzeni ht huko..!..

Kuna dogo wa kiume aliajiriwa kuwa mwangalizi wa gest kazi yake ikawa kufua shuka na usafi..ss hv alipo n mbali...anapata hela nzuri tu..ana saloon...he earns a lot of money..alinihadithia alipoanza alikua hohehahe!ss hv anacho cha kujivunia ..nendeni mkalime hata tumbaku huko!unganeni!msibague kazi..kubalini kazi zozote zile mradi halali!(mie nilikabidhiwa jiko niwe mpishi wa kaka zangu sikukataa..nikasema ntapika kwa miez miwili ntatoka hapa)
Pika ht bites uza..ukianza kupika bites naamini kuna kamlango katafunguka tu iwe isiwe! Nuiza kila siku..ukatae umasikini kwa ngv na vitendo!ht km umesoma vip ww fanya kazi zozote!
Alhamudulilah utafika penye kaunafuu!
Mikoani kuna watu wanakamata pesa hawajafika hata std 2 lakini anamilion 100..ss ww umesoma unashindwaje kukompiti naye?kuwa smart tu..
Kubali kudharaurika....mie nilikua mmojawapo...waliniambia ww mwanamke unakuja huku?utakuwa chakula ya wakubwa...wanawake wa mjini wakija huku huwa wanaishia kuuza miili yao..niliumia .nikawa nang'ata had mdomo..nikasema kumbe ndo mnavyotuchukulia eh! Shenzy typ..kwel walinisumbua sana mwanzoni...yaan unaitwa na kitoto kidoogo kisa kina hela..sikuwa najibu mbov nikawa nawazoea nijue wanafanyaje kazi zao..wamefikaje hapo..niliyeona anamsaada nastick naye aliyenichukulia poa nasanda mapema sana! Sasa hv hakuna anayeniita kidharau kbs...!
La mwisho kbs kuwa mstahimilivu! Usiamini maushirikina heshima na watu wote!(ukiwa na heshima utasaidika sana sana) inasaidia sana

Nb!;kaa mbali na mahusiano..iwe wanawake au wanaume!

Akili za alfajiri hizi!
 
Back
Top Bottom