maisha

  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nijikimu kimaisha

    Wadau kwema. Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza mambo mabaya.. Kazi nazoweza kufanya Kazi ya sales Storekeeper Kusaidia fundi. Kazi ya kusimamia mradi Kazi ya usafi Na kazi nyinginezo...
  2. JamiiForums Tanzania Maisha ndani ya Manga Kissa: Internet Café za ajabu nchini Japan

    Manga ni riwaya picha (Kwa Kiingereza comics au graphic novels) zenye mtindo wake wa kipekee kutokea nchini Japan. Manga ni maarufu sana nchini humo kiasi kwamba kuna mamia ya maktaba zilizojaa Manga tu. Maktaba hizi huitwa Manga Kissa Manga Kissa nyingi ziko karibu na vituo vya treni...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaotaka kuanza maisha mbali na wazazi

    Siyo kwamba huwezi kufanikiwa ukiwa nyumbani, unaweza sana, ila kwa wengi inakuwa kikwazo kikubwa kwa sababu mbalimbali. Kubwa ikiwa ni mazoea na uhakika wa maisha hata mtu ukishindwa. Kwa kuwa unajua upo nyumbani, huhofii sana kushindwa. Wazazi na watu wa karibu watakuzuia usiondoke nyumbani...
  4. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Badili mtazamo wako juu yako na utaona mabadiliko kwenye maisha yako

    Waelewe watu usiwahukumu watu Binadamu hufanya maamuzi kwa hisia alizonazo kwa wakati huo Akiongea maneno mazuri au mabaya anafanya hivyo kwa sababu ya hisia zake kwa wakati huo sio kwa sababu yako Hisia zake zikibadilika na matendo yake hubadilika Kila kitu huanza kwenye fikra na ikiwa mtu...
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Kama tutayapuuza mazingira yetu, tutayaharibu maisha yetu

    Watu waliostaarabika kimaadili na mienendo huhifadhi mazingira yao kwa kutambua kuwa kufanya hivyo ndio kuhifadhi maisha yao. maana sahihi ya neno mazingira, ni kila kitu kinachomzunguka mwanadamu pale anapoishi. Mazingira hujumuisha mazingira ya nchi kavu, mazingira ya angani na mazingira ya...
  6. JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya umaskini ujanani

    “COMFORT ZONE” sijui niiweke vipi hii kwa kiswahili katika neno moja na likaleta maana. “Anga/wigo/dunia ya mridhiko” (Kama sijakosea). kama hujawahi Kijiuliza Kama ulipo panakutosheleza Au la Basi upo ndani ya “comfort zone” kama unataka maendeleo binafsi na unakwepa mabadiliko basi upo...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu anaishi maisha na kazi ya ndoto yake hapa Tanzania

    Hivi kwa Africa kweli kuna mtu anaishi kwenye ndoto zake yaani kama ulikuwa unatamani kuwa pilot ukawa pailot. Sijui hii ipo kweli mimi nilikuwa nandoto kuwa kapteni wa meli daah nikikumbuka hii ndoto wakati namuona mjomba zamani akija nyumbani basi nikawa nasema mimi nitakuwa kama wewe...
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Afya njema ni nguzo ya Kwanza ya Mitaji ya Mafanikio Katika Maisha

    1. Utangulizi Tuko katika kizazi chenye kudhani kuwa kuishi vizuri ni kuwa na fedha. Fedha inaonekana ni kila kitu. Tunadhani kuwa ni fedha ndizo hutufanya tununue nyumba, gari, nguo, chakula na maisha mazuri kwa ujumla, na wengine kwenda mbali zaidi na kupata jeuri ya kujiona wanaweza hata...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Maisha baada ya kuhitimu Chuo Kikuu

    Habari wana JF,Kwanza Tumshukuru Mungu kwa neema ya uhai anayoendelea kutujalia hapa Pili niwashukuru watendaji wa JF Kwa kutuletea changamoto hii, tatu niende moja kwa moja kwenye story challenge yangu inayohusu Maisha baada ya kuhitimu Chuo kikuu. Vijana wengi baada ya kuhitimu vyuo vikuu...
  10. JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani Dar affordable kuanzisha maisha ukiwa na familia yako?

    Wanandugu ninataka wa kuanzisha maisha nikiwa na familia yangu nikiwa na mke wangu na pamoja na mtoto wangu Hivyo ningependa kufahamu ni sehemu gani hapa Dar kuanzisha maisha ambapo ninaweza kupanga vyumba viwili at affordable price na eneo nitakaloishi lisiwe la gharama hivyo naomba kufahamu...
  11. JamiiForums Tanzania Maisha ya soka ya Leonel Messi

    Lionel Andrés Messi alizaliwa 24 Juni 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Argentina anayecheza katika klabu ya Barcelona F.C. iliyopo nchini Hispania na timu ya taifa ya Argentina. Mara nyingi huchukuliwa kuwa mchezaji bora wa muda wote, Messi kafanikiwa kuchukua tuzo za Ballon d’Or mara...
  12. JamiiForums Tanzania Maisha ya soka ya Cristiano Ronaldo

    Cristiano Ronaldo na mkewe Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro alizaliwa kwenye kisiwa cha Madeira, Ureno, 5 Februari 1985) ni mchezajisoka wa Ureno. Nafasi yake ni ushambuliaji; kwa sasa anacheza nchini Italia katika klabu ya Juventus na timu yake ya taifa. Mara nyingi huchukuliwa kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Watu 72 wamepoteza maisha nchini Afrika Kusini kufuatia ghasia zinazoendelea

    Watu 72 wamepoteza maisha nchini Afrika Kusini kufuatia ghasia zinazoendelea kushuhudiwa kati ya wafuasi wa Rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma na maafisa wa usalama. Kwa siku zipatazo tano, wafuasi wa Zuma ambaye anaendelea kutumikia kifungo chake cha miezi 15 jela, wamekuwa wakiandamana...
  14. JamiiForums Tanzania Urafiki katika maisha yetu

    Hello friends. Leo katika story na sista wangu, nikagundua kuna shida ya mahusiano yabkirafiki inayopata wengi. Akanieleza jinsi ambavyo amekuwa hana bahati ya marafiki wa kweli, kqamba kila rafiki wa kike anayempata wanakuwa masnitch, wanafiki, wana wivu and all the like. Akanieleza jinsi...
  15. JamiiForums Tanzania Nimebutua maisha je, Nimepata au nimepatikana?

    Katika pita pita zangu katika mitandao mbali mbali ya duniani kama vile tagged, tinder. badoo hatimae leo nimepata demu mzungu ambaye kwao ni CANADA. Alianza yeye kuchati na mm baada tu ya kumjibu ndio nikaanza kupokea mualiko kwamba eti huyu demu anataka mm niende kwao nikaishi nayeye je hili...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana mwenzangu tuchangie kodi ya pango wakati tuna-hustle kutafuta maisha

    Habari Wakuu, Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini. Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa...
  17. JamiiForums Tanzania Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

    Habari zenu wakuu, Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi? MOJA :KUBETI MPIRA ; Nilianza kubet mwaka 2016 kwa sh 500 tu lengo kutafta walau kutafta hela ya vocha tu kila siku ila leo...
  18. JamiiForums Tanzania Huwa kila siku natafakari umuhimu wa Baba katika maisha ya kila Familia

    Wakati fulani nikisoma shule ya Sekondari, baba alikuja kunitembelea shuleni, nikashangaa kwa nini amekuja kwa miguu na ana mavumbi mengi miguuni? Akanikabidhi TZS 12,000/= yani 10,000/= ya kulipia hostel na 2,000/= ya matumizi. Nikamuuliza mbona leo huna baiskeli? (mara zote alikuwa akiendesha...
  19. L

    JamiiForums Tanzania China inaendelea kushirikiana na Tanzania kwenye miradi inayogusa maisha ya watu moja kwa moja

    Hivi karibuni Mkuu wa Chuo Cha Usafirishaji cha Tanzania (NIT) Prof Zacharia Mganilwa, alisema mabadiliko yanayoendelea kutokana na upanuzi wa chuo hicho yatainua hadhi na ubora wa chuo hicho na kuwa chuo kikuu cha kisasa. Mabadiliko yanayoendelea kwenye upanuzi wa chuo hicho, ni sehemu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Uduni wa maisha wapelekea wasichana kuozeshwa kwa sukari na majani ya chai

    Nimestaajabu sana kusikia taarifa hii kutoka katika mkoa ambao kila siku humu JF wanajinasibu kuwa ni mkoa wenye neema na tajiri. Katika kipindi cha magazeti EFM nimesikia habari hii ya kufedhehesha kuwa wazee mkoani humo wamepigika hawana hata mia mbovu hivyo akijitokeza kijana mwenye sukari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…