maisha

  1. JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wajameni eeh, Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania. Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake). =======
  2. JamiiForums Tanzania Maisha yangu na baada ya miaka hamsini: Simulizi ya maisha ya Shaaban Robert

    Hii ni simulizi ya maisha ya Shaaban Robert kama ilivyoandikwa na yeye mwenyewe. Fuatana nami uisome hapa, pia unaweza kuisoma bure ndani ya maktaba app (by pictuss) inayopatikana playstore. DIBAJI Ni fahari kubwa kwangu kukaribishwa kuandika maneno machache kuhusu kazi na sifa za marehemu...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Najipanga kwenda Canada kutafuta maisha

    Hello guys mambo vipi poleni na majukumu. Kwa majina Naitwa Omary naishi Nairobi ila elimu yangu ya Msingi mpaka Chuo nimepata Tanzania. Naamini hii ni platform kubwa sanaa ambayo imejaa watu wa kila aina hivyo basi nategemea once nitakavyo leta swala langu kwa ajiri ya ushauli ni furaha yangu...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Dada alivyohitimisha maisha ya ndoto yake

    Anaitwa Bahati, tangu akiwa mdogo alishaamua atapambana na maisha na kuboresha maisha ya familia yao. Baba yake alikua Mchungaji wa kanisa, mama mwalimu. Wakizaliwa sita na kati ya hao wa kike walikua wanne. Baba yao alipokea wageni wengi wa kanisa kutoka nchi mbalimbali. Kuna wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Dar: Afungwa maisha jela kwa kumlawiti mtoto wa miaka tisa

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu Mkazi wa Chamanzi, Said Wanie (35) kifungo cha maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa. Pia mahakama hiyo imemuagiza mshtakiwa huyo kumlipa mtoto huyo fidia ya kiasi cha Sh. 500,000. Kati ya Mei 3, 2020 maeneo ya Chamanzi...
  6. JamiiForums Tanzania Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

    Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile. Alilia Sana Akatoa haja zote Mwisho alilia machozi Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu. Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan. Superbug
  7. JamiiForums Tanzania Jela Kifungo cha Maisha kwa Kumlawiti Mtoto wa Miaka 9

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu Mkazi wa Chamanzi, Said Wanie (35) kifungo cha maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa. Pia mahakama hiyo imemuagiza mshtakiwa huyo kumlipa mtoto huyo fidia ya kiasi cha Sh500,000. Kati ya Mei 3, 2020 maeneo ya Chamanzi...
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Maisha si leo tu, Utawala Bora unaanzia nyumbani

    “Most people do not really want freedom, because freedom involves responsibility, and most people are frightened of responsibility.” Sigmund Freud ”Watu wengu hawataki uhuru wa kweli, sababu uhuru unahusisha jukumu, na watu wengi wanaogofya jukumu” Sigmund Freud Wakati tunaendelea na...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Hamza alirogwa? Jinsi wachawi wanavyo tumia roho wa mauti kuharibu hatma za maisha ya watu

    Awali ya yote ninatoa pole zangu za dhati kabisa kwa ndugu jamaa na marafiki walio poteza ndugu zao kwenye tukio la salender. Tukio hili lililo kinyume na utu " INHUMANITY " LIlikuwa ni tukio baya kabisa kuwahi kutokea katika ardhi ya jiji la Dar Es...
  10. M

    JamiiForums Tanzania 20,20,60 na namna inavyofanya kazi katika maisha

    Kwanza tumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai,afya silika na tabia njema Miongoni mwa vitu jamii nyingi inavikosa ni kulazimisha kupendwa/kukubarika katika kila hatua anayopitia, na hali hii huleta msongo wa mawazo pale inapotokea hilo hitaji lako linapokutana na vikwazo na kupelekea kujihisi una...
  11. JamiiForums Tanzania Nini maana ya maisha?

    Habari wana janvi, Naomba mwenye kujuwa maana halisi ya maisha anijuze maana nimekuwa nikifikilia sana kuhusu maisha lakini sipati maana halisi. Unakuta mtu anasema huyu atakuja kuwa na maisha magumu sana au maisha marahisi sana. Je, maisha ni uhai anaokuwa nao mtu, au maisha ni zile kazi za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msidanganywe eti sasa hivi hali ya maisha ughaibuni ni rahisi

    Mzuka wanajamvi! Nitasema tu ukweli. Hali ya maisha sasa hivi ughaibuni / ulaya ama mamtoni ni ngumu sana. Maisha yamekuwa Magumu sana hasa kwaanzia mwezi wa tatu mwaka jana baadaya hii Corona. Maelfu na Maelfu wamepoteza kazi zao na kujiandikisha kwenye employment benefits. Kazi za kubeba...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa huwa zinaua ndoto zenu za maisha?

    Wajumbe Wazima? Ni yuleyule Mr. Liverpool from Anfield. Baada ya salamu hebu twende direct kwenye mada. Kwanini mkishaoa huwa ndoto zenu zina kufa? Scenario 01:- Walimu wa2 from Songwe. Hawa jamaa nilikutana nao 2012 Tunduma, tukawa marafiki. Kwenye maongezi yetu nikagundua waliajiriwa 2011...
  14. JamiiForums Tanzania Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

    Haabari wadau..! Maisha ya UDSM enzi hizo yalikuwa powa sana sijajua kwa sasa. Tuanzie wapi ,ngoja tuanze na Boom enzi hizo lilikuwa 4000/= kwa siku ila tulivyoingia chuo ikabidi tufanye mgomo Boom liongezwe watoto wa mama hawataelewa. Maandamano yalianzia Revo Square sijuhi kama watoto wa...
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Kubadili Mwelekeo ni Katika Njia ya Kufikia Mafanikio, Using'ang'ane na Ulichonacho

    Katika maisha kuhangaika ni jambo la kawaida bila kujali wewe ni mfanyabiashara, mkulima, mfugaji, mwanasiasa, mtumishi wa uma, mvuvi, msanii au mwanasanaa, fundi nk. Kila mmoja ana jambo ambalo linamshugulisha ili aweze kuendesha maisha yake ya kila siku. Kupitia shuguli hizo baadhi yetu hupata...
  16. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Pakacha la Mimba, Masomo na Maisha nimbebeshe nani?

    Nilipopata akili nilisimuliwa kuwa wazazi wangu walifariki nikiwa mdogo sana. Baba alitangulia na baadae Mama. Walezi wangu wakawa babu na bibi ambao ni wakulima kijijini Manda. Siku moja, nikiwa darasa la tatu walipita wageni nyumbani ambao walikuja kwa shughuli zao pale kijijini. Walisikia...
  17. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Diamond Baba Lao unatufundisha maisha ya mwanadamu sio milele

    Kwenye wimbo wa Diamond wa Baba Lao yope wanatajwa na kusifiwa watu ambao Leo hawapo Tena kwenye circles of power . Magufuli baba Lao. Makonda baba Lao . Hawa Leo wote hawapo mmoja kafa mwingine majaliwa yake anajua Mungu. Funzo tukanyage kwa adabu ardhi ya Mungu.
  18. JamiiForums Tanzania Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda? Siri ni hii

    Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda kwa kipindi hiki kifupi? Labda nianzie hapa. Kwa kipindi cha karibu miaka sita cha mnyonge mnyongeni, wanyonge waliishi kama malaika wakati matajiri waishi kama mashetani. Hivyo chochote kile ambacho kingefanyika kumnyonya huyu mnyonge kisingeruhusiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Maisha ya wakatwa tozo la miamala katika picha

  20. JamiiForums Tanzania Ni vipi kusaidia wengine kutaboresha maisha yako?

    Faida tano zinazopatikana kwa kusaidia wengine wenye uhitaji. 1.Utakuwa na furaha zaidi 2.Hujenga mahusiano mazuri na urafiki katika jamii. 3.Inakujenga kuwa mvumilivu katika kupitia nyakati ngumu. 4.Kitendo cha kusaidia wengine ni kizuri kwa maendeleo yako binafsi. 5.Inaweza kufanikisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…