maisha

  1. JamiiForums Tanzania Mzunguko wa maisha...

    Maisha ya mtanzania wa kawaida yamekua na mzunguko unaoelekeana sana. Anazaliwa, anakua, anasoma, anapata kazi/biashara, anaoa (anaanza kulalamika majukumu mengi ya familia, anahangaika na kipato na kumridhisha mke na watoto). Anasomesha, anazeeka, anaanza kuwategemea watoto wake. Swali huwa...
  2. JamiiForums Tanzania Katika maisha yetu vikwazo vyetu ni watu wanaotujua

    Watu wanaotujua ni ndugu, jamaa, marafiki, tuliopo nao makazini, majumbani, mitaani na sehemu mbalimbali. Hii huwezi pinga kwa sababu changamoto za maisha na mafanikio ulizo. Asilimia kubwa vikwazo vyetu ni watu wanaotujua na si mtu asiye kujua. Watu wanaotujua ni ngumu sana kukubali kila...
  3. JamiiForums Tanzania Neno shukrani linafariji na pia ni ishara ya uungwana kwa yule aliyekutendea mambo makubwa katika maisha yako

    Sisi binadamu huwa tunajisahau kushukuru pale tunapotendewa mambo makubwa na watu fulani, tukiamini ilikuwa ni haki yako kutendewa vile. Wapo wanaojengewa nyumba au kupewa maisha mazuri na watu fulani, lakini badala ya wale wanufaika kushukuru, wao wanaona ilikuwa ni lazima au haki yao kuyapata...
  4. JamiiForums Tanzania Zifahamu siri za maisha

    (Toka mtandaoni) [emoji840]Soma kwa umakini sana Soma Siri zote[emoji840] [emoji3502]Maisha hayana formula lakini yana siri kibao! Kamata hizi 11, zikikufaa zichukue na unibariki kimyakimya, hazikufai futa bila kunitukana kimyakimya![emoji286][emoji286] Siri ya kwanza; [emoji1428]Tengeneza...
  5. JamiiForums Tanzania JamiiForums ilivyonibadilisha maisha

    Habari wana JF Mimi ni kijana muhitimu wa chuo katika fani ya ufundi umeme mwaka juzi mkoani Arusha. Nakumbuka mwaka uliopita nilipita Uzi mmoja uhusuo maswala ya wahitimu. Ama kweli JF imebadilisha maisha yangu! Katika ule Uzi kuna mtu mmoja aliquote kwa kushauri wahitimu katika kada ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Utajiri ni bahati ila kuwa na maisha Mazur sio

    Mzuka wanajamvi! Wabongo wengi tunatofautisha kuwaTajiri na kuwa na maisha Mazuri ama bora. Wataalamu wa uchumi wanasema Tajiri ni yule ambaye ana utajiri ama hela kwa anzia dollars za kimarekani million moja au kulingana na kiasi hicho. Huyo ni tajiri kwasababu ana 'financial freedom'. Na...
  7. JamiiForums Tanzania Haya maisha bwana, sasa tunywe nini kama soda zinazeesha?

  8. JamiiForums Tanzania Teknolojia imebadili mfumo wa maisha, vijana wa sasa wanashindwa kuandika kwa mkono

    Usishangae kukutana na mwanafunzi wa elimu ya juu anaeandika na ukashindwa kusoma muandiko wake. Vijana wanafanya kazi za shule kwa kutumia computer, wanatumiana ujumbe kwa simu. Hii imefanya sanaa ya uandishi wa mkono kupotea. Vitabu siku hizi wanasoma kwenye kindle. Niliongea na binti...
  9. JamiiForums Tanzania Nini dhumuni la maisha?

    1. Dhumini nini? 2. Maisha ni nini!? 3. Tunavyoishi kama binadanamu na kuamua maisha ya hichi yaishe mathalani kuku, mbuzi, mti, kuna yule anayeamua nasi tusitishiwe maisha na viumbe vyenye nguvu kuliko sisi kama tulivyo kwa tunayowaamulia? Inaweza kuwa na sisi ni mifugo yao.
  10. JamiiForums Tanzania Maisha hubadilika sana imekuwa aibu

    Zamani wadau wa humu wadada wa Dar walikuwa wanatriki zakumtoa mtupesa hadi jiji likaitwa Kaa chonjoo kisa wakina dada walivyowajanjaa nakuweka triks zakuwachukulia wakaka na wababa pesa unakupuliwa hadi unalia. Unalaani hadi unasahau ila kwa sasa nitofauti wakaka ndio wanahongwa kila kitu tena...
  11. JamiiForums Tanzania Tumeshazoea Maisha Bila Video za Porn Tanzania

    Kiuweli ni kama siamini hivi ila ndio ishazoeleka tena kwa sasa, kila siku najaribu kubrowse kwenye sites za ngono kuona labda mzigo umeachiwa lakini wapiiiii? Ombi letu kama mlivyofanikiwa kufungia site za ngono tunaomba mdhibiti na wale wa makampuni ya simu wanaotutumia sms bila mpangilio...
  12. JamiiForums Tanzania Acha Kuzuga; Maisha hayana kisingizio.

    ACHA KUZUGA; MAISHA HAYANAGA KISINGIZIO. Anaandika, Robert Heriel. Yule Mtibeli. Maisha hayakuzugi, hayachezi na wewe, hayana mzaha, yapo halisi, ni tukio Linaloenda mubashara ambalo hakuna kuhaririwa, maisha hayanaga kisingizio, hayabahatishi na hayapo kibahati bahati, ingawaje wahusika ambao...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tujuzane: Maisha Lugalo MATC yakoje, ni ya kishuleshule au kichuochuo, nifanye maamuzi sahihi

    Maisha ya kila siku Lugalo MATC yakoje? Ni kama sekondari? Maana naona joining instructions kama za sekondari! Nisaidieni nifaye maamuzi sahihi, sitaki maisha ya kishule shule, ki- sekondari tena. Mara uniform, mara ufagiio, mara kudeki bweni, mara kengele ya kula, kulala, kuoga etc etc...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi mnawezaje kuishi maisha ya aina mbili kwa wakati mmoja?

    Kumekuwa na watu wengi ambao wanaishia maisha ya aina mbili kwa wakati mmoja, mfano unakuta mtu ametoka kufanya uzinzi mchana, then jioni anapost status au post ya kawaida kwenye WhatsApp, FB na inta akiwahimiza watu kuhudhuria ibada ya maombi na akiwa confident kabisa. Unakuta kesho anaenda...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Maisha haya nipo mwenyewe

    Haya maisha bana najihisi nina nyota ya kuwa peke yangu tu, tangu kuzaliwa nimezaliwa peke yangu sina kaka wala dada yaani peke yangu. Nimeishi mpka sasa nina miaka 27 yaani peke yangu peke yangu tu, ofcourse nina kazi tulikuwa wanne wote wamefukuzwa nimebaki peke yangu, sina rafiki wa karibu...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika hatuendelei katika maisha

    Kuna kitu nimejifunza katika maisha yetu sisi wa Afrika na nimepata jibu kwanini sisi ni maskini First one sisi wa Afrika atupatiane support Second one sisi wa Afrika tuna wivu sana Unaweza mkuta mtu anaogapa kumfanyia jirani yake kitu fulani eti akimpa atafanikiwa ni bora akampe mtu mwingine...
  17. JamiiForums Tanzania Mkiambiwa maisha ni magumu awamu ya sita muelewe

    Haya habari ya mjini
  18. JamiiForums Tanzania Nimezidiwa na maisha, niokoeni Watanzania wenzangu

    Tafadhali husika na mada tajwa. Mimi siyo mgeni Humu Ila nimejisajili rasmi Leo. Hali yangu ni mbaya mno, Kwa sasa Sina mengi ya kusema Ila naomba nisaidie kazi yeyote Ili niweze kupata Milo na malazi WASIFU WANGU: 1. Nina miaka 25 2. Nina elimu ngazi ya higher diploma in project planning and...
  19. JamiiForums Tanzania Sitasahau haya maisha haya

    Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana. Moja Kwa moja kwenye mada. Nilipohitimu chuo niliamua kuanza maisha ya kujitegemea rasmi yaani mi nilihama nyumbani kabla sjaenda kupanga nikianza kuishi kwenye nyumba ya Mzee ambayo ilikuwa haijakamilika Sana nilikiweka Sawa chumba...
  20. JamiiForums Tanzania Tuyaishi maisha sio kutafuta maisha

    Vijana tusitafute maisha Bali tuyaishi maisha Tusitafute vyeo tuache vyeo vitutafute Tusitumikie pesa tuache pesa itutumikie. Tusimiliki pesa Bali tumiliki vanzo vya sisi kupata pesa Pesa Ni kama maji hata uchote vipi mwisho wa siku utayamwaga tu yarudi baharini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…