maisha

  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

    Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Jamaa atupwa JELA MAISHA kwa kumlawiti mtoto wa dada yake

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha na fidia ya Tsh. Milioni 10, Ramadhan Musa Chewa (34), Mkazi wa Pawaga, Iringa kwa kosa la kumuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kike wa dada yake mwenye umri wa miaka 12. Hakimu Mkazi Mkuu, Ally Said Mkasiwa amemesema mtuhumiwa...
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Safari ya Maisha ya Kiroho ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Safari ya Maisha ya Kiroho ya Dr. John P. Magufuli wa Tanzania Askofu mkuu Protase Rugambwa, ameongoza Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kumwombea Hayati Dr. John Pombe Magufuli wa Tanzania. Baada ya Ibada ya Misa, ilifuatia dua iliyoongozwa na Bwana Abdul Hamid Ahmed na mwishoni, Balozi...
  4. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ni chaguo langu, maisha yangu yamekuwa ni hadithi ya kusimulia. Kila baada ya mwaka mpya. Heri ya siku yangu ya kuzaliwa

    Habari za leo rafiki naitwa Jumanne Mwita, Leo ni tarehe 06/06/2022 Kila ifikapo siku yangu ya kuzaliwa, huwa naandika moja ya makala kwa ajili yangu, kwa sasa nimetimiza miaka kadhaa ambayo kwangu mimi ni miaka mingi kidogo sihaba hapa nilipofikia pia namshukuru Mungu niko hai bado. Miaka hii...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kupiga picha na watu maarufu, kunakuongezea vipi, unafuu katika maisha yako?

    Watu wengi hupenda, au kulazimisha kupiga picha na watu maarufu katika nyanja mbali mbali. Leo tunataka tujiulize; zile picha huwa zinamanufaa gani katika maisha yako; hasa katika utafutaji wa kipato chako cha kila siku.
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 24 jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka 9

    Juwai Magoda, mwenye umri wa miaka 24 Mkoani Iringa amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na faini ya Tsh milioni moja baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji kwa binti wa miaka 9 aliyekuwa akisoma darasa la pili. Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Iringa, inadaiwa Magoda...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Matiyasi FC ya Afrika Kusini yafungiwa maisha kwa kushinda goli 59 katika mechi moja

    Picha: Kikosi cha Wachezaji wa Matiyasi FC Klabu moja yenye maskani yake Limpopo katika kitengo cha chini cha mfumo wa soka nchini Afrika Kusini imefungiwa maisha baada ya kufunga mabao 59 katika mechi moja. Timu ya Matiyasi FC iliyokuwa ikiwania kupanda Ligi ya Mkoa wa ABC Motsepe, iliichapa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuishi kwa Waziri fulani miezi 3 watu wanaishi maisha bora

    Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo. Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
  9. Surya

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha Mazuri, na hakuna Mengine

    Maisha mazuri ni yapi? Kutumikia tamaa za mwili? Kutumikia tamaa ya mwili hakuna faida ni hasara tupu, ukiwa mpenda kubadili wanawake kila siku, unatambua hasara zake, mfano mdogo tu, ukipata magonjwa ya zinaa hasara yake hadi uzeeni unatambua vizuri. haya mfano uwe mwizi, hivi siku ukishikwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha usiruhusu kila mtu akuzoee ni KOSA kubwa mno pia weka muda maalum wa watu kukupigia simu

    Ukiwa unaingilika ingilika kirahisi utajishushia heshima weka limits za watu kukuzoea. Wengine salamu tu inatosha wasikuzoee sana Kawaida ya mbongo akikuzoea anakushusha thamani ndo maana hata wasanii somo lao kubwa kwenye kazi zao za sanaa ni kujiweka mbali na mazoea yani kutojichanganya...
  11. Kasie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

    Habari za jumapili, Nikiwa na akili zangu timamu, leo tarehe 29/05/2022 nimeona nisimulie moja ya mahusiano niliyopitia kwenye maisha yangu wakati wa uschana.... Sio mazuri kusimulia sababu yananiletea kumbukumbu mbaya na mapigo ya moyo hunienda mbio jasho hunitoka viganiani na miguuni na...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ujana haudumu, kuchora tattoo kunaweza kukugharimu sana maisha yako ukubwani

    Huwa nawaonea huruma sana vijana wadogo wanaochora tattoo kuona ni ujanja ama kufuata mkumbo... kwa nchi kama ulaya na marekani tattoo sio shida hata kidogo, ila kwa hapa bongo hali ni tofauti kabisa. kwa mitazamo ya jamii zetu, mtu akisha chora tatoo basi heshima yake inapungua pakubwa mno...
  13. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Musa: Utata wa kifo, mazishi yake na ufanano wa viongozi wa kiharakati Karne ya 21

    Habari za muda huu jf. Tuanze moja kwa moja,tutatumia bibilia as reference pindi itakapohitajika Kama msingi kwakuwa ndio kitabu nikisomacho. Nabii Musa ni Nani? Maisha yake yanaelezewa kwenye kitabu Cha kutoka katika bibilia Kama mtoto aliezaliwa na wazazi waebrania lakini alilelewa katika...
  14. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani mzuri kwa kuanzia maisha from Zero?

    Wakuu habari za muda huu! Baada ya kukaa nyumbani muda mrefu nikifanya kilimo cha kutegemea mvua, mwaka huu kilimo kimeniangusha sana na hata miaka iliyopita mara zote mavuno yalikuwa tofauti na matarajio hivyo nimeamua kuachana na kilimo kwani sioni hatima ya maisha yangu ikiwa tofauti na ya...
  15. GoodHB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi aje kuwa mke

    Hello babe, nimekusubiria kwa muda mrefu sana, sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu. Please dada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani. Njoo tusaidiane kutimiza ndoto zetu na kuenjoy maisha yetu hapa duniani. SIFA ZAKE Awe smart kichwani...
  16. benix samson

    JamiiForums Tanzania Dizasta Vina - Simulizi, ubunifu na maisha ya jamii yake ndani ya album ya The Verteller

    Msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Dizasta Vina ni mmoja wa viongozi katika orodha ya wafalme wa Hip-Hop wa kizazi cha leo. Muziki wake umebeba falsafa, mafunzo na mitazamo inayogusa jamii kwa namna tofauti. Ana mtindo wa kipekee, mashairi yenye ujumbe na mtiririko wa visa na matukio ya...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Mataifa tajiri yahatarisha maisha ya watoto ulimwenguni

    Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limedai kuwa mataifa tajiri Duniani yanahatarisha maisha ya watoto kutokana na uzalishaji mkubwa wa gesi za sumu zinazoathiri afya zao. Kituo cha Utafiti cha UNICEF kimetafiti mataifa 39 ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi na...
  18. Lyrics Master

    JamiiForums Tanzania Maisha by Joslin

    Usione watu wanapita pita mitaani ukadhani wana raha, Usione watu wanasulubika mitaani ukadhani walishapataa, Maisha yanatisha, maisha yanaumiza jamaani, Maisha yanatisha maisha yanaumiza moyoni, Verse: Ona akina dada waliosimama wanajiuza, Ona akina kaka wanaitwa mapusha, Wanatafuta maisha...
  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania na maisha ya mashaka South Africa

    Maisha wanayoishi huko ni mabaya kweli kweli.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Epuka makosa haya kwenye maisha.

    Epuka makosa haya kwenye maisha, yatakuchelewesha na yatakuzeesha haraka. Huyo mimi ndiyo nilimsomesha. Hilo paa mimi ndiyo nimempaulia ili ahamie kwake, alikwama kabisaaaaa. Hicho cheo mimi ndiyo nilimfanyia mpango akakipata. Usimuone hivyo mimi ndiyo nilikuwa nampa nauli sasa hivi hanijui...
Back
Top Bottom