maisha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Malengo yangu 2023 yasipotimia yanabaki ni malengo yangu ya maisha

    ‭Kwa mwaka 2023 nimejiwekea malengo yangu haya; Kununua kiwanja cha biashara (nina viwanja na nyumba kwa ajili ya makazi) 2023 nimeupa rasmi ni mwaka wa mandalizi ya kuongeza biashara nyingine hivyo ntapambana ninunue uwanja either for guest house au kiwanda kidogo, sijui itakuwa biashara...
  2. JamiiForums Tanzania Arusha: Afungwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa miaka 10

    Mahakama ya Wilaya ya Arusha, imemhukumu kifungo cha maisha gerezani, Godlisten Kibwana (22), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka 10. Kibwana ambaye ni mkazi wa eneo la Mianzini, jijini Arusha amehukumiwa adhabu hiyo leo Alhamisi, Desemba 29, 2022 na Hakimu Mkazi...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke bora wa Maisha yangu

    Kwanza niseme mimi ni mwanaume mwenye uchumi wa kawaida sio tajiri wala sio masikini nipo katikati. Me ni mwanaume ninayependa Mwanamke mwenye sifa zifuatazo Mwanamke ambaye hawezi kuniomba mimi elf 20 elf 50 au laki 1 huyu Mwanamke hanifai nataka Mwanamke ambaye ataniambia nataka milion 3 au...
  4. JamiiForums Tanzania Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo

    MTANGAZAJI maarufu na Mchambuzi maarufu wa Siasa za Tanzania, Gerald Hando ameweka wazi msimamo wake kutokubaliana na utaratibu wa Serikali inavyokopa poka hovyo na kusisitiza kuwa uamuzi wa Job Ndugai kuzungumzia mikopo haukuwa mbaya na hakupaswa kujiuzulu. "Hakuna kibaya alichokisema Ndugai...
  5. JamiiForums Tanzania Watu wengi hawana furaha na maisha yao

    Mengi huja kwa njia tofauti tofauti katika haya maisha,Kila kinachokuja na kutokea katika maisha yako kichukulie kama njia moja wapo ya kujifunza kwako. Maisha mazuri ni yale yakukubaliana na hali uliyo nayo,kuridhika na kile ulichonacho kile ambacho kila ufunguapo macho unakutana nacho na sio...
  6. JamiiForums Tanzania No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

    Mwaka wa tano huu sasa, hakuna mba mba mba wala nye nye nye! Namshukuru Mungu. Sijui ni kwanini ipo hivi, no offence pia kwa wanawake wenye degree zenu. Ila mimi nazungumzia sisi tuliooa form four na la saba, yaani kwa kweli, hata kama huyu mwanamke ana makando kando, ila life lipo poa sana...
  7. JamiiForums Tanzania Feisal Toto, ulistahili, unastahili na umechelewa saana, Bravo, kuna muda Maisha ni akili, kipaji pekee hakitoshi - Wanasema Mision Accomplished

    Kwa umri wako na kiwango chako uko kwenye peak ya mafanikio, master mind wako amepanga hesabu zikapangika na wakajaa kwenye hesabu zenu, sasa wewe ndie mchezaji uatakayekuwa unalipwa mshahara mkubwa kuliko wachezaji wote wa ndani, na utakuwa ni mchezaji wa tatu kulipwa mshahara mkubwa kwa soka...
  8. JamiiForums Tanzania Umepata somo gani la maisha 2022?

    Mimi: Kila kitu kizuri kinataka muda, muda inahitaji sacrifice ya vitu vingi vizuri.
  9. JamiiForums Tanzania Simulizi yenye ukweli wa kuumiza juu ya maisha na matukio halisi yanayotokea katika jamii yetu

    LANGO LA MOTONI CHAPTER 1 Jumatatu YA TAREHE 26/12/2022 Majira ya saa tisa na dakika arobaini na saba kulionekana dada mmoja ambaye hakuonekana nadhifu kwa mwonekano wa mavazi yake pamoja na nyewe zake zilizoonesha kutimka kama vile alikuwa akikimbizwa na kitu au yupo katika dimbwi la...
  10. JamiiForums Tanzania Bila kuikataa na kuipinga hii CCM maisha ya Watanzania yatakuwa magumu na itakuwa ni janga kubwa

    Watanzania ni watu wa kujishughulisha. Wanapambana maana wanalima, wanafuga na kufanya ujasiriamali wa kila namna. Ila ukweli ni kuwa CCM haina sera na mipango madhubuti ya kiuchumi kuwanyanyua Watanzania. Ufisadi na ubadhirifu usiokemewa na kudhibitiwa huruudisha nyuma maendeleo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Wachezaji walipwe vizuri sambamba na elimu ya kifedha

    Nimekutana na hii hoja kuwa baadhi ya Wachezaji Wastaafu wanalalamika kuwa hawakuwa wanalipwa vizuri ndio maana maisha sasa yanawawia magumu. Bila kujiingiza kwenye sakata hili la Fei Toto na wala sina tatizo na Mtu kupigania haki yake ya kulipwa vizuri na ikiwezekana alipwe vizuri kwa kadri...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka 18 ya upotevu wa maisha ya Yesu Kristo. Je, nini hasa siri yake na wanaficha nini?

    Habari za Mida hii Ndugu Zangu Naomba kuanza kwa kuwatakia Sikukuu njema ya Kuzaliwa kwa Yesu kwa wale wote wafuasi wa imani ya Kikristo na hope mnaenjoy sana Happy noela Kabla ya yote ningependa kurejea Luka 1:1-3 Kama inavyosema; ..."Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu...
  13. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za maisha huaribu sherehe za krismas

    Abuja, Nigeria - Adeola Ehi alikuwa anatazamia kumpeleka bintiye mwenye umri wa miaka miwili nyumbani kukutana na babu yake kwa mara ya kwanza Krismasi hii. Lakini maombi kwa matumizi ya kaya ambayo yalijumuisha kodi isiyotarajiwa kulifanya mshauri wa mawasiliano mwenye umri wa miaka 43...
  14. JamiiForums Tanzania Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

    Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuleta uzi hapa ni jinsi gani ndoa ni scam, ni jinsi gani ndoa iko pale kumnufaisha Mwanamke. Siku za karibuni kumezuka matukio kadhaa ya mauaji ya wanandoa, au wanandoa kujiua sababu kubwa ikiwa mifarakano ya ndani ya ndoa. Kwa Muktadha huo nazidi kushikilia ule...
  15. JamiiForums Tanzania Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

    Usijidanganye kwenda bondeni kutafuta maisha kama huna msingi, wala kibali. Kama unaweza kulipa nyumba Milioni kwa mwezi hapa Tanzania basi unaweza kuishi huko. Kama unaweza kuishi Masaki na Mbezi beach basi unaweza kuishi huko sababu tabia za huko mazoea ya uswahilini hakuna, ukiweza kuishi...
  16. JamiiForums Tanzania Ushirikina, Tiba Mbadala zinavyogharimu maisha ya watu Tanzania

    Oktoba 13, 2022, nilipita katika Taasisi ya Ocean Road (ORCI) na kushuhudia wagonjwa wakiendelea na matibabu. Baadhi walikuwa waliowahi matibabu ugonjwa ukiwa bado katika hali ya chini na wengine wakiwa wamechelewa na ugonjwa ulikuwa juu. Nje ya ukuta wa jengo hilo watu wawili walikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Nawapa wazo la biashara litakalobadilisha maisha yako 2023

    Ulimwengu wa sasa ni waki-digitali; chochote unachokifanya, hakikisha kina sehemu kuu 3; - Biashara yenyewe Blog yake Youtube chanel yake Ikiwa na maana; kwenye biashara utapiga hela, youtube utapiga hela, na blog utapiga hela. Mfano:- We ni mkulima wa mboga mboga Anzisha youtube, kuhusu...
  18. JamiiForums Tanzania Kosa wanalolifanya watu wengi na kuwagharimu katika maisha yao yote.

    Habari! Katika maisha watu wengi wanasahau kuweka kumbukumbu ya watu wanaokutana nao na reactions zao. Kila mtu unayekutana anaweza kuwa daraja la kupanda , kushuka au neutral yaani ni mtu tu hana msaada kwako na hawezi kuwa daraja la kukushusha. Mtu ambaye ni adui atabaki kuwa adui tu maisha...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Maisha ni fomula ya ulimwengu ikiwemo kupata au kukosa

    Habari za asubuhi ndugu na marafiki! Kupevuka kiakili ni kuyajua ya Ulimwengu! Dini karibu zote pia zinatumia sehemu ya formula. hii ya Ulimwengu ambayo kuijua siyo lazima usali dini zilizokuja afrika kwa majahazi na meli! Nitaufupisha Uzi huu kwa maelezo machache kwani somo hili ni pana sana...
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenzi wa maisha

    1. Mimi ni msichana wa Miaka 28, ninaishi Dar. 2. Nina mpenda na kumtukuza Mungu aliyehai, dhehebu langu ni KKKT. 3. Elimu yangu ni Degree na ninafanya kazi pia. 4. Napenda kufurahi, kujifunza mambo mbalimbali in all aspects of life kutoka kwa watu wenye positive mind na kufanya maendeleo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…