maisha

  1. S

    Kupaa kwa gharama za maisha Uingereza 🇬🇧 🇬🇧 kwawasukuma wanawake wa UK 🇬🇧 🇬🇧 kufanya biashara ya ukahaba ili kupata kula yao

    Idadi ya wanawake wanaojiuza nchini Uingereza imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 30% kutokana na athari za matokeo ya Urusi kupunguza/kukata gesi yake na mafuta yake kwenda nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza. Wanawake hao wanasema wamelazimika kuingia kwenye kuuza nyeti zao kutokana na mfumuko wa...
  2. SoC02 Mafanikio kwenye ulimwengu wa kisasa

    MAKALA: SAYANSI NA TEKNOLOJIA Miaka 200 iliopita yaani mwaka 1822 hakukuwa na kiwango kikubwa cha maendeleo ya sayansi na teknolojia. Nchi nyingi duniani hazikujua kuna jambo gani linaloendelea upande mwingine wa dunia. Kulikuwa na changamoto kubwa ya kupata tiba, usafiri, mawasiliano, nishati...
  3. SoC02 Maisha mapya ya Teknolojia

    MAISHA MAPYA YA TEKNOLOJIA Daah!!! Alishtuka ghafla na kushika simu yake iliyoingia ujumbe ambao ulimpa mawazo na kumnyima usingizi, ilikuwa mida ya saa nane usiku. Ujumbe huo ulimueleza kuhusu kifaa chake kimoja kimekamatwa na kukipata kifaa chake inaweza kumgharimu pesa nyingi Sana na...
  4. Hiki kitu no muhimu sana kwa maisha ya binadam

    Kuna mwalimu wangu kipindi nikiwa primary alikuwa anatuonesha ualisia wa maisha ya binadam apa duniani kwa kusema kuwa katika vitu vya mhimu apa duniani inabidi uwe na hekima ktk madaraka ya namn yoyote,kwani madaraka yanapofusha na husipokuwa Makini unaweza husione mbele na ukawa na dharau kwa...
  5. Maisha huanza baada ya siku 1,000 za kwanza za mtoto yeyote aliyezaliwa

    Maisha huanza baada ya siku 1,000 za kwanza za mtoto yeyote aliyezaliwa kutoka mimba hadi umri wa miaka miwili. Hakuna nyara katika kufanya hivyo kwa wazazi, lakini athari zake ni za thamani. Tena, kwa sababu wewe si mzazi huyo au ulilelewa kizembe katika utoto wako, haimaanishi kwamba...
  6. SoC02 Uvumilivu ni silaha ya mafanikio katika maisha

    Habari wanajamii. Natumaini nyote mu wazima. Kwa majina naitwa Godwin Nyalusi. Leo hii nimechukua hii fursa na nafasi niliyoipata kuwajuza na kuwashirikisha kile nilicho nacho. Ni maisha yangu ya kweli kabisa na wala sio stori ya kutunga au kubuni. Godwin ni kijana aliyezaliwa mnamo tarehe...
  7. Fedha haiwezi kununua vitu hivi

    1. Muda. Pesa haiwezi kununua muda uliopoteza. 2. Uzoefu wa kihisia.(Furaha,huzuni,vifijo, nderemo,shangwe,hofu, ukumbusho) 3. Muunganiko wa kweli-Watu wanaokujali au kukukubali pasipo fidia ya chochote. 4. Afya. Unaweza kwenda kwa madaktari bingwa na wazuri lakini juhudi zako binafsi pekee...
  8. Ataka kujiua kwa kujikata koromea

    James Msengi Mkazi wa Tabora anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 amenusurika kifo baada ya kujaribu kujiua kwa kujikata na kisu shingoni akiwa kwenye kituo cha Mabasi cha Msamvu mkoani Morogoro. Majeruhi huyo ambaye amesema alikuwa anasafairi kutoka Dar es salaam kuelekea kwao Tabora lakini...
  9. Wakati wanapambana kupeleka gesi ya Mtwara - Dar walisema umeme utakuwa wa uhakika

    Habari za mda huu wanajamvi. Naenda Moja Kwa Moja kwenye mada. Ebu nisaidieni Kama nimesahau au niko sahihi. Propaganda zile ilitembea sana siku zile ili kupata uhalali wa watanzania wakubali lakini sikuona mabadiliko yeyoyte baada ya kufanikiwa kupeleka Dar kwenye umeme kubadili bei...
  10. Uvivu na uchafu ni mapacha ambao ukiwakumbatia utaishi maisha ya ovyo ovyo sana

    Binadamu anapaswa kuwa msafi, hii ni moja ya tofauti kati yetu na wanyama ingawa wote ni jamii ya mamalia. Sisi tunaoishi kwenye chumba kimoja ambacho ukifungua macho asubuhi unaangalia vyote unavyomiliki, inapaswa kujiongeza sana. Bila kujiongeza unakaribisha panya na mende ndani. Unakuta...
  11. Msoto wa maisha Dar es Salaam ulivyonifanya nitamani kuwa mwizi na mhujumu uchumi

    Hivi ni visa vya kweli vinavyotokea ili tujifunze graduate na wapambanaji wengine someni hapa. Hakuna cha nitaendelea nitafupisha zaidi iwe fupi. Ni Mimi pastor prakatatumba abaabaabaabaa etumba etumba. Ndugu zangu kwanza nikiri jiji la Dar es Salaam watu wanapambana saaana tena saana, kuna...
  12. Ukweli mchungu juu ya maisha

    1. Hayupo mtu atakayekupenda kama mama yako mzazi. 2. Masikini siku zote hana rafiki. 3. Watu huheshimu pesa zako, hawakuheshimu wewe. 4. Yule unayempenda sana ndiye atayekuumiza sana. 5. Ukweli ni mwepesi,unapoanza kuuelezea unakuwa mzito. 7. Vitu viwili vinavyoweza kueleza maisha yako...
  13. Maisha ya mfungwa anayesubiri kunyongwa gerezani

    Anasema wafungwa ambao wanasubiri kunyongwa kwa siku hupewa dakika 15 tu za kutoka nje na muda mwingi hubaki ndani. “Kwa kuwa wanakuwa wengi gerezani, basi kuna baadhi wanaweza kukaa muda mrefu bila kuona hata jua na baadhi wamefikia hatua ya kuchanganyikiwa kutokana na msongo wa mawazo,”...
  14. E

    SoC02 Kuongezeka kwa saratani ya matiti kutokana na mambo ya mazingira na mtindo wa maisha

    Saratani ya matiti ni ugonjwa ambao seli kwenye matiti hukua bila kudhibitiwa na huweza kutengeneza uvimbe. Saratani ya matiti inaweza kusababishwa na mchanganyiko wa vinasaba, mazingira, homoni na mtindo wa maisha kwa wanawake. Kuna aina tofauti za saratani ya matiti, kwa kuwa wanawake wengi...
  15. Ukweni ni kuzuri ukiwa na uwezo wa kuwabadilishia maisha yao kuwa bora

    Umekutana na mchumba, anakupeleka nyumbani unakuta ni nyumba ya mbavu za mbwa. Wazazi waliwekeza hela zao nyingi katika elimu ya binti yao, amefanikiwa kumaliza kidato cha nne na ana certificate ya chuo lakini haja pata ajira. Wakwe ni wakarimu na ni waungwana. Unaamua kupeleka barua ya posa...
  16. F

    Ajali za barabarani zimezidi kupoteza Maisha ya Watanzania. Hatua madhubuti zichukuliwe kudhibiti

    Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan naomba kukuomba uchukue hatua madhubuti na za makusudi katika kudhibiti ajali za barabarani hapa nchini kwani zimekuwa zikigharimu Maisha ya watanzania. Leo Mbeya, Sengerema , juzi juzi hapa watoto wa shule huko Mtwara...
  17. MAISHA ya mwanadamu yana UKOMO

    SOMO LA LEO MAISHA ya mwanadamu yana UKOMO. "Tumezaliwa" "Tunaishi" "Tutakufa" Huu ndio ukweli halisi wa maisha yetu. Neno la Mungu katika kitabu cha AYUBU 14:1-2 linasema " Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama...
  18. L

    Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Zaidi ya watu milioni 9.6 waliohamishwa katika maeneo maskini waanza maisha mapya

    INTRO: Katika vita dhidi ya umaskini, jumla ya watu maskini milioni 98.99 nchini China wameondolewa kwenye umaskini uliokithiri. Miongoni mwao, zaidi ya watu milioni 9.6 wameondolewa kwenye umaskini kupitia kuhamishwa kwenye maeneo maskini na kupelekwa maeneo yenye huduma zote. Utaratibu huu wa...
  19. Maisha katika face me I face you, ukiamka asubuhi unaona vitu vyote unavyomiliki

    Zinaitwa face me I face you kwakua ukifungua mlango wa chumba chako inatazamana na jirani yako. Ukipika pilau chakula kinachobaki utakinusa usiku mzima mpaka kesho hamu imekuishia.
  20. M

    SoC02 Jamii na Teknolojia katika kubadilisha maisha yetu

    MAKALA HII IMEANDALIWA NA: TRIPHONY RAYMOND MASONDA PROFESSIONAL: IT specialist -Ili jamii zistawi na kustawi, uvumbuzi wa kiteknolojia umekuwa wa lazima, wakati huo huo utamaduni, maadili na matarajio ya jamii za wanadamu yameunda jinsi ustaarabu huo ulivyounda, kufaidika, na kuzuiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…