Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

BIG STONE AND CONER STONE

JF-Expert Member
Mar 11, 2023
320
495
Vijana wa Kiume wengi wanapenda Sana kuanzisha mausiano na mwanamke kisa ni mzuri, Ana takle Mara mwonekano wa weupe yote sawa Ila kuweni na Akili Acha kabisa kutongoza mwanamke maskini Kama maisha yako ni ya kuunga unga huna mifereji ya pesa za kuelewaka tumia akili.

Kuchukua Mwanamke maskini ni sawa na kuamua kubeba msalaba wake kila hitaji lake atakuletea ww, vocha kusuka mirasta ya 30k. Kula kila kitu' Hadi kuvaa.

Skia huo' ni uiinga ndio maana wanawake wapo tayari kutembea na kibabu hawaangalii mwonekano .
Chukua mwanamke mwenye pesa, au life la kuleweka.

Anatumia zake na ww unatumia zako Hakuna kubeba msalaba wa mtu mwingne. Mwanamke maskini Akae mbali na mm kabisa 'hata soda ninunue mm alaaah ujinga huo'.

Maisha ni Akili ukiwa fala wa hisia za Mapenz utalia kila siku kumbe unaongozwa na sexual homon badala ya Brain.

#Kataa Mwanamke Maskini.
 
Upo sahihi mtoa Mada.

Ila ningependa kuweka sawa hili bandiko lako zuri kuhusu hawa Viumbe.

Mie ningependa kusisitiza vijana wajihusishe ktk mahusiano na WANAWAKE wasio Wabinafsi.

Maana unaweza kuwa na huyo mwenye hela ila akawa ni mbinafsi na akakutwisha mzigo zaidi.

Pia unaweza kuwa na huyo Maskini ila akawa na huruma na wewe asikutwishe mizigo mikubwa au mkagawana mizigo kulingana na hali halisi.

Binafsi sitaki MWANAMKE Ambae ni MBINAFSI.
 
Mzee vipi jua kali linachoma mpaka utosi
 
NAKAZIA

Pia, ushauri kwa mtoa mada TAFUTA PESA tu
 
Mleta mada unadhani mambo Ni rahisi kihivyo, Wanasemaga birds of same feathers flock together.Hapa namaanisha mwanamke wa kitajiri ataolewa na mwanaume wa kitajiri na wanawake wa kimaskuni Mara nyingi huolewa na wanaume wa kimaskini,BT rarely mwanaume wa kitajiri anaweza kuoa mwanamke wa kimaskini.
 
Back
Top Bottom