Nyimbo za Injili ambazo zinashusha Wingu

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2023
Posts
358
Reaction score
708
Je ni nyimbo gani ambazo ukisikiliza zinakusogeza karibu na Mungu

Binafsi kuna nyimbo kadhaa ambazo kwa kweli zimekuwa baraka sana katika maisha yangu ziko ngingi kutoka kwa watumishi wa Mungu ila ziko ambazo wakati wote nikizisikia zinanivuta sana karibu na Mungu

Mtumishi wa Mungu wa hapa Tanzania ambaye nyimbo zake zimekuwa baraka katika maisha yangu ya Ukristo ni Mtumishi wa Mungu Upendo Nkone kipekee Mungu ambariki sana kwa Nyimbo ambazo amekuwa akitoa nyimbo zake nyingi nimezisikiliza tangu zamani miaka ya 2010s kwa kweli amekuwa baraka sana katika wokovu wangu

Na nyimbo ambayo wakati wote imekuwa ikinibariki sana , Ulisema Ninaposhindwa

Kwa kweli ni wimbo ambao umebariki sana maisha yangu ya Kristo, nyimbo ambayo imekuwa ikinivuta karibu na Mungu na kuona ukuu wa Mungu katika Maisha yangu kwa kweli Mungu Mbariki sana Mtumishi wako

Ulisema Ninaposhindwa Nikuite

Pia ziko nyimbo nyingi ambazo mtumishi huyu ametoa ambazo zimekuwa baraka katika utumishi wangu kama vile

Uniongoze

Hapa nilipo

Usifurai juu Yangu

Mungu baba

Upendo wa Yesu

Neno lako ni Taa

Nakadharika kwa kweli Mungu wa Mbinguni ambariki kwa kuwa sehemu ya watumishi ambao walisaidia kutunza mahusiano yangu na Mungu.

Mtumishi Mwingine ni Mchungaji Abihudi Misholi kwa kweli nikikumbuka enzi zile nyimbi ya mtumishi lazima uwe na CD , alikuwa baba wangu wa kiroho katika upande wa nyimbo nimenunua kanda zake na kuwa nazisikiliza mara kwa mara

Nakumbuka kipindi kile cha miaka ya 2010s nyimbo yangu pendwa kwa mtumishi huyu zilikuwa zifuatazo:-

Mungu yupo hapa

Shuka Bwana Shuka

Tenda miujiza

Nimebaki pekee yangu

Kwa kweli nyimbo zake zilikuwa zinaleta utukufu ndani yangu, nimemwona Mungu kupitia mtumishi huyo kwa kweli katika hatua zile za Mwanzo watumishi hawa walikuwa baraka sana katika maisha yangu

Pia siwezi kumsahau John Lisu nakumbuka kipindi hicho ndo album yake ya Jehova Yu hai imetoka na nyimbo ambazo zilikuwa hazikosekana kwenye chumba cha maombi

Nisimamishe huu ulikuwa kama wimbo wa taifa kipindi hicho cha wokovu kwa kweli Mungu ambariki sana amekuwa sehemu ya wokovu wangu

Hakuna kama wewe kwa kweli ulikuwa ni mwimbo wa viwango vyingine

Hakuna kama wewe
Hakuna kamwe p
Pekee yako umetukuka
Nani kama wewe x2

Mataifa yatetemeka
Nani kama wewe
Umejivika heshima na Nguvu
Nani kama wewe

Mataifa yatetemeka
Nani kama wewe
Umejivika heshima na Nguvu
Nani kama wewe

Hahahahahakuna
Mwingine kama wewe ....
Miaka 2010s Tanzania hakukuwa na mtumishi wa nyimbo za kusifu na kuabudu kama John Lisu amekuwa mlango kwa watumishi wengi vijana kwa kweli Mungu ambariki sana
 
Gospel za kuanzia miaka 15-16 iliyopita kurudi nyuma zilikuwa na UPAKO sana, hisia zilitawala. Binafsi sichoki kusikiliza hizo maana Kwa sasa naona sijapata mbadala wa hizo. Gospel za sasa wanasema ni za kisasa lkn binafsi sioni wala kusikia 'ladha' yake.
 
Solomon Mkubwa:
-Mfalme wa Amani
- Mungu mwenye Nguvu
Bony Mwaiteege
- Yesu Yupo
-Ndiyo Bwana
Ambwene Mwasongwe
- Elia
-Tulikotoka
-Msalaba
 
Gospel za kuanzia miaka 15-16 iliyopita kurudi nyuma zilikuwa na UPAKO sana, hisia zilitawala. Binafsi sichoki kusikiliza hizo maana Kwa sasa naona sijapata mbadala wa hizo. Gospel za sasa wanasema ni za kisasa lkn binafsi sioni wala kusikia 'ladha' yake.
Sahihii
 
Nyimbo ni nyingi ila kuna zingine kwa kweli zilitawala mioyo yetu kama nyimbi za Ambwene
Misuli ya Imani
Rozi Muhando Nipe Uvumilivu

Christina Shusho
Ebwana Umenichunguza
Wakuabudiwa wimbo pendwa

Edson Mwakabete

Ni kwa Neema tu
 
-Weka nyimbo za Mwasongwe Ambwene Zote kwanza, then tuendelee.

-Mungu ni mmoja- Bella Kombo (huu wimbo nadhani ulitungwa na kurekodiwa baada ya mfungo wa tatu kavu)

-Nyimbo za shusho albam za zamani.

-Mimina by mt. Kizito Makuburi.

-Baadhi ya nyimbo za kwenye tumwimbie bwana (KKKT)

-Baadhi ya nyimbo za SDA weee!
 
Back
Top Bottom