maisha mazuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha familia yetu kubarikiwa na kuwa na maisha mazuri

    Nataka Leo niongee na wazazi Kama mpo. Sisi katika familia yetu upande wa babu yangu wamefanikiwa wote . Je, ilikuaje wakafanikiwa familia nzima? Kwanza Babu yangu alikuwa MTU mwema Sana alijitolea na kusaidia ndugu zake wote hivyo Karma ilimlipa . Pia Mimi na ndugu zangu sote tumefanikiwa...
  2. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania wako wapi? au wao wana maisha mazuri sana? Kenya wanakiwasha

    KEnya Walimu huu unaweza kuwa ni mgomo wao wa pili ndani ya huu mwaka mmoja. Hawa wako serious sana na maisha yao hawako kwa ajili ya kufurahisha mtu. Walimu Wakenya hawana muda wa kujikomba, kujipendekeza, na kumlamba Ruto miguu, hawa huwezi watoa Shuleni eti wakamshangilie Ruto uwanjani...
  3. M

    JamiiForums Tanzania List ya vijana 10 Tanzania waliobadilishwa maisha na ujio wa Mtandao. Bando zao zimewapa maisha mazuri

    Habari wadau. Kwa wale mashangazi na wajomba nazani tunajua kwamba miaka 12 iliyopita hakuna aliekuwa anaijua instagram.. facebook ndio ilikuwa inatamba kitambo ikisaidiwa na youtube. Miaka ya 2013 na 2014 ndipo instagram iliteka kwa kishindo wa Tanzania. Watu wa mwanzo mwanzo kudominate...
  4. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona unatongoza sana huku na kule fahamu tu umeshapoteza power

    Kama Una tatizo la kutafuta vitu au watu n.k fahamu tu kuwa hauna power tena unachohitaji nikuweka power vizuri. Kila kitu kinavutwa iwe pesa, mpenzi, good life n.k You don't need to chase anything in this entity. Ni kukaa chini na kujua what you need in ur life na kuanza kuchezesha mifumo...
  5. FK21

    JamiiForums Tanzania Njoo ufunguke kitu kinachokupa wakati mgumu

    Habari za mchana marafiki zangu wa Faida njoo UFUNGUKE Ka Kero kanakokupa WAKATI MGUMU katika harakati zako za kila siku Mimi kwakweli Nina KINYAA SANA mwepesi mno kutapika sasa kitu kinachonipa WAKATI MGUMU nikawa harakati njaa ikauma nikaona nitafute genge au mgahawa nikikuta wahudumu na...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwangu mimi naona mbona maisha mazuri tu

    Mimi bwana sometimes naona kama mfumo tuliopo mzuri kiasi fulani kwani mbona watu wanafanya wanakula, na bado wanacheka na bado wanashabikia mpira na bado wanaenda kule Dubai. Mbona kama mambo yamekuwa mazuri jamani si tukubali tu au unaweza kuhisi labda nina tatizo la stress.. Hapana...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Xavier na David wakali wa memes

    Xavier huyu Jina lake halisi ni Pakalu Papito ukimcheki Facebook utaona wasifu wake, alivyojiunga Twitter mara ya kwanza tu akapost hello Twitter am single, sifa yake kubwa ni ubishi. David na yeye picha yake imekuwa maarufu sana kwenye mitandao.
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Dogo ana miaka 17 tu tayari ana maisha mazuri na mpenzi

    Endrick mchezaji wa palmers ya Brazil katika umri wa miaka 17 tayari ana mafanikio makubwa ya kimaisha huku akimiliki mtoto mkali wa kula naye maisha. Dah kweli maisha hayapo fear
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Siri ya maisha mazuri

    Ni kuwa na nia ya kweli na ya dhati ya kufanikiwa kumshirikisha mungu katika mipango na vipaumbele kuelekea maisha mazuri.. Kuwa na bidii, maarifa na moyo wa kutokukata tamaa, pale unapokutana na magumu, mabonde na milima.. Na ukipita vizuri apo, huo unaweza kua mtaji lakini pia msingi muhimu...
  10. matunduizi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusiseme wana wa kike wa siku hizi wanapend pesa, ukweli ni wanawake wameumbwa ili waishi maisha mazuri ten yenye usalama.

    Mwanamke alipoumbwa, alikuta Mungu ameshaandaa sehemu bora safi ya kustarehehesha yaani Eden. Maana ya neno Eden ni Sehemu ya kustarehesha inayolindwa. ( Protected place of Pleasure). Hata baada ya kufukuzwa Eden. Bado mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho ili matumizi ya matokeo ya hilo jasho...
  11. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Kama hamwezi kuwaandalia watoto wenu Maisha mazuri waachieni Wanaoweza

    Kwema Wakuu! Ninyi mlidanganywa kuwa mtoto arithi elimu pekeake. Juzijuzi hapa nikawaambia urithi wa mtoto sio elimu pekeake muache kukimbia majukumu yenu. Mkaanza kunitúkana na kunirushia matusi na maneno yakaraha mkidhani ndio nafuu yenu. Nikasema Sawa! Yaani kwa akili ya kawaida ati...
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

    Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna atakayeuza Tanzania. Sitaki Shida nataka Watanzania Waishi Maisha mazuri

    Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Akizungumza katika mkutano huo Rais Samia amekumbusha juu ya wajibu wa TLS...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kama uzinzi huleta umasikini, mbona kuna watu ni wazinzi wana maisha mazuri kiuchumi?

    Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina. Hio...
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unapotaka kuolewa unatakiwa kutii hisia za mapenzi ama hisia za maisha mazuri?

    Watu wawili wanaonesha interest kwangu. Mmoja ana hela chafu, nikikohoa muamala unasoma. Na kwake ni full kiyoyozi, gari kali, geto kali na mipango ya maisha iko kwenye mstari. Huyu mwingine mm ndiye nampenda haswa, nikimuona nategwa kihisia kama samaki kaona chambo. Lkn huyu kiuchumi...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Maisha mazuri ni kuishi katika utakatifu tu

    Hakika nikijiangalia kipindi changu cha Majira ya upofu ambapo nilikuwa sijaamua kuishi katika Maisha ya utakatifu. Naona mabadiliko makubwa sana. Nchi ya ahadi ni nzuri, imejawa na asali. Nauona mwisho wangu ukitamatika katika haki na kweli. Vijana mtafuteni Mungu wa kweli acheni kuishi...
  17. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Mababu zetu waliishi maisha mazuri kushinda kizazi cha sasa

    Enzi hizo mtu anapotaka chakula, anaenda kwenye shamba la migomba, anatazama makumi ya mikungu ya ndizi na kuamua avune upi kwa chakula cha jioni cha siku hiyo. Karibu na shamba hilo kuna bustani ya viazi vitamu, bustani ya mihogo, viazi ulaya na mtama. Upande wa kusini wa shamba la migomba...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mungu nisaidie nitimize ndoto yangu ya kumsaidia mtu mmoja tu abadilishe maisha, akawe na maisha mazuri kabisa

    Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke. Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au...
  19. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mishahara ya sasa ilivyo bado walimu waliishi maisha mazuri zamani kuliko sasa

    Kwa bahati babu, bibi, baba na mama yangu wote walikuwa ni walimu, na mimi mwenyewe nikafuata nyayo kwa miaka 10 kabla sijakimbia nilichoona kipindi kile cha zamani. 1. Makazi/Nyumba za walimu zilikuwepo, walimu walikaa kwenye maeneo ya shule na hata kama hakukuwa na nyumba basi kijiji au...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Siku hizi naona Walimu wana maisha mazuri sana

    Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje. Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu. Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh? Mitano tena...
Back
Top Bottom