maisha magumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Nisaidieni kazi yoyote jamani, maisha magumu

    Nina shida sana hali ngumu, nahisi kukata tamaa. Yoyote anisaidie kazi yoyote. Maana sina hela na nyumbani na nahitaji kupata mahitaji yangu Kama sabuni, nguo nk. Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu atanisaidia.
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Ujumbe maalumu kwa vijana mnaoona maisha magumu

    UJUMBE MAALUMU KWA VIJANA MNAOONA MAISHA MAGUMU! Anaandika Robert Heriel! Sipendi kusema mafanikio yangu ni yapi, na wengi watataka kuniuliza nina mafanikio gani mpaka niwe mshauri kwao. Sipendi kuyataja mafanikio yangu Kwa sababu hayatawasaidia Jambo lolote, lakini nitatoa Siri ndogo Sana ya...
  3. GENTAMYCINE

    Tafadhali tukimaliza 'Ngonjera' za 'CCM Madili' huko Dodoma, turudi tuwape Majibu ya kutosha Watanzania juu ya Mafuta na Maisha magumu

    Kuna Watu wamenishangaza na Wananishangaza sana hivi Watanzania sasa wanalia juu ya Gharama za Maisha kupanda huku Bei ya Mafuta ya Kupikia na yale ya Petrol na Diesel nayo yakipanda badala ya Chama kujipanga Kwanza Kulitatua hili kimeamua Kuitana Makao Makuu Dodoma ili Kimsifie Mtu...
  4. J

    Iringa: Mabinti waliokimbia kwao kisa maisha magumu warejeshwa kwenye mstari

    Vijana waliokuwa wanaishi katika mazingira magumu ambao baadhi yao walikuwa na mzigo mkubwa wa kutunza familia zao na hata mabinti kukimbia vijiji kwenda kufanya kazi za ndani, hivi sasa maisha yao yamekuwa tofauti baada ya kufikishiwa elimu ya ujasiliamali na elimu ya Saikolojia. Elimu hiyo...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Orodha Rasmi ya watu wanaopitia Maisha magumu nchini Tanzania

    Wakuu Kwema! Ifuatavyo ni orodha Rasmi ya Watu wanaopitia Maisha Magumu katika nchi yetu ya Tanzania. 1. Single Mother. Moja ya kundi linalopitia maisha magumu hapa nchini Tanzania ni Dada zetu waliopata watoto kabla ya kuolewa. Ugumu wa maisha yao unatokana na mtazamo wa jamii dhidi Yao, pia...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Hakuna maisha magumu Zama hizi; kilichopo ni watu kutaka usawa

    HAKUNA MAISHA MAGUMU ZAMA HIZI, KILICHOPO WATU WA SASA KUPENDA USAWA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Hakuna maisha rahisi Kama ya Zama hizi. Siku hizi kila kitu kimerahisishwa. Sijazaliwa zamani Sana Ila miaka ya 2000 Kurudi nyuma maisha yalikuwa complicated, yalikuwa magumu jamani. Sio kwenye...
  7. Liverpool VPN

    Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

    Eeeh bwana ehh ni Mimi Mr. Liverpool Tena. Weekend hii tumempiga Manure na nyundo Kali sanaa mpaka kapoteana.!! Sasa jiulize ile ilikua Old Traford, je wakija Anfield..!!! Turudi kwenye mada .... HIVI KWANINI HAMSIKII NIKIWAAMBIA MSIOE ??😳😳😳 Sasa Kuna mwenzenu yamemkuta huku ...
  8. The Boss

    Kwa hili bata la leo Dar ni kweli maisha magumu Tanzania?

    Ukiingia Mitandao leo ni full bata Dar karibu yote.. Waliokusanyika bar za nje uwanja wa Taifa Na maeneo mbali mbali leo kusherehekea Simba day ..beer zimeanza asubuhi.. Na Vijana mostly under 30 wamejaza bar karibu zote leo Dar wakitazama kwa TV Na kuanza kunywa beer kuanzia asubuhi .. Hizi...
  9. Kifaru86

    Kuna binti nilimuahidi nitamuoa mwaka huu ila bado mambo magumu, nifanyeje?

    Huyu binti nina mwaka nipo nae katika mahusiano na moja kati ya promise niliyomuahidi nitamuoa mwaka huu mambo yangu yatakapokaa sawa Ila mpka sasa mambo magumu. Na binti naye kwao wameanza kumsumbua kwani alishawaeleza ana mchumba anataka kumuoa sasa home kwao mpaka sasa hivi wananisikilizia...
  10. Prof Koboko

    Dawa ni kuiondoa CCM Madarakani. Raia wana Maisha magumu kwa makusudi

    Sasa hatuwezi kuendelea kuwaachia nchi watu walioshindwa kuiendesha, haiwezekani gharama za maisha kupanda kwa kiasi kikubwa huku pesa mzunguko wake ni mbovu halafu kila siku kudumu Chama chaMapinduzi. Sasahivi kununua vifaa vya ujenzi ukiwa mipakani Tarime kutoka nchi jirani ya Kenya ni nafuu...
  11. M

    Zuhura Yunus wa BBC Swahili, amesema maisha ya London Magumu huwezi hata kusevu

    Akihojiwa kupitia EATV live, Kilikuwa kipindi kizuri hasa ukiangalia ile kombinesheni ya wadada hawa wawili yani Da Salama kama mnavyo mjua na Da Zuhura wakiwa pamoja mezani na Da Salama anavyomchimba kumtaka ya ndani na nje. Mahojiano yalikuwa mazuri sana kwani Da Salama anajaribu kumchimba...
  12. Naja naja

    Maisha magumu mpaka nataka kuwa mshirikina

    Maisha magumu sana mpaka nataka kujaribu ushirikina watu wananishauri huenda nyota yangu imefifishwa maana kila jambo linaishia njiani na kuharibika kabla halijafanyika. Nimeshaahidiwa kazi hata humu JF na baadhi ya members lakini ghafla ukungu unaingia mtu anaingia uzito hatimaye ananipotezea...
  13. incognitoTz

    Je, na wewe unadhani Uhusiano mbaya kati ya walimu na wanafunzi ni moja ya chanzo cha kuwapo kwa maisha magumu kwa walimu?

    Wataalamu na watafiti wa elimu ya mendeleo ya watoto wadogo wanaamini kuwa zaidi ya asilimia 90 ya maendeleo ya ubongo hutokea kati ya kipindi cha umli wa mwaka mmoja (1) hadi miaka mitano (5). Hiki nikipindi muhimu sana kwa mtoto na hapa huwa anajua kipi kizuri kufanyiwa na kipi kibaya kufanyia...
  14. B

    Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

    Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa. (Samahani mimi sio mwandishi mzuri wa story) Kuna mwenzangu tulisoma naye O level, mimi niliendelea A level na yeye akaenda DIT kipindi hicho ikiitwa Dar Tech, hatukuonana miaka mingi sana na sikujua yupo wapi. Kwa bahati tu nikawa...
  15. S

    Kama eneo uliko maisha magumu na biashara zako haziendi hamishia Chato. Huku Mambo Safi

    Miradi mikubwa inajengwa Chato. Rais anashinda Chato, Watendaji wa ngazi za juu wa kitaifa wapo Chato muda wote. Marais wa nchi ama viongozi waandamizi wa serikali wa mataifa mbalimbali wanakuja Chato kuonana na rais wetu. Wakati huo huo Chato imetangazwa kuwa kitovu cha utalii, na usafiri wa...
  16. Naja naja

    Maisha magumu sana ila nina imani ipo siku nitafanikiwa

    Maisha yanazidi kunichachia kila kukicha, nimetafuta sana kazi bila mafanikio yoyote mpaka ninahisi nimerogwa. Mtaani thamani yangu imeshuka mno maaana nilipiga hatua kidogo ya kielimu ila nikakosa mtu wa kuniendeleza baada ya kufiwa na mama (baba yupo ila ni baba jina) hivyo nikakata tamaa ya...
  17. F

    Wasomi wote ambao tunapitia maisha magumu zawadi ya mwaka mpya wimbo - Nimelimiss Bumu

    habari wadau wote wenye changamoto za kimaisha.. Vijana wengi kitaani tunapitia hali ngumu.. hii imenifanya niimbe wimbo wa kutuliwaza nimelimiss Bumu.. naombeni maoni yenu wapi nimekosea na wapi nimepatia heri ya mwaka mpya
  18. M

    Maisha ughaibuni

    .
  19. blogspot

    Watanzania kulalamika maisha magumu

    Habari wakuu. Naimani tumeamka salama na kila mmoja yupo kwenye majukumu yake. Kama kichwa kinavyojieleza. Watanzania wengi haswa walikua wamezoea utafutaji kwa njia ya janja janja wamekua wakiilaumu serikali kuwa maisha magumu. Wazee nawashauri tu kama mta panic ni dalili kuwa mmenielewa...
  20. Liverpool VPN

    Maisha magumu kwangu tu au tupo wengi?

    .......YNWA...... Moderator FUTA HUU UZI. Please DELETE
Back
Top Bottom