maisha magumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. steve_shemej

    Sababu ya wastaafu wengi kuishi maisha magumu baada ya kustaafu

    Tumeshuhudia kundi kubwa la wastaafu kuishi maisha magumu baada ya kustaafu hii husababishwa na mambo kadhaa miongoni mwa mambo yafuatayo Kutojiandaa kustaafu Wafanyajazi wengi huwa hawajiandai kustaafu na wamekuwa wakiishi maisha kama watakuwa waajiriwa maisha yao yote hali inayopelekea...
  2. excel

    Ila Watanzania tulio wengi tuna maisha magumu sana!

    Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima😭😭, nimesikitika mno, tena sana. Hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao. Kwa kweli wakati...
  3. Samia atosha tukutane2030

    Mlaani hapa kiongozi aliyekukosea

    Mimi naanza. •Alaaniwe kiongozi aliyeuza nyumba za serikali kwasababu yoyote ile. Nyumba zile ni za watumishi wa kawaida, wakaziuza kisha watumishi wakaanza kuishi kifukara lakini wao wenyewe waliishi nyumba za bure. Watumishi kutokana na vipato vyao hawawezi kupata viwanja vya milioni 30 hivyo...
  4. Introvert Music

    Nashangaa mnaolalamika maisha magumu Tanzania

    Katika nchi ambayo pesa ipo nje nje ni tanzania nashangaa wananchi mnalialia mitandaoni eti maisha magumu wakati maisha Tanzania ni marahisi sana na pesa zipo nyingi aisee. Hamna nchi naipenda kama tanzania yaani Ina amani pesa kibao na wananchi wanaishi vizuri huwa nashangaa watu mitandaoni...
  5. ndege JOHN

    Kwanini tunasema mkoa fulani maisha magumu vyakula gharama juu ilihali tanzania nzima bei za vyakula vikuu ziko flat rate

    Mara nyingi utasikia mtu tena mfanyakazi anayelipwa mshahara analalamika mkoa fulani bei za vyakula ziko juu ni mgumu kuishi wakati kiuhalisia vyakula vyote vya msingi bei hazijatofautiana sana Kwa mfano mchele mzuri utakuta 2000-2500 Mahindi kilo utakuta 700-1000 Maharage utakuta 3000-3500...
  6. Mwachiluwi

    Maisha magumu

    Niny maisha magumu hela haikai ase hadi roho inauma
  7. BabaMorgan

    Maisha yanapozidi kuwa magumu na uwezo wa kufikiria unakuwa chini

    Huu ni mtazamo wangu binafsi ambao ni based kutokana na experience nilizopitia mpaka Sasa. Maisha yanapokuwa magumu mara nyingi fikra zinakuwa ni zilezile unatumia energy na Akili kubwa kuwaza utakula nini, utalipaje Kodi ama utavaa Nini na kwa bahati mbaya ukipata pesa kidogo unazotumia ili...
  8. Oscar Lyrics

    Watoto wa kambo na mayatima huwa wanapitia maisha magumu sana

    Siyo wote ila kuna baadhi ya wazazi\walezi wanaishi vizuri na watoto ambao siyo wao kiasi kwamba usipoambiwa siyo wazazi wao huwezi kamwe kujua. Nimewahi kushuhudia kisa cha mtoto wa yatima katika familia fulani, yeye alifiwa na wazazi wake wote wawili hivyo ikabidi achukuliwe na ndugu wa...
  9. Poppy Hatonn

    Maisha magumu Tanzania. Nimefilisika. Mnashauri nifanye nini?

    Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo. Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu. Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya. Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada...
  10. M

    Shida ni akili ndogo za madereva au ni maisha magumu yanachangia hizi ajari

    Leo asubuhi nikiwa njiani nimeona ajali Moja eneo la ilula na nikiwa nimetulia napitia mitandao nimekutana na picha za ajali Ile. Ukiangalia Ile ajali Ile fuso ilikuwa imeharibika , na jamaa wa fuso walikuwa waungwana wameweka alama zote muhimu barabarani kujua huko mbele unaenda kukutana na...
  11. James Hadley Chase

    Maisha yananikatisha tamaa sana

    Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia. Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini...
  12. C

    Maisha yamejaa huzuni kuu, nini kinaleta furaha maishani?

    Habari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira? Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu. Wakati...
  13. peno hasegawa

    Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

    Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka. Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni. UPDATES: Habari hii imekanishwa. Zaidi soma...
  14. M

    Ukishindwa kwa sababu zako usiaminishe watu kuwa mambo ni magumu na yasiyowezekana

    Harakati ni ngumu ila sio kama wanavyotia chumvi wakata tamaa. Kuna mtu ukimpa sikio lako utaona mambo ni magumu sana maana kila kitu atakueleza kwa namna isiyowezekana. Wasikilize kwa akili kubwa sana wakata tamaa kwa sababu hawamini tena kwenye uwezekano bali ugumu kwenye kila jambo...
  15. Cathylin 2002

    Kadri siku zinaenda naona maisha yatakuwa magumu sana

    Habari za jioni Watanzania Poleni na mihangaiko ya maisha Basi baada ya kupata vijihela kwenye Forex. Nikawa najiuliza Kwann US Dollar inazidi kuwa na nguvu au thamani San dhidi ya shillings? Kadri siku zinaenda naona maisha yatakuwa magumu sana Nin kifanyike?
  16. Kazanazo

    Hali mtaani ni mbaya sana cha ajabu viongozi wapo kimya kama hawaoni

    Ni siku nyingine tena, nawasalimu Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini? Wanawake wanadhalilika sana wengine kwa kupenda wengine kwa kutokupenda. Wanawake ndio kioo cha maadili, hali ya...
  17. FK21

    Njoo ufunguke kitu kinachokupa wakati mgumu

    Habari za mchana marafiki zangu wa Faida njoo UFUNGUKE Ka Kero kanakokupa WAKATI MGUMU katika harakati zako za kila siku Mimi kwakweli Nina KINYAA SANA mwepesi mno kutapika sasa kitu kinachonipa WAKATI MGUMU nikawa harakati njaa ikauma nikaona nitafute genge au mgahawa nikikuta wahudumu na...
  18. Robidinyo

    Uliishi maisha gani baada ya kupoteza Kazi au Biashara?

    Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana, hatari ogopa. Jamaa...
  19. Beberu

    Uaminifu mdogo chanzo cha maisha magumu na umaskini kwa watanzania

    Salamu bongo ? Pita hivi rafiki wew 😂 Karibuni tena kwenye ulimwengu wa kibepari, ulimwengu wa BEBERU, Ipo hivi ndugu zangu, katika nchi yetu ya Tz, ukiacha sababu zilizo nje ya uwezo wetu kama siasa, na vitu ka hivyo ila sababu kuu ya kwanini waTz wengi hatuendelei ni kukosekana kwa UAMINIFU...
  20. F

    Misafara ya Makonda ya gharama kubwa wakati Watanzania maisha magumu ni unyama kwa maskini. Isitishwe!

    Uzembe mkubwa na kutowajibika kwa wananchi ndio chama cha mapinduzi CCM. Tumeona magari ya kifahari angalau 13 yakiteketea siku moja tu ya jana. Haya magari ya serikali yanatumika kwenye msafara wa CCM, nani kuruhusu hilo? Billioni zaidi ya 3 zilizoteketea katika ajali ya kizembe ya Makonda na...
Back
Top Bottom