Ni yupi aliyebakiza kumbukumbu ya kudumu katika suala la mahusiano?

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,634
4,519
Katika suala zima la mahusiano na mapenzi watu wanatofautiana. Tofauti hizi huacha kumbukumbu nzuri za kudumu na wakati mwingine majuto ya kudumu.

Binafsi nishakutana na wengi. Yupo anayeongoza kwa usafi wa mwili. Yupo mtoto wa kindendeule aliyempindua mtoto wa kifipa kwa uzungushaji wa nyonga kitandani. Yupo mtoto wa kizaramu niliyekuwa namfumania kila siku, bila kusahau mtoto wa kikaguru nilipokutana na the tightest machine.

Alikuwepo huyu Mnyiramba wangu ngumi mkononi. Kila mmoja ana kumbukumbu yake. Hebu tusaidiane kujikumbusha machungu na raha za mahusiano.
 
ukifikia hatua fulani ya kimaisha wanawake wameshakusumbua sana mpaka unawasahau hata majina au wengine unasahau kama hata umeshawatongoza
 
Hakuna mwanaume anae anzisha mahusiano na mwanamke kwa lengo la kumchezea bali tabia ya mwanamke ndio hubadili lengo
 
Back
Top Bottom