Habarii wana JamiiForums, hope mpo poa. Nadhani wote tupo nyumbani mida hii maana weekend imeanza mapema kutokana na sikukuu za nane nane kushukia hapa hebu nisiwachoshe twende moja kwa moja kwenye mada
Hivi kwanini inakuwa shida watu wenye ulemavu kuingia kwenye mahusiano, iwe mvulana iwe msichana lazima kuna kuwa na ugumu fulani yaani unaweza kuta mtu anamtokea mwanamke fulani awe mwanaume anamtongoza mwanamke fulani lakini akijua tu ni mlemavu lazima aache kitu kinachopelekea kupungua kwa confidence kwa watu wenye ulemavu
Katika maisha NGONO ni kitu muhimu sana kwa binadamu ili aweze kufanya kazi vizuri na kujituma NGONO ina mchango mkubwa sana kiuchumi na kijamii japo hili watu huwa hawaliongei sana
Kuna athari kubwa sana kiafya na kisaikolojia kuishi muda mrefu bila kufanya NGONO sasa basi naomba michango yenu
Kwanini imekuwa ni ngumu kwa watu wenye ulemavu kuwa na mahusiano ya kimapenzi?
Nini hasa kifanyike ili kusababisha kundi hili lionekane ni la kawaida katika jamii?