Mahusiano mengi kwa sasa ni 'fake'

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,323
40,173
Usipokuwa makini unaweza kuhisi unapendwa kutoka moyoni, kumbe kinachopendwa hapo ni uwezo wako wa kugharamia mahitaji (pesa) kwa sasa. Unaweza kupewa sifa zote, kumbe zote ni kalaghabao ngoja pesa iishe ndio utagundua ukweli. Kutokana na ugumu au changamoto za maisha, wengi wamejikuta wapo kwenye mahusiano batili, ila upande mwingine usionufaika kwa 100% ukiamini ni mapenzi ya kweli; ila pale uchumi unapoyumba ndipo ukweli upatikana, wahusika kugundua walikuwa kwenye mahusiano ya kuigiza.

Muhimu kujua, maisha ya uhusiano si kuchomeka na kutoa tu bali pia kuvumiliana pale penye changamoto za kila aina, uchumi kuyumba, afya kutetereka n.k
 
Inawezekana ni kweli lkn sasa hv mapenzi ya kweli hakuna na hii ina apply kwenye pande zote mbili ke na me.

Unaweza kabisa kumpenda mtu kwa dhati, ukamthamini na kumuheshimu pia, usimuombe hela na uko unafanya shughuli zako za kuingiza kipato chako, ukimshauri na kumtia moyo lkn kumbe mwenzio anakuchukulia kina one night stand! Anakuona fala flani hv, anakuona boya mmoja usiyejielewa! Its real real hurts!

I think now ni bora kujipenda mwenyewe na mahusiano yawe kama bonus track. Usiwaze au kutegemea kuwa na mahusiano hai, utaumia sana
 
kweli kabisa yaani ukweli mtupu
 
Kujipenda mwenyewe ni muhimu zaidi ila kutokana na asili unajikuta lazima umuhitaji mwenzako
 
Inawezekana ni kweli lkn sasa hv mapenzi ya kweli hakuna na hii ina apply kwenye pande zote mbili ke na me.

Unaweza kabisa kumpenda mtu kwa dhati, ukamthamini na kumuheshimu pia, usimuombe hela na uko unafanya shughuli zako za kuingiza kipato chako, ukimshauri na kumtia moyo lkn kumbe mwenzio anakuchukulia kina one night stand! Anakuona fala flani hv, anakuona boya mmoja usiyejielewa! Its real real hurts!

I think now ni bora kujipenda mwenyewe na mahusiano yawe kama bonus track. Usiwaze au kutegemea kuwa na mahusiano hai, utaumia sana
Mlalamikaji...

Unapendeka lakini....maana ukitaka kupendwa lazima nawe ujiweke sawa ili upendeke.
 
Inawezekana ni kweli lkn sasa hv mapenzi ya kweli hakuna na hii ina apply kwenye pande zote mbili ke na me.

Unaweza kabisa kumpenda mtu kwa dhati, ukamthamini na kumuheshimu pia, usimuombe hela na uko unafanya shughuli zako za kuingiza kipato chako, ukimshauri na kumtia moyo lkn kumbe mwenzio anakuchukulia kina one night stand! Anakuona fala flani hv, anakuona boya mmoja usiyejielewa! Its real real hurts!

I think now ni bora kujipenda mwenyewe na mahusiano yawe kama bonus track. Usiwaze au kutegemea kuwa na mahusiano hai, utaumia sana
Morogoro tunaenda lini ?
 
Back
Top Bottom