mahusiano

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza akanikatalia sasa hivi anataka niwe natembea naye kila sehemu

    Wakuu humu ndan nna swali langu. Kuna manzi nilimtongoza mda flan kipindi tuko chuon akanichomolea akaniambia kuwa ana mtu tayar ss nikamute kwa muda ikatokea wakat huu tupo field wote tumeenda sehemu moja yaan anataka kila nikiwa natoka home kwenda kule ofisini anataka tuwe tunatembea wote...
  2. JamiiForums Tanzania Siri ya kudumu kwenye mahusiano

    Wakuu, nawatakieni amani na furaha mioyoni mwenu. Leo nina mada fupi tu kwa wote ambayo naomba tujadili. Katika mahusiano ya mapenzi, hasa kwenye ndoa, kuna tofauti kubwa sana kati ya nini atakacho mwanamume na nini atakacho mwanamke. 1. Kwako mwanamke- Elewa kwamba heshima (respect) pekee...
  3. JamiiForums Tanzania Nimempenda mfanyakazi mwenzangu lakini sheria za ofisi zinazuia mahusiano kazini. Nifanyaje na vyote navitaka?

    Natamani kumfungukia huyu binti lakini nakwama. Nimechanganyikiwa sana nifanye nini?! Je, nifuate moyo wangu na kudate na mfanyakazi mwenzangu au nimpoteze na kubaki bila furaha hapa kazini?
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri: Epuka kufanya haya kwenye uhusiano wako

    Katika harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakuondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa. Si lazima awe amekufanyia kitu, lakini inaweza kuwa ni ulevi wako tu unaosababisha ufanye mambo...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna tatizo very serious kuhusu hiki tunachokiita mahusiano hasa ya ndoa, tumekosea wapi? Nini kifanyike?

    Wanajukwaa Mimi binafsi ni mfuatiliaji mzuri wa mambo mengi tu, mpaka nimeleta Uzi huu nimejiridhisha kuna tatizo sehemu au kuna kitu sisi binadamu au niseme Watanzania kuna sehemu tumekosea, sitaki kuhusisha dini labda Mungu tu ndio tumuhusishe. Katika utafiti wangu usiyo rasmi nimeshuhudia...
  6. JamiiForums Tanzania Yupi anayeharibu mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamme na mwanamke?

    Je, yupi anayeharibu mahusiano & ndoa kati ya Mwanaume na Mwanamke?
  7. JamiiForums Tanzania Tulivyoachana aliniambia mtoto siyo wa kwangu, ameachwa tena anataka nimrudie

    TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE. Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie. "Nilikuwa na mpenzi wangu nilikuwa naishi nae ingawa tulikuwa bado hatujaoana ila tulikuwa tunaishi pamoja kama...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mahusiano gani ya moto na hili balloon?

    Katika vitu ninavyovishangaa katika vyombo vya usafiri ni pamoja na hili puto (ballon)kupaa kwa kutumia moto. Hivi huu moto unapowashwa ni ule moshi wake unajaza hewa mle ndani au kuna kitu kingine zaidi kinatumika hapo tunapigwa chenga la macho na hawa waliokibuni kwa kuwasha moto. Je, hivi...
  9. JamiiForums Tanzania Mahusiano mengi yanavunjika kwa sababu wanawake wanahisi wao peke yao ndo wanahitaji furaha

    KIBIOLOJIA Mahusiano Mengi Yanavunjika Kwa Sababu Wanawake Wanahisi Wao Peke Yao Ndo Wanahitaji Furaha. Lakini wanawake wengi wana amni wao ndo wanasitahili furah kuliko mwanaume na akiikosa furaha mwanamke mwanaume unaonekana hufai kabisa na mwanaume anaonekana haumjali. Kiasili wanawake ni...
  10. JamiiForums Tanzania Mahusiano kati ya namba ya NIDA na mfumo wa ajira yakoje? Dogo kazinguliwa ajira mpya, naomba ushauri wenu

    Dogo ni mwalimu idara ya msingi, Majina yake ya vyeti vyote ni MARIAM ELIAS (mfano) Majina ya Nida ni MARIAM ELIAS MMASA. Wakati wa kuomba ajira Tamisemi details zilikubali vizuri kabisa na mimi ndiye nilimuombea. Selection zimetoka kachaguliwa lakini halmashauri wanamiweka kwenye mfumo...
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Madhara ya kupenda kupita kiasi katika mahusiano

    Mauaji mengi ambayo yanatokea katika jamii zetu yanatokana na wivu wa mapenzi; na wivu wa mapenzi unaweza kusababishwa na kutokuaminiana katika mahusiano au usaliti miongoni mwa wapenzi au wanandoa. Ni nini maana ya Kupenda katika mahusiano ya kimapenzi au ndoa? kumpenda mtu maana yake ni...
  12. JamiiForums Tanzania Ubabe na msimamo unayo faida kubwa kwenye ndoa na mahusiano

    Sabato njema! Kutokana na vilio vingi humu prakatatumba ikabidi niingie chimbo nifanye research ya haya mahusiano, maana watu wanachezea vitasa tu na vilio kila pande, wengine wanadiriki kujiua au kuwaza kunywa sumu kisa mapenzi. Mimi nimeshadumu kwenye mahusiano kwa masaa mawili tu miaka...
  13. JamiiForums Tanzania Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

    Habar wakuu, Huyu mwanamke amejiajiri Ni fundi cherehani, ana miaka 27 hajaolewa na anaishi mwenyewe na mtoto wake mmoja wa kike. Tulikutana vipi? Kwenye fremu wanakoshonea nguo na wanawake wenzie, jumla Kama watano hivi. MKE Wangu alishonesha sare za chama kipindi kile Cha mwanzoni mwa...
  14. JamiiForums Tanzania From the legends to the youngs. Hizi ndio kanuni za mahusiano

    Huu ushauri wa ma legends kwenda kwa madogo kwenye game ya mapenzi na wanawake. Legend yeyote anaruhusiwa kutoa ushauri kwa hawa madogo wanauouana na kufa kila day sababu ya mapenzi. We legends we admit. Mapenzi yanauma sio siri. But legends have solutions for every thing. Uzoefu ni mwalimu...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Wanawake: Zijue dalili za Mwenza anayeweza kukuua katika Mahusiano, tafakari mahusiano yako na Uchukue Hatua

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, takriban wanawake na wasichana 47,000 duniani kote waliuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine mwaka 2020. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, mwanamke au msichana huuawa na mtu katika familia yake...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano gani kunyimwa unyumba kama hujatoa hela ya huduma kwa mwanamke?

    Hapa nazungumzia wapenzi ambao wapo kwenye mahusiano ya ndoa au uchumba. Hii mada haiwahusu wanawake wanaojiuza. Unakuta mwanamke unamuhudumia vizuri na Hela unampa kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Ila kama mjuavyo siku hazifanani, ikitokea anahitaji lake la Hela na ukute muda huo huna...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Wengi watapigwa na butwaa kwanini natamani elimu ya mahusiano itolewe mashuleni tena mahusiano ya kimapenzi. Nitabaki kusimamia kwamba elimu ya mahusiano ya kimapenzi itolewe mashuleni, ikiwezekana kama somo la lazima kuanzia ngazi ya elimu ya msingi mpaka elimu ya sekondari. Elimu inatakiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanamke akikupenda na ukamkatalia kuwa nae kwenye mahusiano anakuchukia na kukuchukulia kama adui yake wa wazi.!?

    Salaaaaaaam.! Hii imekaaje wakuu.! Mwanamke akikutaka kwa kukushawishi au kukutongoza kabisa ila ukamkatalia kuwa nae hata kwa njia za kistaarab na kiuungwana lazima ajenge chuki juu yako.!?
  19. JamiiForums Tanzania Nguvu inayomsukuma mwanamke kwenye mahusiano, ni umasikini

    Nguvu inayomsukuma mwanamke, kuingia kwenye mahusiano, kwa asilimia kubwa huwa ni umasikini. Wengi wanaingia kwenye mahusiano, ili kupata uhakika wa kula, kuvaa, kumiliki majengo, magari, kumiliki miradi, kupanda vyeo n.k Hawaingii kwenye mahusiano, kwa sababu ya mapenzi ya kutoka moyoni; ndio...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ni mvivu sana

    Habarini Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sana na akija kwangu hata kama akikuta mazingira sio rafiki wala hajishugulishi kusafisha kupika mpaka umwambie tangu tumejuana kapika kama mara 3 hivi ndani ya miezi mi 5, kufua ndio hajawahi. Na nilikua nimepanga mwakani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…