mahusiano

  1. JamiiForums Tanzania Nataka kuwa na mahusiano na mwanamke wa miaka kuanzia 27 Hadi 30+

    Mimi ni kijana Niko mbeya natamani tu kuwa na mwanamke wa miaka iyoo maana Hawa wa 2000 mbona kama pasua kichwa sana, na mimi nna miaka 28, kama upo interested DM, uwe vyovyote Ile usiwe mnene, kama love wa jua Kali,,, ukiwa Black 🖤 utakua vizuri maana weupe ndo sawa na wale wale wa 2000, 😔😔😔😔😔
  2. JamiiForums Tanzania Hamu ya mahusiano imekatishwa na utandawazi!

    Zamani miaka ya 2005 kurudi nyuma mapenzi yakikuwa na mvuto sana. Ie kulikuwa na commitment ya mahusiano baina ya wapendanao na hata mmoja akisafiri kwenda mkoa mwingine still wapenzi walivumiliana! Saivi mapenzi yamekuwa rahisi sana, mnakutana leo then naomba namba yako kesho mmeshakulana 😂😂😂...
  3. JamiiForums Tanzania Unafikiri cheating ndiyo mwisho wa mahusiano. Ukweli ni kwamba kuna vitu vinaua mapenzi taratibu kuliko cheating

    Cheating ni kosa kubwa, lakini si sababu pekee inayovunja mahusiano. Mara nyingi mahusiano hufa polepole kutokana na tabia zinazojirudia kila siku bila watu kuzitambua. Upendo hauondoki kwa siku moja—hupungua hatua kwa hatua. Mawasiliano yanapokosekana, heshima inapopungua, kuthaminiana...
  4. JamiiForums Tanzania Ananiambia kuna vitu namfanyia ambavyo hajawai fanyiwa tangu aanze mahusiano

    Wakubwa hamkosei......... Aisee ee bana hapa juzi kati nilipewa miadi na shemeji yenu. Mtoto alikuja mpaka ghetoni kwangu bila choyo. Kifuatacho nilijipigia mbususu kama baba yangu Rickboy. Yaani Ilikuwa ni bandika bandua. Baada ya nginja nginja tulioga pamoja na kuachana. Yaani tangu siku hiyo...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mahusiano Yasipoteze Ramani ya Maisha Yako.

    Salaam to everyone, Its my hopes that wote mna weekend njema. Kuna jambo limekuwa likinitafakarisha sana hivi karibuni kuhusu namna sisi vijana wa kiume tunavyoendesha mahusiano yetu ya kimapenzi. Well, kuwa kwenye mahusiano sio kitu kibaya na hata kumpenda mtu kimapenzi sio kitu kibaya...
  6. JamiiForums Tanzania Kwenye mahusiano haulipwi ambacho unastahili, unalipwa ambacho umekubaliana nacho.

    When it comes to relationship you don't get the woman you deserve. You get the woman you earn. Twende sasa. Wanaume wema, waelewa, wenye mioyo mizuri, nia njema na wanaoona uzuri tu kwa watu(nice guys). Mara nyingi wanaishia ku-settle na damaged women. Kweli au uongo? Kweli Je wanastahili...
  7. JamiiForums Tanzania Je ni kweli mwanaume anatakiwa kumzidi mwanamke vitu hivi ili mahusiano yadumu?

    Wasalaam wakuu Kuna hili jambo nimelisikia kwa muda sasa kuwa ili mwanamke amtii mwanaume kwenye mahusiano; iwe ni urafiki wa mwanzo,uchumba ama ndoa inabidi mwanaume amzidi mwanamke hivi vitu;- UMRI PESA ELIMU/AKILI
  8. JamiiForums Tanzania Wadada wa kichaga acheni usela kwenye mapenzi

    Ciao.! Tushakubali kuwa hamko romantic ila punguzeni usela kwenye mapenzi. Yan ukiwa na pisi ya kichaga inakuchanganya mpaka unashindwa kuelewa wewe ni mshikaji wake, kaka yake au mpenzi wake. Pisi ya kichaga kukuita "oi" ni kawaida sana au text inaingia ukifungua unakuta imeandika "vipi man"...
  9. JamiiForums Tanzania Mahusiano ya wazi ni dhana nzuri?

    Kuna hii kitu inaitwa open relationship, yaani unakua na mtu wako ( tuseme mke au girlfriend) lakini anaruhusiwa kudinywa na mtu mwingine, vivyo hivyo wewe mwanaume unaweza kudinya demu mwingine! Is it not good idea. Tuseme mkeo hapati mimba kwanini tuonane wivu? At the end of the day hakuna...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Huu mkasa nilishuhudia; mahusiano na hekaheka zake

    Wasalaam; Miaka hiyo nikiwa mwaka wa pili chuoni. Dada ambaye tulikuwa naye kwenye group moja akanitumia meseji ni sms haya mambo ya whatsapp hayakuwepo). Meseji fupi tu ''njoo hapa room kwangu, uje na Eddy''. Kwa kuwa alikuwa kama dada kwangu na vile tulikuwa kwenye group moja la assigmnet...
  11. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuhukumu wanawake kutanguliza kigezo cha pesa na status zaidi katika kutafuta mahusiano mapya?

  12. R

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani

    🚨 BREAKING: WE WON TODAY! 🚨 TAUSI LIKOLOLA: We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice. The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now advances forward. This moment...
  13. JamiiForums Tanzania Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani...🙏🏻🙏

    🚨 BREAKING NEWS: WE WON TODAY! 🚨 Na Tausi Likokola, Washington DC - USA We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice. The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now...
  14. JamiiForums Tanzania Kauli mbiu yangu ya sasa kwenye mahusiano

    ''Ng'ombe asiyekupatia maziwa, usimpe majani'' Kazi kwenu mabaharia.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano Gani ya kuchukia kelele na umri kwa Wanaume?

    Moja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda. Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi...
  16. JamiiForums Tanzania Fanya yote ila usiwe na mahusiano na mfanyakazi mwenzako kazini

    Wakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu. Sasa twende kwenye mkasa nimeshuhudia watu walio kuwa na mahusiano kazini kwa takribani mwaka na nusu hivi. Picha lina anza walipo anza ugomvi sisi kama wana taasisi tunajulishwa ni kama vile swala la familia lina hamia kazini basi valuvalu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ipi inaweza kuwa tofauti nzuri ya umri kati ya mume na mke kwenye ndoa au mahusiano

    Ipi inaweza kuwa kuwa sahihi mwanaume anapotafta mke , je amzidi umri wa miaka mingapi, ,mwanamke na mwanaume wakiwa na umri SAWA au mwanaume akawa na umri mdogo kwa mwanamke inaonyesha panapatikana changamoto sana , Kwa mujibu wa dini yangu ya kikristo umri unaoshauriwa ni mume amzidi mke...
  18. JamiiForums Tanzania Je, malezi ya "Watu watasemaje" yameharibu mahusiano ya kizazi hiki?

    Kadiri ninavyowachunguza watu na mahusiano yao, ndivyo ninavyozidi kuamini kuwa moja ya matatizo makubwa tuliyorithi kutoka kwa wazazi wetu ni utamaduni wa kuishi kwa ajili ya maoni ya wengine. Wazazi wengi walilelewa katika mazingira ambayo heshima ilipimwa kwa namna jamii ilivyokuona. Matokeo...
  19. JamiiForums Tanzania Waafrika na mahusiano tofauti na dunia nzima!

    sijawahi kukutana na waafrika mwanaume na girlfriend wake au mke wake wawili tu wakisafiri pamoja, ila nimeshakutana na wahindi akiwa na mke wake au girfriend wakisafiri, wazungu ni kama kawaida, nimeshaona wachina mwanaume akiwa na demu wake tu safarini, hata arabs wa gulfs nimeshakutana nao...
  20. JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Leo nimetua mzigo mzito wa mahusiano

    Wasalaam Hii ni story ya kweli ambayo imetokea kwenye maisha yangu napenda nishare nanyi kisa hiki kifupi ili tujifunze na tuburudike. Mnamo mwaka 2019 nilimaliza elimu ya digrii katika chuo maarufu hapa daslam. Kutokana na hurka yangu ya kupenda kujumuika na watoto kwenye mambo mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…