mahari

Mahari is a ritualistic dance form from the eastern Indian state of Odisha that used to be performed at the temple of Lord Jagannatha at Puri by devadasi dancers called maharis. Following the abolition of the devadasi system, the dance has been discontinued at the Jagannatha Temple but is now performed on stage at many venues. The Mahari dance spurred the development of both Odissi and the Gotipua dance forms of Odisha. The Maharis have been among the foremost exponents of both traditional Odia dance and Odissi music.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mahari ifutwe?

    Habari! Hii mada imejadiliwa mara nyingi na sehemu nyingi. Je, mahari inayotolewa ili kijana aozeshwe ifutwe? Kama ifutwe toa sababu, kama uendelee toa sababu.
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Warudisha mahari ili kunusuru watoto wao

    MTENDAJI wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Selemani Kibakaya, amesema wazazi wawili waliowaoza binti zao wenye umri wa miaka 14, wamekubali kurejesha fedha na mifugo waliyopokea kama mahari na kurudi na watoto wao nyumbani baada kugundua kuwa watoto wamekuwa wakiteseka...
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Baba yangu wa kike anataka kuniozesha ili kurudisha mahari yake

    Habari wanaJamiiForums, habari watanzania wenzangu. Naitwa suzana, kama mwandishi wa habari wa kujitegemea nimepata Fursa ya kuonana na kuzungumza na binti mmoja, muhanga wa mila potofu (nyumba ntobhu) ambaye amenisimulia mkasa wake. Hivyo nami nauleta kwenu kwani kuna mambo ya kujifunza...
  4. Poker

    JamiiForums Tanzania Ni haki kweli kumlipia mpenzi wako mahari ng'ombe 40?

    Nina mshkaji wangu, homeboy wangu kabisa ana mpenzi wake ambaye wamedumu naye kwenye mahusiano kwa takribani miaka 2. Mwana akaamua ampeleke mtoto kwa wazazi wake huko Tanga kwanjeka. Wazazi wa mwana wakamwelewa na kumkubali huyo demu kiroho safi, sasa ikawa zamu ya demu kwao ni Simiyu maeneo...
  5. Chabrosy

    JamiiForums Tanzania Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

    Habari wana jamvi! Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa kiume wakati tunaoana mwaka 2002, jumla ukijumlisha tuna watoto 7. Kiukweli huyo kijana mtoto wa...
  6. nyehura

    JamiiForums Tanzania Mahari ya Fahyma Yaongezeka, Mashabiki Wake Wamjia Juu kwa Kumchana Makavu

    Fahyma au Fahyvanny ni mwanamitindo na sosholaiti maarufu nchini Tanzania ambaye kwa mara nyingine ameibua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudai kwamba uzuri wake umeongezeka maradufu hivyo mahari imeongezeka kwa mwanaume yeyote mwenye mpango wa kumchumbia. Fahyvanny ambaye wengi...
  7. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Bora kumchangia mtu Mahari au harusi?

    Sio vizuri kuomba omba kwa mambo uliyoyapanga mwenyewe tena na tarehe unaijua ya tukio Ni wajibu kuchangia matatizo kama misiba, magonjwa ajali nk...kwa sababu hakuna mtu anapanga au hujiombea hayo japo yapo kwa kujitakia Lakini kawaida watu husema huwa sheria...tuna desturi ya kuchangia mambo...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ashinda kesi ya kurudishiwa mahari baada ya kutalikiana na mkewe

    Wilberforce Murunga, 52, ameshinda kesi Mahakamani dhidi ya waliokuwa mashemeji zake ya kutaka arudishwe mahari ya pesa na mali alizotoa kwa ajili ya kumuoa Irine Mitekho Khaoya katika ndoa ambayo ilidumu kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. Murunga alilipa mahari, KSh 50,000, mifugo, viatu vya...
  9. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Ni zipi faida za kutoa mahari?

    Habari za jioni wapendwa katika bwana. Jamii nyingi za Kiafrika wanao utaratibu wa mwanaume kutoa mahari ili aweze kumuoa binti. Baadhi ya watu husema mahari ni kama shukurani kwa wazazi wa mke, je hawa wazazi wamume ambao wamezaa kichwa cha familia mbona hawapewi shukurani? Naomba...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Unataka kuoa? Usitapeliwe, hii ndio kanuni rasmi ya kukokotoa mahari unayotakiwa kulipa

  11. J

    JamiiForums Tanzania Katiba zibadilishwe, Watoto wanahitaji uhuru wa maamuzi yao, mahari inatumika kuwafanya watumwa

    Kila mwaka Juni 16 huwa ni siku ya kukumbuka watoto waliouawa katika Kitongoji cha Soweto, Nchini Afrika Kusini wakati wakiandamana kupinga ubaguzi wa rangi uliokuwa ukiendeshwa na utawala wa wakati huo wa Makaburu. Mauaji yalifanyika mwaka 1976 wakati watoto hao waliokuwa wakidai haki ya...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyeachwa au mjane, Je! akiolewa tena anatolewa Mahari?

    Kwa Washenga au Kungwi? Nafahamu wapo Wanawake waliopewa Talaka au wajane humu tunapoishi, napia kuachwa sio dhambi tafsiri nyepesi Talaka ni seal au lakiri inayofungia ndoa, kwa lugha utangazaji wangesema "usichike kidude" Narudi kwenye swali. Mwanamke aliyekwenye kipengele hicho Talaka au...
  13. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyomuoa mke wangu

    Back then na uhuni wangu full kubadirisha mboga Kuna huyo mdada nilimchukulia poa saaana yani japo yeye alitokea kunipenda na kujitunza kwa ajiri yangu kwa maelezo yake. Basi nilikua Sina hata idea ya kuja kumla ila nilitongoza tu bahati mbaya akanikubalia muhuni wa watu mtoto wa baba mchungaji...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Napeleka Mahari Missenyi, Kagera!

    Nimepata mchumba toka Missenyi, Kagera. Na kesho naanza safari kuelekea huko. Maombi yenu! Japo Shemeji zangu inaonekana Mashauzi Sana. Napewa yote
  15. GANG MO

    JamiiForums Tanzania Nimepeleka mahari unyamwezini

    Wadau heri ya Christmas. Last week nimejifungasha toka Iringa mpaka Tabora wilaya ya nzega kumuoa binti ambaye nimempenda sana. Nilifurahia sana namna walivyotupokea na namna mchakato ulivyofanyika fasta bila complication nyingi. Kwanza mfumo wa upokeaji mahari wa hawa jamaa ulinishangaza...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na Mwanamke niliyemtolea mahari

    Mimi ni kijana umri Miaka 28. Naishi Dar es Salaam. Baada ya kupata shauku kuoa niliamua kusafiri na kurudi kijijini kwetu ambako wazazi wanaishi. Nilifanya uchunguzi kwa binti kadhaa waliokuwepo kijijini. Kutokana na Mimi kutokuwepo kijijini kwa Muda mrefu ilikuwa ngumu kujua yupi ni mtu...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Mwanafunzi aozwa kwa Mahari ya Tsh. 330,000 na Nguruwe mmoja

    MKAZI wa Kitongoji cha Mabatini, wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Kennedy Fumpa (37), amekamatwa kwa tuhuma za kumuoa mwanafunzi wa darasa la tatu baada ya kulipa mahari ya Sh. 330,000 pamoja na nguruwe mmoja. Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 11 (jina linahifadhiwa), alikuwa darasa la tatu na...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mahari ndio chanzo watu kashindwa kuoana

    kiukweli ili jamo kwa utanda wazi linaleta mambo magumu. mahali za kimila na pande mbili kutaka kujuana ndio chimbuko la matatizo. unakuta wazazi ni watanzania na mtoto ni china. ila kwa akili zetu zilivo jinga wazazi wanataka kwenda china kutoa mahali. vijana wengi kizazi hiki tuanze nchi...
  19. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Mahari laki 2 ipo tayari, anaehitaji kuolewa ajitokeze

    Hio hela iko fixed, nahitaji mwanamke mwenye akili timamu tuanze maisha kabla mwaka haujaisha. Umri ule ule wa kiserikali, top iwe 30. Mimi ni mkazi wa jiji la miamba, mvuvi wa samaki aina ya sato na sangala. Elimu yangu ya kuokoteza, ila najitambua na akili timamu Mahari ipo tayari narudia...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Video: Aoa kwa mahari ya shilingi elfu mbili

Back
Top Bottom