Video: Aoa kwa mahari ya shilingi elfu mbili

Kuna ex wangu alitaka mahari yake million 30 nilimwabia babe jinsi ninavyo kupenda hata million 50 sawa tu.

Nikala mbususu akaweka msemo kwenye status ya WhatsApp kama soon anaolewa. Nikaipiga mbususu nikapotea hafla mpaka leo hajaolewa, ikiwa mahari makubwa harusi kubwa,maisha maisha atataka yawe makubwa.

Kwa mbususu gani aliokuwa nayo kwa mahari ya million 30.

Lunatic
 
Kwani Alikuwa anataka kwenda kuanzisha biashara gani ?
 
Mimi niliambiwa Mahari Laki moja.

Mshenga alivyoenda kulipa yote wazazi wa Binti wakakataa kupokea yote. Tuliambiwa Kimila kulipia mahari yote ni sawa tumeenda kumnunua Binti, hivyo hataruhusiwa kurudi tena kwao.

Mshenga ikabidi atoe elfu 80 tu, wakaipokea nikapewa Mke.
Hadi leo sijaenda kumalizia ile chenji na hawanidai.
 
Kuna ex wangu alitaka mahari yake million 30 nilimwabia babe jinsi ninavyo kupenda hata million 50 sawa tu.

Nikala mbususu akaweka msemo kwenye status ya WhatsApp kama soon anaolewa. Nikaipiga mbususu nikapotea hafla mpaka leo hajaolewa, ikiwa mahari makubwa harusi kubwa,maisha maisha atataka yawe makubwa.

Kwa mbususu gani aliokuwa nayo kwa mahari ya million 30.

Lunatic
Ghafla.
 
Back
Top Bottom