mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania Kombati aliyovaa Sugu mahakamani kwenye hukumu ya Mdude imetengenezwa na Sean John. Je, P Didy anaijua Chadema?

    Haya mambo wakati mwingine yanashangaza sana ! ngoja tuilete kwenu muithaminishe
  2. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mahakama imeahirisha kusoma hukumu ya Mdude Nyagali hadi Juni 28, 2021

    Kwa muda huu saa10:30 asubuhi msafara wa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe umewasili hapa katika viwanja vya Mahakama Kuu Mbeya kusikiliza hukumu ya mwanachama wao Mdude, ambaye alishitakiwa kwa makosa ya madawa ya kulevya, uhujumu uchumi nk Wafuasi wa CHADEMA wamewasili hapa tangu saa 2...
  3. JamiiForums Tanzania Kauli hii Moja tu ya Sabaya inatosha kabisa kumkamatisha Makonda na kuhojiwa na kisha kupelekwa Mahakamani

    Akinukuliwa na makamera, mlalamikaji ambae ni mfanyabiashara wa hoteli alisikika na akionekana kusema kuwa amejitoa Mhanga, yuko tayari kwa lolote. Alisema hivi,"Sabaya alinitaka nimpe milioni tano, na utaamua mwenyewe uiite rushwa au MAKONDA style". Mwisho wa kunukuu. Hii kauli ikitokea kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

    SABAYA FOR CHANGE (S4C) Another day, better than Yesterday. Katika simu na jumbe nyingi nilizopokea swali lililojirudia mara nyingi ni "Iwapo Sabaya anashtakiwa na Serikali, je nyinyi mliosimama kwa upande wa sabaya mmeamua kupambana na Serikali?" UFAFANUZI WA KWANZA: Well, Hatupambani na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Sabaya tusilipime kwa yeye kufikishwa Mahakamani

    Sabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka. Kumbukeni: Zimwi likujualo, halikuli likakwisha. Mwisho, tujiulize Sabaya aliyatenda haya bila kuwa na baraka za...
  6. JamiiForums Tanzania Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi. Bado haijafahamika mashitaka yanayomkabili ===== UPDATES: ===== Arusha. Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani...
  7. JamiiForums Tanzania Lindi: TAKUKURU yawafikisha Mahakamani Wafanyabiashara wa Nachingwea kwa Kuuza Viuatilifu visivyosajiliwa

    Mkuu wa TAKUKURU (M) LINDI Mhandisi Abnery J. Mganga akitoa taarifa kwa umma kuhusu kuwafikisha mahakamani wafanyabiashara watatu (3) ambao ni: 1. Bw. Abdallah Said Luyaya, Mfanyabiashara na mmiliki wa duka la pembejeo liitwalo LUYAYA KILIMO KWANZA lililopo Wilaya ya Nachingwea 2. Bw. Ismail...
  8. JamiiForums Tanzania Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

    Mei 13, 2021 Rais Samia Suluhu alimsimamisha Lengai Ole Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya na kuamuru uchunguzi dhidi yake. Zaidi soma - Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya Baada ya kusimamishwa kazi, iliripotiwa kuwa Ole Sabaya anapanga kutoroka nchini. Zaidi soma - Ole Sabaya apanga kutoroka...
  9. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Abdalah Bulembo kuishtaki TFF ya Karia mahakamani

    Bulembo,mzee mustaafu mwenye hekima zake ameapa kupeleka shauli mahakamani kuishtaki TFF ili iondoe kipengele cha lazima uwe na elimu ya Shahada ama degree ndipo uruhusiwe kugombea Urais na u makamo wa Rais wa TFF. "...kipengere hicho kinakiuka katiba na miongozo ya wenye mpira Duniani na...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama kuna watu waliitwa interview ajira za mahakamani

    Mwezi february tume ya mahakama ilitangaza ajira katika kada tofauti. Naomba kufahahamishwa kama kuna watu washaitwa interview.
  11. JamiiForums Tanzania Kesi ya urithi wa Marehemu Dkt. Mengi: Yaliyojiri Mahakamani

    MONDAY MAY 24 2021 Haijawahi kuwa rahisi kwa familia nyingi kumaliza mashauri ya mirathi kwa amani, hata pale inapotokea marehemu alionesha mgawanyo wa mali zake katika wosia aliouacha. Tafrani na hali ya kutoelewana huwa kubwa zaidi kama aliyefariki na kuacha ama kutoacha wosia alikuwa tajiri...
  12. JamiiForums Tanzania Tunasisitiza haki kutendeka kwa mashehe wa Kiislamu wa Uamsho kutoka Zanzibar

    TUNASISITIZA HAKI KUTENDEKA KWA MASHEHE WA KIISLAMU WA UAMSHO KUTOKA ZANZIBAR Tarehe 27 Februari 2021, nilikuwa miongoni mwa viongozi waliokuwa wamealikwa na ACT Wazalendo kuhudhuria Dua ya kumuombea Maalim Seif Sharif Hamad aliyekuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar aliyefariki hivi...
  13. JamiiForums Tanzania Kama kweli Sabaya ana hii hatia leo aburutwe Mahakamani

    Kama kweli alimteka na kumtesa kwa kipigo kikali Diwani wa Kata ya Sombetini, Bakari Msangi huko jijini Arusha basi alifanya kosa kubwa sana. Kwa mujibu wa tovuti ya Sauti Kubwa ni kuwa Bakari Msangi alienda kutoa msaada kwa vijana waliokuwa wamewekwa chini ya ulinzi na Sabaya na timu yake kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Mke wa Mugabe aitwa Mahakamani kwa tuhuma za kumzika Mumewe kinyume na utaratibu wa Kimila

    Mahakama ya Kitamaduni nchini Zimbabwe yamtaka Mke wa rais wa zamani wa Zimbabwe, Grace Mugabe kufika mahakamani hapo kwa tuhuma za kufanya mazishi “yasiyofaa” ya hayati Rais Robert Mugabe. Grace Mugabe anatuhumiwa kwa kuenda kinyume na utamaduni wa jamii yao kwa kumzika mume wake katika boma...
  15. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

    Nimesoma uteuzi wa Majaji uliofanywa na Mh Rais ,nimeelekeza Mawakili wangu waweke pingamizi mara moja la kuzuia kuapishwa kwa aliyekuwa DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu,hana sifa wala maadili ya kuwa mwamuzi wa haki za Watanzania,anastahili kuwa jela au jehanamu. Mytake : NI AIBU...
  16. JamiiForums Tanzania Je, asiye mwanasheria anaweza kumsaidia mtu asiyeweza kujieleza mahakamani na kumtetea?

    Naomba kuuliza, Kuna ndugu yangu yupo mahakamani hana uwezo wa kujieleza mbele ya mahakama, je mimi raia wa kawaida nisiye mwanasheria naweza nikamsaidia kumtetea na kumsaidia kwenye shughuli zake za kisheria? Kama ni ndio hii sheria ni mpya na imeanza lini ya kumruhusu mtu wa kawaida. Ahsanteni.
  17. JamiiForums Tanzania Masasi, Mtwara: Watu 11 Wafikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi na kuisababishia hasara Serikali ya zaidi ya Tsh. Milioni 13

    Na Hamisi Nasri, MASASI WATU 11 wa wakazi wa wilaya ya Masasi mkoani Mtwara wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Masasi mkoani humo kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia hasara serikali ya zaidi ya sh.13 milioni. Washtakiwa hao walifikishwa mahakamani na ofisi ya taifa ya mashtaka...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuendelea kuvaa wigs kwa majaji na maspika wa mabunge ya Kenya siyo ukoloni wa kujitakia?

    Wanangu hamjambo humu ugani? Leo nimeona bi mkubwa SSH alipohutubia mabunge ya Kenya maspika alikuwa wamevalia wigs. Je, kweli bado kuna haja ya waswahili kuvaa katani na kudai bado wako huru? Wanangu nisaidieni. Pia hata majaji wa Kenya huvaa wigs. Kipindi cha Dr Willy Mutunga yalipigwa chini...
  19. JamiiForums Tanzania Sakata la Anerlisa na Ben Pol: Anerlisa atishia kumburuza Ben Pol Mahakamani, Ben Pol aomba kukutana na Familia

    Mwanadada na mfanya biashara Anerlisa , ametishia kumchukulia hatua za kisheria aliyekuwa mume wake, Ben Pol kutokana na madai kuwa amekuwa akimchafua kwenye mitandao ya kijamii. Anerlisa amepanga kumfikisha mahakamani mwimbaji huyo iwapo ataendelea kumtaja au kumhusisha kwenye mazungumzo yake...
  20. JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuwaburuza Mahakamani Vigogo wa Halmashauri ya Shinyanga

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Shinyanga, inatarajia kuwafikisha mahakamani watumishi wa halmashauri, kwa tuhuma za kugushi nyaraka za manunuzi na matumizi mabaya ya mamlaka. Kaimu Kamanda wa TAKUKURU mkoani Shinyanga, Francis Luena, ametoa taarifa hiyo leo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…