mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. Mahakama ya Mwanzo ya Buguruni imevunja ndoa ya waliotengana kwa makubaliano ya kila mmoja aende kutafuta watoto

    Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya Wanandoa Raymond Kulaya (44) na Magreth Silaeli (37) waliotengana kwa miaka 10 baada ya kukubaliana kila Mtu akatafute Watoto ‘anapopajua’ baada ya kuishi miaka mitano bila kupata Mtoto, kwa sasa Magreth amepata Watoto wanne na Mwanaume mwingine...
  2. RC Chalamila: Hatuwezi kuzuia bajaji kutumia barabara Kuu Mbeya

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema hatozizuia bajaji kupita barabara kuu kwa kuwa na wao wanatafuta riziki za kutumia na familia zao. Machi 15, Asubuhi Madereva wa daladala zinayosafirisha abiria katikati ya Jiji la Mbeya, wameanza mgomo kushinikiza Serikali iziondoe Bajaji kwenye...
  3. Wahamiaji haramu toka Kenya watiwa mbaroni Tanzania

    Vyombo vya Kamati ya Usalama Wilaya ya Rombo vimewakamata wahamiaji haramu kutoka nchi jirani ya Kenya ambao wameingia Nchini bila kufuata utaratibu kwa maana ya hawakupitia boda iliyo rasmi na hawakuwa na nyaraka zozote za kiuhamiaji Wamekamatwa kupitia msako halali, na imeelezwa walikuwa watu...
  4. Mahakama yamwachia huru Halima Mdee

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuacha huru mbunge Viti Maalumu (asiyekuwa na chama), Halima James Alifukuzwa uanachama wa Chadema, yeye pamoja na wenzake 18, tarehe 27 Novemba mwaka jana. Alituhumiwa kwa makosa usaliti, ikiwamo kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi...
  5. Dada aeleza Mahakama utamu wake kitandani ulivyomuua mpenzi wake

    Dodoma. Mshtakiwa katika kesi ya mauaji ya mpenzi wake, Helena Sambo (52) ameieleza Mahakama Kuu Dodoma kuwa siku ya tukio walipeana penzi zito ambalo halijawahi kutokea tangu walipoanza uhusiano wa kimapenzi. Mshtakiwa huyo alisema hayo katika utetezi wake kwenye kesi ya mauaji namba 160/2017...
  6. Uzoefu wangu katika maisha; niliyoyaona katika Mahakama za Mwanzo yanatisha

    Wasalam, Leo nimependa kushare nanyi baadhi ya mambo ya kusikitisha yanayoendelea katika mahakama za mwanzo na si kwamba yanafanywa na mahakimu wote la hasha bali wachache wenye nia ovu. Naandika haya si kuwa nimesimuliwa hapana ila ni mambo yaliyonitokea miaka ya nyuma kipindi biashara yangu...
  7. K

    Mahakama Kuu ya Zanzibar ina umri gani?

    Wiki jana ilikuwa ni sherehe za miaka 100 ya Mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ukiangalia kiusahihi utaona kwamba hii ni miaka 100 ya Mahakama ya Tanzania Bara. Hii ni kwa sababu Zanzibar wana mahakama yao tofauti kabisa na hii iliyotimiza miaka 100. Nasikia Mahakama ya Zanzibar...
  8. Jaji Imani Aboud Achaguliwa Kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

    Jaji Imani D. Aboud ambaye ni jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aligombea nafasi ya kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Katia Mkutano wa 38 wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje ya Umoja wa Afrika, Jaji Imani amechaguliwa kuwa jaji kwa muhula wa pili wa miaka 6, ambapo...
  9. Hii hapa hukumu ya Kiswahili iliyotolewa na aliyekuwa Jaji wa Mahakama kuu ya Tanzania Mh. Galeba

    Nimeisoma hukumu hii na kwa maoni yangu JPM ametenda haki kumpandisha cheo. Aidha nitoe rai kwa vyuo vyetu vikuu vione namna ya kutambua mchango wa Jaji Galeba wafikirie kumpa Udaktari wa heshima.
  10. Bunge limevunja Katiba na kudharau Mahakama waziwazi

    Jana tarehe 1 Februari ilikuwa ni siku ya kuadhimisha miaka 100 ya Mahakama Tanzania. Rais Magufuli aliongea mengi sana lakini hakugusia kuhusu mwingiliano wa Mihimili hii 3: Bunge,Mahakama na Serikali. Nitaeleza. Leo Bunge la JMT limeanza kwa makosa 2 makubwa sana kama ifuatavyo: KUKIUKA...
  11. Rais Magufuli amuapisha Jaji Zephrine Galeba kuwa jaji wa mahakama ya Rufaa

    Jaji wa Mahakama Kuu wa Kanda ya Musoma, Zephrine Galeba alietuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufaa kutokana na kuandika Kiswahili katika moja ya hukumu alizowahi kuzitoa. Leo Rais Magufuli anamuapisha rasmi Dodoma, kuwa nami kukujuza yanayojiri. === 10:22 Asubuhi: Jaji Galeba anatia saini...
  12. J

    Rais Magufuli ampandisha cheo Jaji Zephrine Galeba aliyetoa hukumu kwa lugha ya Kiswahili kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa

    Rais Magufuli amefurahishwa na kitendo cha Jaji wa mkoa wa Mara mhe. Jaji Galeba kwa kuandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili badala ya Kiingereza kama ilivyozoeleka. Na kwa maana hiyo Rais Magufuli amemteua Jaji Galeba kuwa Jaji wa mahakama ya Rufaa kuanzia leo. Maendeleo hayana vyama! FUNGUA...
  13. Rais Magufuli ahudhuria maadhimisho ya miaka 100 ya mahakama kuu

    Rais John Magufuli amehudhuria maadhimisho ya miaka 10 ya Mahakama Kuu nchini. Magufuli amesema mahakama kuu ilianzishwa Januari 3, 1921 wakati Tanganyika ikiwa koloni la uingereza. Rais ametoa pole kwa watumishi wamahakama ambao wamefariki dunia. Pia Rais amesisitiza kwa somo la Historia...
  14. K

    Rais Magufuli na Jaji Mkuu Siku ya Sheria: Msongamano wa kesi Mahakama ya Rufani kikwazo cha kupata haki

    Siku ya sheria imekaribia na Rais Magufuli atahutubia na jaji Mkuu atahutubia. Hatujui Rais atasema nini lakini ni wazi hotuba ya Jaji Mkuu itasheheni historia ya Mahakama Kuu (High Court) kwa miaka hii 100. Hongera sana Mahakama Kuu. Hakuna majaji watenda haki kama Mahakama ya Rufani. Ukiwa...
  15. Hivi Mhimili wa Mahakama kipaumbele chenu kwa sasa ni kutafsiri lugha za sheria zenu na kuwa kwa Kiswahili?

    Katika nchi yetu kila mwaka huwa tunakuwa na wiki moja ambayo huwa tunaiita ni wiki ya sheria nchini, ambapo tumeianza rasmi tarehe 24/1/2021 na kilele chake kitakuwa tarehe 1/2/2021. Ninajua kumekuwa na juhudi kubwa sana toka kwenye mhimili mmoja ambao ni serikali "kuulazimisha"...
  16. 44 New Vacancies At TUME Ya Utumishi wa Mahakama, January 2021- (Various Posts)

    See the document below for more information
  17. D

    Serikali futeni Mahakama za Ardhi kwani zimejaa wapigaji. Kesi zote za Ardhi rudisheni Mahakama za kawaida ili zikamilike mapema

    Hii inchi jambo haliwi jambo hadi limfike mtu! Kwa mjibu wa sheria za Tanzania! Migogoro na kesi zimegawanywa kusikilizwa katika makundi tofauti ya mahakama! 1. Kesi za jinai, madai na uchumi zinasikilizwa MAHAKAMA ZA KAWAIDA 2. Kesi za kibiashara na uwekezaji zinasikilizwa na MAHAKAMA ZA...
  18. Asasi nne za kiraia zaishitaki Tanzania mahakama ya Afrika Mashariki kwa 'Ukiukwaji mkubwa' kutoka kwa polisi wake

    Asasi nne za kiraia zimeifikisha mahakamani Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa karibuni ambao ulimrudisha madarakani Rais John Pombe Magufuli. Taasisi kutoka Kenya na Uganda zinaishtaki Tanzania kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki, zikituhumu vyombo vya usalama...
  19. Wasomi jifunzeni kwa dada Mwasu, dereva wa bajaji msomi mwenye shahada mbili

    Tofauti na mawazo ya wengi kuwa ukisoma hadi chuo kikuu lazima uajiriwe, Mwasu Mavere ameonyesha upande mwingine wa shilingi, kwamba unaweza kujiajiri na kufanikiwa zaidi. Licha ya kuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), yeye ameamua kuwa dereva wa pikipiki ya miguu...
  20. Msaada wa kisheria; Ni muda gani unaruhusiwa mtu kukata rufaa kutoka Mahakama kuu kwenda Mahakama ya rufaa kwa kesi za madai?

    Ninawiwa kusaidiwa kujua ni muda upi kisheria ambao mtu aliyeshindwa kesi ya madai Mahakama Kuu-Ardhi atakuwa ndani ya muda kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaa. Swali langu linajengwa na case ground ifuatayo japo kwa ufupi sana. Mnamo mwaka 2014,Jamaa yangu Mjasiriamali aliomba na kupewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…