mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. JamiiForums Tanzania Mirathi ya Dk. Mengi: Mahakama ya Rufaa kutoa hukumu kesho tarehe 11.07.2022

    Mahakama ya Rufaa ya Tanzania iliyo na vikao Dar es Salaam, kesho tarehe 11.07.2022 itatoa hukumu juu ya uhalali au ubatili wa wosia ulioachwa na marehemu Dk. Mengi. Hukumu hiyo katika rufaa ya madai namba 332/01/2021 iliyofunguliwa na mjane wa Dk. Mengi, Jackline Mengi itasomwa na majaji watatu...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu imewaruhusu Halima Mdee na wenzake 18 kufungua kesi ya kupinga CHADEMA kuwavua uanachama

    #HABARI MAHAKAMA Kuu imewaruhusu wabunge 19 wa Viti Maalum kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)./bit.ly/3OUFVbx ========== Mahakama Kuu imewaruhusu waliokuwa wanachama wa CHADEMA, Halma Mdee na wenzake 18 kufungua shauri la kupinga uamuzi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mdee na wenzake, hawawezi amriwa na Mahakama warudishe mishahara na posho walizolipawa pasipo kustahili wakishindwa kesi?

    Iwapo kesi hii haitoingiliwa, na Mahakama ikawa huru, huku hukumu ikiwa ni Mdee na Wenzake hawakuwa wabunge halali. Je, Mdee na Wenzake, hawawezi kutakiwa na Mahakama kurudisha fedha za ubunge walizolipwa pasipo kustahili?
  4. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaahirisha kutoa hukumu ya kina Halima Mdee leo Julai 6, 2022

    Mahakama Kuu Masijala ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 ya kufungua kesi dhidi ya CHADEMA, leo Julai 6, 2022. Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume ya Uchaguzi kupinga kufukuzwa uanachama, hadi Ijumaa Julai 8, 2022. Msajili amesema uamuzi...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama kutoa hatma ya maombi ya kina Halima Mdee Julai 6, 2022

    Mahakama Kuu ya Dar es Salaam, Masijala Kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi ya Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Halima Mdee na wenzake 18 mnamo Julai 6, 2022. Wabunge hao wameomba kibali cha Mahakama ili kuwasilisha mapitio ya kimahakama wakipinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho...
  6. JamiiForums Tanzania Afisa wa Mahakama atuhumiwa kumuua mwandishi wa habari Misri

    Afisa wa Mahakama Nchini Misri anatuhumiwa kumuua mkewe ambaye ni mtangazaji wa runinga, Shaima Gamal, aliyepotea wiki tatu zilizopita, chanzo kikitajwa ni mgogoro uliokuwepo kati yao. Gamal alionekana mara ya mwisho siku 20 zilizopita katika sehemu yenye maduka makubwa akiwa na mumewe. Mwili...
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msilazimishe Mahakama kuingiliwa na Rais kisa mna husda na akina Mdee. Mahakama ni chombo huru

    Naona mnabwabwaja maneno hovyo kama vile mmekula chakula na kuvimbiwa. Mnabeua hovyo hovyo tu. Mnataka iweje? Rais aamuru Halima na wenzake wasiwe wabunge bila mahakama kufanya maamuzi? Kisa tu mnajua kuna huruma ilifanyika na akachomoka kesi la ugaidi? Maridhiano yenu na kulamba asali...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Ashindwa Kuishawishi Mahakama ya Rufaa

    27 June 2022 HUMAN RIGHT ACTIVIST SUFFERS DEFEAT OVER DEATH SENTENCE By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary THE Full Bench of the Court of Appeal has dismissed the appeal lodged by human right activist, Advocate Jebra Kambole, challenging the decision of the High Court, which declared the law on death...
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama yazuia ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 kuguswa kuanzia leo Juni 27, 2022

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27, 2022 imetoa zuio la muda la kutofanyika chochote kwenye Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka pale itakaposikiliza maombi ya rufaa yao. Chanzo: MwanaHalisi =========== Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27...
  10. JamiiForums Tanzania Sakata la wabunge 19: Kesi yarudishwa tena mahakama kuu baada ya kurekebishwa

    Kesi ya Halima Mdee na Wenzake imerudishwa tena Mahakama kuu baada ya Kurekebisha makosa yaliyokuwepo awali na yaliyopelekea kasi hiyo kutupiliwa mbali.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Acheni kupotosha. Hawa bado ni wabunge wa Chadema mahakama bado haijaamua. Hakuna uamuzi wa mahakama uliowabatilisha.

    Huu ni uzushi usio na kichwa wala miguu.
  12. JamiiForums Tanzania Profesa Safari: Halima na wenzie wanapaswa kukamatwa kwa kuidharau Mahakama

    Hatua ya wabunge 19 kuendelea kuhudhuria vikao vya Bunge licha ya maombi yao kupinga kufukuzwa uanachama na CHADEMA kutupiliwa mbali na Mahakama ni aibu na fedheha kwa Bunge. Prof. Safari anasema hawa watu wanapaswa kukamatwa kwa kudharau uamuzi wa Mahakama. Chanzo: Gazeti la Raia Mwema...
  13. JamiiForums Tanzania Mahakama itoe semina maalumu kwa waandishi wa habari namna ya kuripoti habari za kimahakama maana wanapotosha na kuzua taharuki katika jamii

    Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi. Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo. Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA yadai kwamba iliwasilisha Kwa Spika wa Bunge Taarifa ya Mdee na wenzake kushindwa kesi mara tu baada ya uamuzi wa Mahakama

    Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu, amesema kwamba chama chake kiliwasilisha kwa Spika wa Bunge la Tanzania taarifa ya kutupwa kwa kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake mara tu baada ya Uamuzi wa Mahakama kutolewa. Kwahiyo visingizio vyovyote vitakavyoletwa na Spika wa Bunge...
  15. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Bunge kuendelea kuwakumbatia wabunge waliovuliwa uanachama wao na Chadema, kinaonyesha udhalilishaji wa mhimili wa Mahakama?

    Tulipokea taarifa jana kuwa Mahakama Kuu, chini ya Jaji John Mgeta, kuwa ameyatupilia mbali maombi ya wabunge 19, wakiongozwa na Halima Mdee, waliofungua shauri lao Katika Mahakama hiyo kupinga kuvuliwa uanachama wao na kilichokuwa chama chao cha Chadema. Ikumbukwe kuwa wabunge hao mwezi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Spika siyo lazima atii Mahakama

    Kama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19 Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu Akiwatetea wanawake wenzake...
  17. JamiiForums Tanzania Mayalla ana hali gani mida hii baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

    Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"! Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kutoa hukumu kupinga kuondolewa Wamasai Loliondo Juni 22, 2022

    Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, Juni 22/06/2022inatarajia kutoa hukumu dhidi Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Tanzania katika kesi ya mwaka 2017 iliyofunguliwa na vijiji vya Loliondo wakipinga kuondolewa katika maeneo yao. Hukumu hiyo itatolewa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Mbowe alipanga kuonana na Rais Samia 12 Juni, naona kamtelekeza Mbowe kiaina

    Mbowe alitarajia kuonana na Samia June 12 na siku hiyo hiyo Taasisi ya Urais na Rais mwenyewe walijua watakuwa Omani na siku hiyo hiyo Mbowe kaahidiwa aende Ikulu. Mbowe, Rais Samia anajua wewe ni muigizaji kwa hiyo na yeye atakuigizia tu hvy hvy kuja maridhiano yaishe ni July 2025. Kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Interview ya kazi ya Utumishi wa Mahakama imetoka?

    Habari zenu wakuu! Niliomba nafasi ya kazi ya Accounts officer katika tume ya utumishi wa mahakama katika mfumo wao wa kutuma maombi (Online Application), Leo mchana nimesikiliza Tbc FM kuwa majina yalishatoka kwa ajili ya interview lakini bado sijatumiwa ujumbe Hata kuona kwenye account yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…