mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Tundu Lissu Agosti 12, 2025

    Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Agosti 12, 2025 kutoa uamuzi wa maombi ya mapitio yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano, Julai 16, 2025 na Jaji Elizabeth Mkwizu, baada ya kusikiliza...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Lissu anataka kuitumia EU kudictate maamuzi ya Mahakama?

    Naona utetezi wake unajikita katika kuitisha mahakama na hakimu eti EU watatukemea kuhusu kesi yake. This is a professional misconduct na lazima ikemewe. Ni vyema utetezi wake ujikite kwenye sheria za nchi na sio opinion za EU au kelele za wanaharakati.
  3. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa serikali awana uwezo ila wanabebwa na mahakama zetu kandamizi za ndani, ndio maana wanashindwa kwenye kesi za mahakama za nje

    Mawakili wa serikali wangekuwa wananajua Sheria, serikali isingekuwa inashindwa kwenye mahakama za kimataifa. Nitajie kesi mbili za kimataifa ambazo mawakili uchwara wa serikali wameshinda na Mimi nitakutajia kesi hamsini walizishindwa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu leo amejitetea kwa umahiri mkubwa sana kisheria, laiti Mahakama zingelikuwa huru, leo angelikuwa uraiani

    DPP V. Yahaya Upanga & Another, [1983] TLR 151 (HC), In Republic V. Twalib Umbwa [2005] TLR 420 (HC). In DPP V. Yahaya Upanga the Court said: “If the court refuses to adjourn the case after an application for adjournment, whether or not the case was ready for hearing on the day on which the...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, wanaoomba huruma ni wenye hatia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu amesema "Mimi siombi Huruma ya Mahakama, Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, nachotaka na ambacho nakisimamia utaratibu wa Mahakama usichezewe"
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nawezaje Kulinda kura ya Urais ambayo siwezi kuikatia rufaa Mahakama yoyote?

    Salaam, Kuna kundi la matapeli wanazunguka mtaani kuuhadaa umma kwamba tulinnde kura zetu, wengine wanatubembeleza tukapige kura ilhal wamebeba kura fake kwenye mabegi yao mgongoni! Hivi nikiilinda kura ya Urais kituoni, nawezaje Kulinda inapojumuishwa huko makao makuu? Na nisiporidhika na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kutenda haki kwa Mahakama: Ni kuifumua Mahakama Kuu na mahakaka za chini na kuweka utaratibu usio mhusisha Rais kabisa katika kuwasaili/kuwaajili.

    Kwa kufanya hivyo watakuwa independent kutenda haki! AS long as wanateuliwa na Rais, basi lazima wampendelee incumbent president katika kila kitu. Tunaona wa sasa wanavyofanya katika kesi za Lisu! shida ni hawa majaji wa HIGH COURT.....Universal High Court Judges (UHICOJU).........TAKE NOTE...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wakuu wa CHADEMA leo hawajahudhuria kesi ya Lissu Mahakama Kuu?

    Nimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama yatupilia mbali maombi Lissu

    Mahakama kuu ya Tanzania imetupilia mbali maombi ya Tundu Lissu kutaka marejeo ya uamuzi wa mahakama ya kisutu kuahirisha kesi ya kuchapisha taarifa za uongo. mahakama imesema maombi hayo yalipaswa kusubiri kesi ya msingi iishe. Wakili hekima mwasipu amesema wameridhika na uamuzi huo, na...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi iliyotoa zuio la CHADEMA kutofanya siasa yahairishwa hadi Julai 14

    Kesi Namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha CHADEMA kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa, inatarajiwa kuendelea Julai 10, 2025 mbele ya Mh. Jaji Hamidu Mwanga katika Mahakama Kuu-Dar es salaam...
  11. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama Mbunge wa chama Gani?

    Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mahakama inapoonekana kama Chombo rasmi kutimiza matakwa ya Wakubwa wenye sauti, tumaini linalobaki kwa Mwananchi ni njia zisizo za Kisheria

    Pamoja na mapungufu yake yoote, Nyerere aliona unyeti wa Uhuru wa Mahakama ndo mana aliheshimu sana mapendekezo ya Wanasheria waliopendekeza uwepo wa Ibara ya 107A ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayosema wazi kuwa Mahakama ndicho kitakachokuwa Chombo cha Mwisho Katika Masuala ya...
  13. Doto12

    JamiiForums Tanzania Mbona ni kama mahakama inaendeshwa na DPP?

    Sijui Sheria lkn nikana kwamba hakimu anaendeshwa. DPP anaamua anachotaka halafu kinakubaliwa. Baaasi
  14. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Mahakama Israel yakataa kuahirisha kesi dhidi ya Netanyahu

    Mahakama moja nchini Israel imekataa ombi la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, kuahirisha kusikilizwa kwa kesi yake dhidi ya rushwa, baada ya rais wa Marekani Donald Trump kutaka kesi hiyo ifutiliwe mbali. Wakili wa Netanyahu alimuomba jaji katika mahakama hiyo kuahirisha kesi hiyo kwa wiki...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yasitisha marufuku ya kurusha maandamano mubashara, yaagiza matangazo ya Vituo TV na Redio kurejeshwa hewani

    "Mahakama yasitisha agizo la Mamlaka ya Mawasiliano lililopiga marufuku vituo vyote vya runinga na redio kurusha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano, na kwamba kituo chochote kilichozimwa kutokana na agizo hilo kirejeshwe hewani mara moja." Soma Pia: Vituo vya Televisheni vya KTN na NTV...
  16. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yakataa kumshikilia Rais Ruto na maafisa wengine wa serikali kwa kudharau mahakama kuhusiana na uteuzi wa wajumbe wa IEBC

    Mahakama Kuu imekataa kushughulikia ombi la mdomo lililotaka Rais na maafisa wengine wa serikali watangazwe kuwa wameidharau mahakama kutokana na uteuzi wa wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), licha ya amri za awali za mahakama kusitisha mchakato huo. Katika uamuzi uliotolewa...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mahakama kuu yaombwa kumwondolea Sifa za Kugombea Ubunge Moses Ali

    Kampala, Uganda Ombi limewasilishwa katika Mahakama Kuu ya Uganda kutaka kumwondolea sifa mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Fedha chini ya utawala wa Idi Amin, Mheshimiwa Jenerali Moses Ali, asigombee nafasi ya Ubunge (Adjumani West County), likitaja madai ya kutokuwa na uwezo wa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Bado serikali haitendi haki kukumbatia sheria zinazozuia mali zake kutokamatwa kwa amri ya mahakama!!

    Habarini, Ni wazi hili la mali za serikali kuu na taasisi zake kutokamatwa kwa utekelezaji wa amri za mahakama linawapa viburi viongozi wa serikali hasa pale wananchi wanaposhinda kesi za madai yao mahakamani. Kulitolewa maelekezo yenye tamko la kuzuia viongozi na mali za serikali...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaagiza Lissu aletwe Mahakamani Juni 27, 2025 katika kesi ya marejeo aliyoifungua

    Kesi ya Marejeo iliyopo Mahakama Kuu Dar esn Salaam iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri Na. 14496 ya 2025 ambayo ilipangwa kutajwa leo Juni 17, 2025 imeahirishwa hadi Juni 27, 2025. Shauri hilo lilipangwa kusikilizwa kwa njia ya Mtandao mbele ya Jaji...
  20. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Mtizamo wa Spika kuhusu hukumu ya mahakama na kile ninachokiona

    Juzi hapa dada yetu Tulia Ackson Mwansasu alizungumza kwa kujiamini mbele ya Rais na viongozi wakuu wa serikali ikijumuisha uwepo wa mihilimi yote mitatu rasmi ( na Media). Spika akiwashangaa wanaoshangilia hukumu ya mahakama. Hiki ndicho ninachokiona kwa uelewa wangu wa hivyo hivyo; 1. Spika...
Back
Top Bottom