Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, leo Jumatatu (29.09.2025) imetoa uamuzi mdogo katika kesi namba 8322/2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohamed na wenzake wawili dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa chama...
Katika jambo moja nitamsifu siku zote ni kuhakikisha alikuwa anadocument kila kitu alichopitia na kuwataja wahusika waliyo nyuma ya hayo matukio yote.
Kuna mara nyingine alishare kupitia maandishi vitabu, posts za mitandaoni, mara nyingine alifanya kupitia Videos ambazo pia alishare...
Kuna Mtanzania amekamatwa somalia kwa tuhuma ya kujihusisha na kundi la Al shabaab.Amepandishwa kwenye mahakama ya kijeshi siku ya jana na endapo mahakama ikijirizisha ndugu yetu huyu huenda atapewa adhabu ya kuuliwa.
Siwezi shangaa Tanzania ilipofikia kwa sasa maana BASATA na TCRA wanaweza kuwa michepuko ya mtu mwengine.
Sio tu wao hata idara nyingi sasa mfano wizara ya michezo ikaweza kucontrol TRA sasa.
Tuje kwenye mada sasa mfano mahakama kuona polisi wakiingilia mahakama na kufanya kama sehemu ya ofisi...
Mahakama ya Mazingira na Ardhi nchini Kenya imezuia kampuni ya Taifa Gas kuendelea na ujenzi wa kiwanda cha gesi ya LPG chenye thamani ya Shilingi bilioni 16 katika eneo la Dongo Kundu, Mombasa.
Uamuzi huo umetokana na hofu ya uharibifu wa mazingira ya pwani, kufuatia ombi la wakazi wawili wa...
Kwa matukio ambayo wanayoyafanya polisi hakika wananchi wameishiwa pawa ya kuwaamini tena na wameshatengeneza uadui mkubwa katika siku za usoni, mahakama nayo dalili zote zinaonyesha wanafanya mambo yao kwa maagizo!
===================
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche...
CHADEMA kupitia mitandao yake ya Kijamii, imetoa taarifa kuwa Jeshi la Polisi limeanza kupiga picha Mahakama Kuu Dar es Salaam ambako leo wanachama wa chama hicho wamekusanyika kusikiliza shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa chama hicho.
----
Tukio la Jeshi la Polisi kupiga picha...
Bilionea wa Tanzania, Rostam Aziz amepiga kizuizi cha kisheria nchini Kenya, ambapo mahakama imekataa kuondoa amri ya kufungia kiwanda chake cha gesi ya petroli iliyoyeyushwa yenye thamani ya Sh16 bilioni (dola milioni 103).
Uamuzi huo uliotolewa Jumanne, unaacha mradi wa Aziz wa Taifa Gas...
Mahakama Kuu ya Kenya imeamuru kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayetuhumiwa kumuua Agnes Wanjiru karibu na kambi ya mafunzo ya jeshi la Uingereza huko Nanyuki miaka 13 iliyopita. Mwili wa Agnes Wanjiru, mwenye umri wa miaka 21, ulikutwa ndani ya shimo la choo mnamo Aprili 2012, wiki chache...
MAHAKAMA ya Wilaya Mbeya imemuhukumu Mfanyabiashara Benedicto Abel Matandiko wa Jijini la Mbeya adhabu ya kutofanya Kosa lolote la Jinai ndani ya miezi 6 baada ya Kutiwa hatiani kwa Makosa ya Kutokulipa Kodi Kinyume na Kifungu cha 83 cha Tax Administration Act, Kughushu kinyume na vifungu vya...
Jaji Nduguru ambaye ni kiongozi wa jopo la Majaji 3 kwenye kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu. Amesoma ama kutoa maelezo kuwa kataza kataza na pigapiga ya raia inayofanywa na polisi siyoaelekezo ya polisi.
Jana tarehe 15 Septemba 2025. Wakili amepigwa na kunyakuliwa ndani ya viunga vya...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amegoma kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili (kutokana na ratiba ya leo) hadi hapo hoja yake aliyoiwasilisha Mahakamani hapo itakapotolewa uamuzi na jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo wakiongozwa na Jaji Danstan Ndunguru Baada ya Majaji...
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kumshemlulia na kumdhalilisha Wakili Deogratius Mahinyila mmoja wa mawakili wa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Tundu Lissu, baadhi ya viongozi na wanachama wengine.
Leo Jumatatu, Agosti 15...
Tunafeli hapa:
1. Nani asiyejua Lissu ni mwanzo wa mwisho wa wahuni? Kumbe anaachiliwa vipi ili aje kuwatia wao majaribuni?
2. Anapigwa vipi mwenzetu bila hatia hadharani tukishudia kama kuku wa kideli?
3. Vipi wanachaguliwa hawa wanaopigwa huku tukiangalia tu?
Pia soma: GE2025 - Kuelekea...
Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu.
Pia soma: GE2025 - Rasmi: Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Mpina lakubaliwa. Tume yamnyoa, ACT yakosa mgombea urais
Ni kusuka au kunyoa. Kikwazo cha kwanza kitatolewa majibu leo, kama Lissu ataachiwa huru au majaji watatupilia mbali hoja zake.
Kumbuka, Lissu aliibua hoja za msingi sana zilizohusisha uwepo wa mapungufu makubwa ya kisheria kwenye commital process iliyofanyika Kisutu hivyo kuialika mahakama kuu...
https://youtu.be/lXYcasdnW3g?si=j-3229TRJTlB6ORF
1. Mahakama ni chombo cha kisheria, kinachoamua na kutoa haki za watu kwa kutafsiri kwa usahihi hizo sheria ili kumpa kila mtu haki yake kwa kadiri ya ustahili wake kisheria..
2. Haina shaka kuwa mchakato (process) yote ya mashitaka ya Tundu...
Wanasheria msaada tutani,
Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo
Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu?
Msaada wazee najua...
Utetezi wa nne wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 11, 2025
===
Kilichojiri siku ya 3 kiko hapa: GE2025 - Utetezi wa tatu wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 10, 2025
Majaji wanaingia na watu wote wamesimama...
Habarini,
Kwa sasa mahakama za mwanzo haziruhusiwi kupokea ushahidi wa kimtandao kama vile nalala za email,whatsapp,fax,nk hadi kuanzia mahakam za wilaya.
Sidhani kama hii ni haki kwa sasa hasa ikizingatiwa kwa sasa mawakili wanaruhusiwa kufana kazi mahakama za mwanzo.
Kuna jambo pia la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.