mahaba

  1. mr_stev001

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuchukua muda gani kusahau maumivu baada ya kuachwa na umpendae?

    Inakuchukua muda gani kusahau yale maumivu baada ya kuachwa na mtu umpendae?
  2. Unique Flower

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi na Mahaba Kwa wapendanao🥰😘😘😘

    😝😝😝😝😝🎉🎉🎉🎉 ukitaka uishi Kwa Amani mwanaume ujue haya : 1.ujue kumuandaa mwanamke na apewe haki yake aridhike 2.Apewe kadi ya manunuzi , apendeze anunue atakachoo, akupikie ule akuandae kwenda kazini . 3.ukirudi akupokee Kwa tabasamu zuri nawewe mwanaume urudishe tabasamu kuonyesha unamjali...
  3. USSR

    JamiiForums Tanzania Hoja za Lissu ni zilezile za tangu aje Tanzania kugombea Urais 2020

    Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbembeleza mwanamke wakati wa kumtongoza ni kujidhalilisha uanaume wako

    Wasalaam Zingatia mada, upendo na kumpenda mwanamke ni mgao wa baraka sio utumwa japo ni hiari isiyo hiari, siwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani nivutiwe nae kwa hali chanya halafu nipate mrejesho hasi, kisha nijishushe nibembeleze, hio hapana. Namsujudu Mungu sio mbususu wala...
  5. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kazi ya hivi vipipi?

    Kwenye swala hili nahisi limenipita na dunia imeniacha, Samahanini wana JF hivi vipipi mahaba ni nini? Maana kila sehemu nikipita kwa baadhi ya watu wanazungumzia sana na wapo wanaonunua mpaka kwa bei kubwa kweli kweli. Na kuna siku juzi kuna msichana mmoja aliniambia kuwa anavitumia na...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni wakati gani mtu anaweza kuthibisha amemfumania mpenzi wake: Kumuona anaongea na mtu? Kumkuta chumbani kwa mtu? Kukuta SMS ya mahaba?

    Kila mahusiano yanakumbana na hizi changamoto. Mtu anamkuta mtu wake anapiga stori na mtu ina kuwa ugomvi. Akimkuta chumbani kwa mtu ndio balaa kabisa. Fumanizi huwa ni kipindi gani?
  7. 5

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwinyi akosa mahaba Zanzibar

    Habarini wakuu., Nimeona kuna haja ya kuja na uzi huu, ni baada ya tathmini halisi iliyofanywa na wachambuzi mbali mbali kuhusu maendeleo ya wazanzibari wote unguja na pemba. Sera ya Dr Mwinyi wakati wa uchaguzi ilikuwa ni ''yajayo yanafurahisha'' lakini sasa imekuwa ni kaa la moto baada ya...
  8. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu na Whozu mahaba ndindindi

    Msanii wa bongo movie Wema Sepetu na msanii wa bongo flava Whozu wako kwenye mahaba mazito kwa muda sasa. Hii video hapa chini inawaonesha wawili hao wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Wema kwa mabusu motomoto na inasemekana Whozu alimfanyia ex madame surprise ya maua na keki...
  9. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Huu ni usiku wa mahaba, nawakaribisha watu wote mliosingle mtume salamu kwa wapenzi wenu

    Nawakaribisha watu wote wenye wapenz mbali watume Salam zao za ucku wa mahaba kwa wapenzi wao Karibuni
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, jini mahaba, wachawi na popobawa wanaweza kubikiri na kumpa mtu mimba?

    Tukiachana na tereza wa kule Kigoma ambao ni wanaume ambao walikuwa wakitembea uchi usiku huku mwili mzima wakiwa wamejimiminia mafuta ya mawese kisha kwenda kwenye majumba ya watu, kuvunja milango na kisha kuwaingilia wanawake kimwili, ambapo mwanamke akishtuka hutoka mbio na hawakamatiki...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Leo nakuondolea dhahama ya jini mahaba buree

    Habarini za wakati huu ndugu zangu, moja kwa moja niende kwenye mada Kumekuwa na wimbi kubwa na mateso makali sana ya haya matakataka (majini mahaba) kutesa watu wa jinsia zote kwa muda mrefu bila msaada na kusababisha huzuni kubwa katika maisha ya wahanga hawa. Dalili zake ni nyingi sana na...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa mpira msipeleke hewani ndoto na mahaba yenu

    Uchambuzi ule wa mzee Kashsha RIP na Ally Mayai Tembele unazimgatia weledi, unafurahishisha kila mtu. Lakini baadhi ya wachambuzi wanawatia hasara wenye chombo Cha habari. Wakati huu ligi inaelekea ukingoni wakati timu zinafanya tathimini zao hata wachambuzi wa mpira na wamiliki wa vyombo vya...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano Ikulu wamedukuliwa? Au ndio uzembe na mahaba kwa Chadema? Zuhura Yunus yupo sawa?

    Hii nini? Zuhura Yunus ni bogas? 👇
  14. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kesi ya akina Halima Mdee, itafanyiwa "delaying tactics" hadi ifike wakati wa uchaguzi mkuu mwaka 2025?

    Nimeanza kuingiwa na wasiwasi, kutokana na sakata hili la akina Halima Mdee, kwa Kesi yao waliopeleka mahakamani na kinachoendelea, Mahakama inaweza kufanya "delaying tactics" Hadi shauri hilo lije kupata hukumu, itakuwa mwaka 2025, wakati wa uchaguzi mkuu mwingine unaokuja! Kwa hiyo...
  15. Expensive life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu msiwaonee huruma wanawake mnapokuwa sita kwa sita

    Vidume wenzangu punguzeni huruma kwa wake au wapenzi wenu mnapokuwa kwenye mahaba. Hawa viumbe wamapenda kupigwa paipu za maana si mnaona wenyewe wanavyo tutukana humu jamvini? Wakitoka nje wakikutana na vijana wenye hasira na mbususu wanazisasambua haswa tunaishia kutukanwa kwamba hatuna...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Victorien Adebayor na mahaba ya Simba

    Akiitakia heri Simba dhidi ya Orlando Kama kawaida fans wa Simba wameamua kwenda nae sawa man to man kwenye page yake.
  17. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Jini mahaba

    Baada ya kuona hili janga limegusa watu wengi sana hata humu Jukwaani kuna mada nyingi za Shuhuda mbalimbali kuhusu hili lijamaa. Uzoefu unonesha hakuna aliyefanikiwa kupambana na hili Lijamaa yaani Binaadamu tumelishindwa Mimi kama muhanga mkubwa wa hili janga sina haja ya kutoa ushuhuda...
  18. Bata batani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimegundua penzi la mpenzi wangu kwangu limeshakufa

    Tofauti alivyokuwa mwanzo na sasa kiukweli kuna dalili nimegundua mahaba na penzi nililokuwa nakipata toka kwa mpenzi wangu limeshakufa yaani kuna dalili zinaonesha hapa tiyali nimechokwa lile vibe la treatiwa kama mpenzi limeshakufa yamebaki tuu mazoea tuu. Kuna time naamua kulianzisha lile...
  19. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

    Habari wanajf wenzangu Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu. Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Mahaba ya Pablo kwa Dennis Kibu yanatisha aisee

    Yule kijana sidhani kama ame recover vizuri kuchea mechi ngumu hivi, kama unampenda sana subiri mechi za kmc au geita gold umuweke huko siyo mamechi ya kimataifa haya Mr pablo kuwa serious bana kumbuka Cecafa zone wanaitegemea simba sc
Back
Top Bottom